Mimi sikatai hayo yote, yani ni kusema hawakuwa wanapigania Zanzibar ila walikuwa wanapigania dini ndio maana Vita yao ilikuwa dhidi ya makanisa
Hivyo hivyo kwa hawa wanaojificha kwenye kichaka cha utanganyika na kuchoma Mali za waislamu na miundombinu ya Serikali hawa ni magaidi kama wale tu
Hebu nambie TRA, BOT na mahakama kuu ziko wapi? Kati ya bara (Tanganyika) na Zanzibar
Kwahiyo ridhwani Kikwete ndio mwenye hati ya muungano?..Oil Com kachomewa kwasababu inasemekana inamilikiwa na Kikwete, na sio kwasababu ni Muislamu. Hata mabasi ya Ester yamechomwa kwasababu yanadaiwa kumilikiwa na Mwigulu na sio kwasababu ni Mkristo.
Nyerere alitaka kuifanya Zanzibar kuwa mkoa alishindwa ndio maana ukaona muundo wa muungano haueleweki wewe umeona wapi nchi Ina rais bila jeshi?..TRA iko Tanganyika na Zanzibar.
..lakini kuna Zanzibar Revenue Board.
..Na sisi tunastahili Tanganyika Revenue Board.
..Pia kuna Jaji Mkuu wa Zanzibar, hakuna Jaji Mkuu wa Tanganyika.
..Kwanini Wazanzibari wanateuliwa ktk nafasi zisizo za muungano?
Kuna ushahidi wa kusema kilichotokea 29/10 ni jambo la wakatoliki tu?Mimi sikatai hayo yote, yani ni kusema hawakuwa wanapigania Zanzibar ila walikuwa wanapigania dini ndio maana Vita yao ilikuwa dhidi ya makanisa
Hivyo hivyo kwa hawa wanaojificha kwenye kichaka cha utanganyika na kuchoma Mali za waislamu na miundombinu ya Serikali hawa ni magaidi kama wale tu
Nyerere alitaka kuifanya Zanzibar kuwa mkoa alishindwa ndio maana ukaona muundo wa muungano haueleweki wewe umeona wapi nchi Ina rais bila jeshi?
Kuna ushahidi wa kusema kilichotokea 29/10 ni jambo la wakatoliki tu?
Waliuwawa wakatoliki pekee?
Waliochomewa mali zao ni wasio wakatoliki tu? Hakuna wakatoliki au wakristo walioibiwa au kuchomewa mali zao?
Bill Nas aliye ibiwa na kuchomewa duka lake ni muislam?
Yani TEC wana elimu ndogo? Kwa kauli hii sishangai pia na hii ndio akili zenuHII CHUKI NA HILI JAMBO LINACHOCHEWA NA HAWA JAMAA WENYE ELIMU NDOGO YA THEOLOJIA WANAJIITA TEC N.K
WANASAHAU WAISLAMU WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI SANA
Kwahiyo ridhwani Kikwete ndio mwenye hati ya muungano?
Ajenda zenu tushazijua pembe za ng'ombe hazifichiki
Wachomaji wa makanisa na miundombinu nyingine wote ni magaidi
Wachomaji wa miundombinu wote ni magaidi no matter what! Tumekataa kucheza ngoma isiyotuhusu..wewe ulidai mali za Waislamu zimechomwa. Mimi nikakwambia mali hizo zilichomwa kwasababu ya siasa sio dini. Na nimekupa na mfano wa mabasi ya Ester ambayo nayo yalichomwa kwasababu ya siasa sio dini.
..sasa usiulize kama Ridhiwani Kikwete ana hati za muungano, huku ukimuacha Mwigulu Nchemba ambaye amekumbwa na mkasa kama wa Ridhiwani.
..Wewe una ajenda ya kuwagawa Watanganyika kidini, lakini nakwambia jambo hilo sio sahihi. Sisi Watanganyika tumechangamano mno kidini mpaka ngazi ya familia. Ukileta mambo ya udini huku Tanganyika tutajua wewe sio mwenzetu, au unafanya kazi ya watu wasio Watanganyika.
Wachomaji wa miundombinu wote ni magaidi no matter what! Tumekataa kucheza ngoma isiyotuhusu
Hata kipindi cha uamsho walisema ni siasa
Hata kinachotokea Palestine wanasema ni siasa akili kumkichwa
Siku zote madhara hayana target, hata wale waliovamia Galisa Kenya waliua hadi waislamu wenzao
Nimejaribu kukuelewesha na kukufungua macho bado hunielewi..Ugaidi wakati mwingine huwa ni matokeo na kuzibwa kwa njia halali za kudai haki.
..hata wakina Samora Machel, Robert Mugabe, Sam Nujoma, Nelson Mandela, kuna kipindi waliharibu miundombinu kama sehemu ya jitihada za kudai haki.
..Watanzania tulipaswa kujifunza kwanini wapigania uhuru tuliokuwa tukiwaunga mkono walikuwa wakiharibu miundombinu. Katika kujifunza kwetu tungeweza kuzuia matukio ya wanaodai haki hapa kwetu kuharibu miundombinu.
Nimejaribu kukuelewesha na kukufungua macho bado hunielewi
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Uamsho--magaidi
TEC----Wapigania tanganyika
Matendo yaleyale mbinu tofauti
Basi ukae ukijua ajenda za uamsho na TEC ni sawa utofauti upo kwenye mbinu..sijawahi kusema Uamsho ni magaidi.
..waliosema Uamsho ni magaidi na kuwafunga kwa miaka 9 ni Ccm.
..Uamsho walikuwa wakiwaelimisha Wazanzibari kuhusu mapungufu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Basi ukae ukijua ajenda za uamsho na TEC ni sawa utofauti upo kwenye mbinu
Sasa kama uliwaunga mkono uamsho na agenda zao za mahakama ya kadhi na kuondoa mfumo kristo
Ni unafiki kuwaunga mkono TEC maana hizo ni dini kinzani
Sheik Hasan ilunga nae alikuwa wa Zanzibar?..Uamsho walikuwa Zanzibar hawakuwahi kufika Tanganyika kutoa elimu.
..yuko Sheikh Ponda Mtanganyika aliwahi kushiriki ktk mihadhara ya Uamsho Zanzibar.
..kwani mahakama ya Kadhi haiko Zanzibar? Rais wa Zanzibar si ndiye anayemteua Kadhi Mkuu?
..Yeyote anayeleta hoja ya Uislamu dhidi ya Ukristo ni mgeni hapa Tanganyika, au anatumika na watu wa nje.
Taja Waswazi wenzako wa mkoa wa Pwani, eti mlifundisha watu kuvaa suruali wakati mlikuwa mnashinda na kanzu za kuchanikachanika. Shule zote za mission na za seminary primary school(ambayo ilikuwa inaenda mpaka standard 4 na middle school ambayo ilianzia standard 5 mpaka 8) walikuwa na somo la kuainzia kuvaa smart mpaka namna ya kufunga tai sasa eti mvaa kanzu na kushindwa peku(enzi hizo) afundishe waliopitia shule hizo namna ya kuvaa, pathetic.Ukitaka niwataje wapambania uhuru asilimia 90 ni Waislam na ndio waliokuwa wakazi wa Dar es salaam kabla hamjaja makafiri
Ninyi pamoja na huyo Baba yenu wa Taifa tumekufunzeni kuanzia kujisitiri kwa kuvaa suruali
Wasomi wa kiislam walikuwepo wengi tu akina Fundikira na kina Mwapachu ila walimwachia nyerere hiyo nafasi
Uongo huu,Usitujumuishe waislamu wote. Waislam tunaamini katika umoja. Hata tukiunganishwa na Kenya na Uganda poa tu, ila sio kutuenfanisha na Zanzibar. Zanzibar na Sisi ni dugu moya.
Sheik Hasan ilunga nae alikuwa wa Zanzibar?
Hizo fikra za kulipwa mnazo nyinyi waeneza propaganda