Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

Mtu akiamua kuchepuka, anachepuka hata km ukeshe unampelekea moto.
Huwezi kumbadili mtu malaya. Kumbuka kuoa au kuolewa siyo mwisho wa kupenda ni kuridhika tu.
Sawa hampelekei moto ndiyo atoke na mume wa binti yake?
Hapa nahisi mzee atakuwa ampelekei moto mkewe vizuri...

Yani kama mzee hujui kupeleka moto utasaidiwa sana...
 
Ingawa Ke wanatuzaa na tunaishi nao, lakini si viumbe vya kuendekeza hata sekunde [emoji6]
Ingawa me wanatuzalisha na tunaishi nao, si viumbe wa kuendekeza hata sekunde hasa kama wanaweza kutongoza mama wakwe zao na yawezekana kuwazalisha na watoto ambao ni wajukuu wa baba mkwe.
 
Huyo mzee mgese nini...sasa yeye anamshambulia jamaa baadala ya kumshambulia mke wake anaye gawa utamu wake.

Yote kwa yote wanaume tunajitakia haya mambo....weee mwanamke wako ukiwa umezamisja de libolo lako....ukiondoka huyo yoyote anaweza mkula.
 
Hapa nahisi mzee atakuwa ampelekei moto mkewe vizuri...

Yani kama mzee hujui kupeleka moto utasaidiwa sana...
Tumia akili na wewe bwn! Huu ni upotovu wa maadili tu. Kwani huo moto ni lazima apelekewe na mkwe wake? Wachafu nyie!!
 
afya ya akili imeyumba
 
Mfanyakazi mmoja wa basi maarufu Dar Moro, alikuwa mshikaji kupitia hizi safari zetu na kubeba mizigo. Nikawa simuoni, Kwa muda. Nikauliza pale Ubungo, nini kimemkumba, kafukuzwa kazi, wakasema hapana,

Stori ni hivi, huyo kaka kazi yake na alipojenga, ilikuwa lazima 10alfajiri lazima atoke, kwenda Ubungo, mke anamuacha ndani na watoto wadogo wa msingi, kurudi saa2 usiku, huku nyuma yeye akitoka, mwingine anaingia.
Ikaendelea majirani ikawakera, siku ya siku mmoja, akamuita akamuelezea, akamwambia weka mtego.
Jamaa akaaga alfajiri anaenda job, akajibanza, mbele huko, watoto wakaandaliwa kwenda shule. Yeye akawadakia njiani akawapost, akawasafirisha. Baadaye, walipoondoka kweli geti likafunguliwa msaidizi akaingia.
Mwenye mji akarudi na mapanga, aliwacharanga vibaya. Akajua kaua, akakimbia, kumbe aliwajeruhi vibaya, wakalazwa wakaugulia wamepona.

Ila wawili hao walishaachana. Watoto walipelekwa kwa bibi huko mikoani!

Popote alipo, nampa pole SANA, sijui yu mzima au mfu! Inasemekana alikimbilia mkoa fulani.
 
Hapa nahisi mzee atakuwa ampelekei moto mkewe vizuri...

Yani kama mzee hujui kupeleka moto utasaidiwa sana...
Kahaba ni kahaba tu acha ushamba. Hii ni kama drug addict, na mwanamke mwenye tabia hii ni vigumu kuacha. BTW pengine wewe bado ni mtoto na umeathirika na video za porn unadhani ili mwanamke atosheke ni lazima ''umpelekee moto sana'' NB: hata kama wewe ni mwanamke basi inaonyesha umeathirika kisaikolojia!
 
Duh, Kuna mambo hii Dunia unaona bora waliokufa
 
Vipi kuhusu mke wa huyo jamaa alikua na shida gani hadi akamle mama mkwe?
Umemgonga na swali zuri sana sana. Mimi nimeshamwambia hii ni tabia na haina uhusiano na ''ufundi wa kupelekea moto''. Wabongo wengi porn imewaathiri wanadhani mwanamke bila kumfanyia ''porn style'' haridhiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…