Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Oooh ni hatare sana mzee wangu me nawaelewa 😂😆 wengi uchoyo tuu ndo unatusumbua,, naamini ukiwa na mipaka hakuna mazoeaBwashee unata kusema wakimya ni wanafki?😃
Ila sasa mazoea ndo jau
Oooh ni hatare sana mzee wangu me nawaelewa 😂😆 wengi uchoyo tuu ndo unatusumbua,, naamini ukiwa na mipaka hakuna mazoeaBwashee unata kusema wakimya ni wanafki?😃
😁😁😁Oooh ni hatare sana mzee wangu me nawaelewa 😂😆 wengi uchoyo tuu ndo unatusumbua,, naamini ukiwa na mipaka hakuna mazoea
Ila sasa mazoea ndo jau
ALONE-Ni kuwa peke yako Kwa kuhisi au kuona utapata Amani ya kweli, Uhuru unaoutaka na kufurahia nafasi unayopata ukiwa mwenyewe, Huku hakutokei Kwa kujifanyisha kutokana na watu au mazingira uliyopo, ni naturally hutokea....., hii unajihisi na kujiona au kufurahia jinsi unavyokuwa mwenyewe nyumbani kwako Kwa maana ya utulivu wa nafsi , akili na mwili bila kuepuka au kuogopa majukumu yako unayotakiwa kufanya Kila siku kama vile kazi zako, kuangalia familia na mambo yako mengine Kwa maana ya kama ni kazi unafanya Tu vizuri yaani as an active human beingKiinglishi sasa. What is the difference between the two Master Race?
ni ghetto kuangalia katuni huku nacheka peke yangu
Wangetoaga series wangeniweza asee vile vitoto vinaokoa yai that's my favorites partPenguins of Madagascar 😄😄😄🔨
Mimi niko hivyo, huwaga sina stori za mudamrefu.Anapenda company lakini iwe ya muda mfupi tu, ukienda kumtembelea kaa nusu saa tembea, ukizidisha unamuona jinsi anavyoanza kuboreka
Nitajie genius mmoja duniani ambaye yupo social, jibu ni hakuna.Wengi huwa na changamoto ya afya ya akili