Kuna watu wanaweza kukaa peke yao siku nzima bila kuchoka, wanapenda wageni ila mgeni ukikaa zaidi ya saa unawaboa

Kuna watu wanaweza kukaa peke yao siku nzima bila kuchoka, wanapenda wageni ila mgeni ukikaa zaidi ya saa unawaboa

mimi pia napenda sana upeke yangu ,wakati nakaribia kuoa nilijiuliza sana maswali mambo ya kuanza familia kutembelewa na ndugu,ila nimeshazoea sasa
Mchungaji hatualikani! Au we ndio unasulubishwa nini?
 
Sidhani kwamba ni wote. Ni kwa vile wao wamewahi au wamkuwa wazi kuelezea jinsi walivyo. Kwa hiyo na nyie "masanguine" mpo huru kuelezea hisia zenu. Au uzi uanzishwe kabisa kuhusu wapenda soga😅
Binafsi nikiamua kuwa mkimya nakua na nikiamua kuwa mchangamfu nakua
 
Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake,

Anapenda company lakini iwe ya muda mfupi tu, ukienda kumtembelea kaa nusu saa tembea, ukizidisha unamuona jinsi anavyoanza kuboreka,
This is me
 
Hakikisha hiyo bill hapewi mtu mwingine min -me 😂

Nasubiri blood group o, mara introvert, mara wa kulia siku nzima, bado wanaonuna bila sababu
 
Back
Top Bottom