Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

Toka 1984hadi Leo Bado unaogopa kumtaja!?ungemtaja tu ili akifa afe kwa amani,hata mashirika ya kijasusi Huwa sometime yanaachia Siri ambazo zimepitwa mda wake,auu kama amekufa atapumzika Sasa maana utakuwa umetoa ya rohoni๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Wengi wao wana vielement vya kichawi huwa siyo bure
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa ana roho ngumu/kishetani. Ila kwa jamaa huyu nimeshamchoka kiukweli. Nataka kwa mwakani nitafute eneo ninunue nami niweke fremu zangu, nimechoka kunyanyasika.
 
Alishakufa amebaki mke wake
 
62 kijana
Bro wakati wewe unahangaika na mwenye nyumba hapo Uhuru, mimi niko F3 Mwanza Sec aka Gorani ( hiyo Pamba Sec ikiwa primary school), nikitokea hapo Mirongo PS karibu na Community center na Lupondije na bhana bakwe akiwa tajiri hatari. Nikikaa Isamilo ya juu karibu na Susuma. Muvu Liberty na Tivoli. Now guess how old am I?
 
Hahahahaha lupondije
 
...Unawapea nini Sasa ??? [emoji848]...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Tulikuwa tunaena kuokota Jojo mabasi yakifika toka Kisumu na Musoma.
Ngoja nikipata muda mzuri nitaleta story za namna magendo toka kisumu yalivyokuwa yanafanyika enzi za kina clement mabina gitana masanja mawenge na kuna mhaya alishakuwa marehemu kuna jamaa alikuwa ndiyo msuka mipango kwa sasa ana kikampuni cha ujenzi
 
Naisubiri kwa hamu bro.
 
Mkuu kuna mengi ya kujifunza kwako..
Tunasubiri hiyo simulizi kwa hamu.
 
Pole sana, mwenye nyumba wangu simjui, napigiwa simu mara moja kila baada ya miezi sita ukimtumia chake ni baada ya miezi sita tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ