Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

Ulikua karibu na kwa marehemu mzee Ngaka yule wa TRA?
 
Y
You will be around 57yrs.
 
Nyumba ilikuwa ya udongo? Hahaha hii kali wakati wa kwangu alinipandishia kodi eti mambo ni Magumu!
 
Yaani akufanyie usenge wote huo then umletee na mzigo wa kumhonga bule? Huyo unahakikisha mitoto yake ya kike yote unaijaza upepo. Wife akifyumu poa tu. Japo lazima umhusishe ujinga uloufanya. Na motherhouse kama ana kasura unapita. Then unahama zako. Mimba zikishakua,unapanda bodaboda mida unayojua anapenda kukaa nje,unampungia mkono unasepa zako. Af sasa ubahatike na mkewe anase. Hadi raha.
Ila najiulizaga watu wanaopanga nyumba huku wenyewe wapo. Hawaoni wanajitafutia matatizo?
 
Na ndio mnaongoza kwa matusi.
Ashakum si matusi......kwa yule umheshimuye kama vile mama yako...mie kwangu ni mke...au ninayemchojoa....Sasa wewe hilo utaona tusi kumbe ni mtazamo tu.
Asante na karibu.
 
Kwq uzoefu wangu hi ndio mama mwenye nyumba mwenye roho mbaya tokeaqa nianze maisha ya kupaanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…