Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Leo kwa mara ya kwanza umeongea ukweli, ndoa nyingi huku naziona za single maza.

Ila ingependeza single maza wangeoana na single faza ili kubalance mambo.
Apana kuoana single faza na single maza kivyovyote watoto wa faza wataumia kisaikolojia, watakosa baadhi ya malezi mazuri na ule upendo wa mama, mda mwngn ni rahis mgogoro kuzuka mwanamke utaona kama mwanaume anawazingatia Sana wanae na mwanaume nae hvo hvo

Mchezo uendeleee hv hv
 
Tuliachana na tuna mtoto, tukiwa pamoja alizingua alipoanza kucheat nikampotezea, mawasiliano ikawa kwa ajili ya matumizi tu na mambo ya msingi kwa ajili ya mtoto. Naheshimu mahusiano ya watu sikurudi nyuma,...sasa hivi ndo anabembeleza turudiane eti kwa ajili ya mtoto,nikasema hapana haiwezekani kurudiana, anaomba hata basi tukumbushane anabembeleza. Ila nadhani upande wa pili jamaa kichwa kinawaka moto sasa hivi, single mothers ngumu kuachana na watu waliozaa nao hata kwa kisiri.
 

Shebby milandrover alikuwa hana jinsi baada ya kuungwa na bwawa linalotesa wakazi wa Rufiji kwa sasa...
 
Acha uongo waislam kibao wanabadili dini tena wakitoka wanakuwa wanaokoka kabisa ushahidi upo kabisa ukitaka wewe
 
Kama umempenda mchukue huyo ukiona na din kabadili chukua huyo hao huwa wanatulia sana coz wanajua maisha, hapa wanaokukataza ni wivu tu nakuambia hilo
 
Sasa kama alitumia advantage ya umaskini wake,huoni nawewe unatumia advantage ya mzigo alionao kwa kua umeubeba begani....subiri awe stable kupitia wewe ndio utajua ulikua daraja au nini?
 
Hahahaha bro kwa hizi sound single mother hachomoi....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hapo anamaliza na aya na hadith kabisa
 
Umempenda yup Kati ya muha Na single mom
 
We oa wana uzoefu na maisha na akili zao huwa zimetulia hawana utoto na akizingua mpige chini asubui tu. Mimi mama yangu aliolewa singo maza, baba mkwe alioa singo maza tena wote wake wawili aliwaoa wakiwa singo mama na hadi sasa wote wana hadi wajukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…