Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Hadi unaoa mwanamke mwenye mtoto unakua umekosa nini kijana??
Hebu jaribu kumuuliza mama yako au dada zako uone watakujibu nini.
Dada zako hawatakua tayari uoe mwanamke mwenye mtoto.... Japo hawatakulazimisha
Hizi mambo za kushirikisha dada zako kwenye masuala ya familia yako ni utumwa wa kifikra, kwani huyo mwanamke anaenda kuishi na dada zake au wanaenda kuishi wawili yeye na mkewe?
 
Fanya unavyotaka wewe mwenyewe lakini siku ukirudi hapa unalia lia hatukupokei kwasababu umesha nasa tayari ushauri wenyewe unaomba lakini hapo hapo tena unajipa majibu ya kukufariji wewe mwenyewe ila shauri yako kila la kheri. πŸ˜‚
 
Hizi mambo za kushirikisha dada zako kwenye masuala ya familia yako ni utumwa wa kifikra, kwani huyo mwanamke anaenda kuishi na dada zake au wanaenda kuishi wawili yeye na mkewe?
Kubali kataa ndugu na wazazi wana athari katika maisha yako ya ndoa. Au huyo mwanamke au mwanaume hutaenda kumtambulisha?? Hawatataka kujua background yake?
 
Iwe non-single mother,
Iwe single mother,
iwe double mother,
iwe triple mother..

Ndoa inahitaji Roho ngumu, vinginevyo utazikwa mapema. πŸ€’πŸ€’
Hili ndio jibu kuna wengine wanapasha mpk viporo kabla na baada yakuingia ndoani the best chance awe bikra which is very very rare kwa maisha ya sasa
 
By experience, ila nimeshuhudia tu! Masingo maza wengi wapo stressed. Hawaamini katika kujenga familia, trust me huyo anakuzugia tu makucha yake utayaona mkisha ingia kwenye ndoa. Japokua wanadamu wote hawapo ivyo ila probability ni kubwa.
 
Si anabadili mkuu, au atakua anabadili kwa sababu ya ndoa sio kwasababu ameijua kweli.

Wengi ni wasumbufu hasa akishaizoea ndoa! Kuizoea ndoa ni pale anajua kuna watoto huwezi kuwaacha, kuna mali mtagawana na atanufaika, kuna bond anayojivunia na akishaimarika hasa katika kipato chake binafsi!! Hakuna rangi utaacha kuona bro
 
Wengi ni wasumbufu hasa akishaizoea ndoa! Kuizoea ndoa ni pale anajua kuna watoto huwezi kuwaacha, kuna mali mtagawana na atanufaika, kuna bond anayojivunia na akishaimarika hasa katika kipato chake binafsi!! Hakuna rangi utaacha
Wewe ndio umenielewesha mkuu, wengine naona wanapiga blah blah, weww ndio umenipa sababu ya kwanini nisioe single mother Asante.
 
Kwa jinsi ulivyomtetea hutasikiliza ushauri wewe. Wewe oa tu mkuu. Ukweli ni kwamba wapo wanaooa single maza na wakadumu ila ni 1/10. Shida sio kuachana, shida ni drama za single mother ni tofauti sana na drama na uliyemkuta hana mtoto.

Oa tu mkuu, tunaishi mara moja
 
kuoa single mother sio tatizo
ispokua hakikisha baba wa mtoto alishafariki na kwenye mazishi ulihuzuria na kaburi lake unalijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…