Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Huo ni utani wa muda mrefu,mhaya yeyote yeye kuwa na maisha ya shida kwake ni mwiko ndoo maana anaweza alatumia akili yake vzr akamtapeli mtu ,lakini pia mchaga hivyo hivyo nae hataki kuteseka na umaskini lazima ataanzisha kiosiki na atakuwa na roho mbaya mwishoe atatoboa.
 
Baada ya utapeli na wizi kuthibitiwa siku hizi Wachaga wanalialia eti serikali inawaonea [emoji3][emoji3][emoji3]
Tungekuwa tunalia lia tusingejazana Moshi mwaka huu. Vyombo vyote vya usafiri vimejaa. Vyuma labda kwenu huko
 
Mpenzi mtazamaji nipo hapa
 
Mkuu muhaya utamuona yuko vizuri Dar Mbezi bich lakini bukoba kuna umasikini wa kutupa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hapo kwenye roho mbaya umeniacha hoi
 
Nenda vijijini uone kulivyo kuzuri na mijengo ya uhakika ramani za Ulaya na Marekani tofauti na uchagani nyumba za maana wamejenga mikoa mingine sio kwao iwe mjini au vijijini
Dah.Yoote haya mnatambiana ila wote mwisho wenu ni pembe nne. Tupendane tusaidiane tusonge mbele pamoja. Kutambiana kunasaidia nini?
 
Ni kweli kabisa. Nimesema hapo juu kuwa kuwaondoa wachagga kwenye serikali maana yake mmewapa muda wa kufanya mambo binafsi maana muda wanao. Ninakuhakikishia miaka 10 ya awamu ya 5 ikimalizika Wachagga wataongoza uchumi wa nchi hii. Wako low profile hawapigi debe ila jamaa ni hatari mno. Huko Iringa wame dominate mashaba makubwa mno ya miti na mbao wenyewe wanavuna na wana magari yao wanasafirisha na kuuza wenyewe. Na siku hizi wakizaa watoto hawapewi tena majina ya koo za kuchanga Yaani ni full Christian names tatu au nne. Mfano Joseph John Michael hapo surname Tarimo haipo.
 
Nenda vijijini uone kulivyo kuzuri na mijengo ya uhakika ramani za Ulaya na Marekani tofauti na uchagani nyumba za maana wamejenga mikoa mingine sio kwao iwe mjini au vijijini
Nipe namba yako nikutumie nauli uende kwanza Uchagani, kisha utakuja na majibu
 
Makabila haya mawili ninawaamimia kabisa. Yaani wana fight sana sana. Shida ni mwiko
 
So furaha yako kusifiwa n'a mzungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unachekesha sana wewe......!!
 
Unaanzisha mada chokozi alafu unajikojoleakojolea ndo nini tutakubanned
 
Hii strategies ya majina nimeielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…