Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Walimu wote nyie ni waoga tu kwenye mwenge mnalazimishwa kukesha na mnahesabiwa usiku wa manane ili msitoroke na kweli mnatii amri huku watumishi wengine wanajimwaga tu
 
Kwa hiyo hata bosi wako Majaliwa ambaye ukimuona tu unatamani kumlamba miguu naye hajitambui siyo!

Na yule marehemu unayemsujudi mpaka kesho naye alikuwa hajitambui?
ukweli ni kwamba, hii nchi ingeongozwa na kada zingine tangu awali, tusingekuwa hapa. lakini tushukuru kwa tulichopata kwasababu kila jambo lina faida na hasara.
 
Naona umeorodhesha wote kumbe sisi Wamachinga upeo wetu ni mkubwa kidogo,Ahsante.
 
Mpeleke mwanao polisi, ama Kwa maafisa kilimo au kada ya afya ndani ya Mwaka mmoja tuone kama atakuwa amejua kusoma na kuandika, unapost mada hapa kama umesahau akili chooni!
Lipuuzi hilo,litakuwa limekaziwa mama yake na Mwalimu,ndio maana ana hasira nao.
Wacha liendelee kuteseka.
Countrywide
 
Walimu si kuwa wana akili, ni kwamba wanatufundisha walichokariri

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Walimu ni tatizo katika nchi.

Wanatumiwa na serikali kama uchafu lakini hawataki kujinasua kwenye uonevu.

Ndio kwanza wanashabikia na kupongeza.

Nafikiri ile kada imevamiwa na majasusi ili kuwavuruga walimu kweli kweli.

Hawajielewi.
 
Walimu wote nyie ni waoga tu kwenye mwenge mnalazimishwa kukesha na mnahesabiwa usiku wa manane ili msitoroke na kweli mnatii amri huku watumishi wengine wanajimwaga tu
Nimecheka aisee, huwa wanahesabiwa wasitoroke?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unahisi kwa nini wahasibu au madaktari hawajaomba hizo kazi za sensa?
Kwa sababu kazi zao zina mianya ya upigaji huko huko kazini kwao. Hakuna mfanyakazi Tanzania hii anayeishi kwa kutegemea mshahara wake tu bila kupiga hapa na pale isipokuwa pengine walimu. Sasa wanapoona vifursa kama hivi vya sensa wapate angalau kitu kidogo napo kumbe wanakosea masikini.
 
Ulifundishwa na nani Mkuu?
 
Aisee

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…