Hata hawa wengine pia ni watu wa fursa. Wote wanapambania fursa. Wakiondoka hao wengine ndio fursa kwa wengine. Mtu akisema yeye hafuati fursa ni muongo.Watu wote waliokuwa wanamuunga mkono Mbowe ni watu wa fursa tu sio wapigania chama,
Hata hivyo wamejificha kwa muda mrefu sana Upinzani wakidai kuwa wao ni wapinzani kumbe ni CCM,
Kiongozi wao ni Mbowe na yeye aende huko CCM kwani amekuwa anajifanya mpinzani kumbe anayake tu.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kuongozwa na kundi linalotetea haki faragha ( mashoga na wasagaji).Lazima utambue team mbowe wote ni CCM na wala rushwa mafisadi wakubwa hawawez kuelewana kabisa na lisu ambaye amenyooka kama rula,waende wapunguze jama chama kitabaki na wananchii sio mafisi.
🐷🐷🐷Kwa matusi kama ya Mbowe?
Tetesi....... 😀Kwa hiyo, uongozi wa Lissu ukikosa mwelekeo suluhisho lao ni kuhamia CCM?
Wajinga na wapumbavu hao.
Malaria haiwezi kuwa na akili timamu. Ni ugonjwa tu. Inawezekana vipi hata mwezi haujaisha useme uongozi hauna mwelekeo? Malaria gonjwa jinga kabisaZipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Waende tu ni haki yao kumfuata mfadhili wao,kama ni kweli usemayo basi wanadhirisha zile tuhuma za kuhongwa na AbdulZipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Huyu kaacha Uislamu dini yake mpya ni Mbowe.Hahah bado hujaacha tu ?
Wacha waende huko kwenye uelekeo waoZipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
safari njema... Kumbe gari linaweza kukosa au kupoteza mwelekeo hata kabla ya kuanza kuendeshwa?.Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Akiaacha atakula wap? Hiyo ndio kazi inayomuweka mjini.Hahah bado hujaacha tu ?
Chadema ni chama kinachodhalilisha wanawake. Wanawake WOTE wanatakiwa kujitenga nacho!Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo