Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
sikujui unamaanisha nini lakini kura ndiyo itakayoamua kama katiba inahitaji marekebesho au imekamilika.
lakini kama sote tunaweza kutumia busara kusema turekebishe kwanza linaweza kutusaidia sana.
kwa sasa ni kufikiria kufanya marekebisho kupitia nafasi zilizoko katika mchakato.
Bwana ego wewe unahitaji marekebisho gani tena zaidi ya yale yaliyofanywa na BMK? mbona mambo yako vizuri tuu?
ningekujibu kwa lugha uliyotumia lakini nitakuwa najishusha, kwangu mimi naamini kundi kutajwa katika katiba ni useless kama hakuna mfumo wa kulinda haki hiyo iliyotajwa.
mimi sisomi katiba kwa kuangalia ibara fulani inasema nini bali naenda mbali zaidi kuangalia baada ya katiba kusema nini kinafuata na ni nani atatekeleza na je yule anayetakiwa kutekeleza nani atahoji au mhusika ataenda wapi na kuna mfumo unaofanya haki itendeke.
katiba haisomwi kwa kifungu kimoja kwani huwezi kupata kitu chochote katika maisha kwa kutumia kifungu kimoja tu cha katiba na hilo ndilo tatizo la wengi.
ki msingi katiba inahitaji marekebisho makubwa tena sana na kutunga katiba kwetu leo lazima kutofautiane na waliotunga katiba miaka ya 70.
but tunatumia mfumo ule ule wa kukusanya material kwa kuangalia kila kipengele peke yake na bila kureflect matatizo yaliyopo.
Nachoweza kusema hapa wale walioshiriki kutunga ile ya mwaka 1977 wanastahili pongezi na ndio maana tumefika hapa tulipo,katiba ya mwaka 1977 imeweka msingi imara kwa taifa letu na ndiyo maana inatumika mpaka sasa wala hakuna sababu yoyote ya kuibeza na kuidharau, kilichopo sasa ni zamu yetu kuja na katiba mpya ambayo haitajengwa nje ya misingi iliyolisimamisha taifa letu kuwepo mpka sasa yapo mambo ya msingi ambayo hayapaswi kuchezewa hata kidogo!
Nachokiona hapa ni sisi kutokuelewa vizuri maana ya Katiba kiasikwamba tunataka kuingiza mambo yetu hata ambayo hayana msaada kwa taifa, wakati mwingine tunasingizia ukisasa wakati tunapotoka Tanzania ni ile ile haikabadilika tuwe makini tu na tusijaribu kuharibu vitu vizuri tulivyonavo.
hatari kubwa ya nafasi za uteuzi ni taifa kuwa na watu wasio na ajira maalumu kuishi kwao ni kusubiri raisi akichaguliwa wateuliwe. tatizo linaobika pale mpambe wao anaposhindwa maana hawa wanaona maisha ndio yamewapa kisogo na hawa ndio hushinikiza makundi yao kuingia misituni.
tubadili mifumo yetu ya nuongozi iondoe makundi ya watu hawa bali kila mmoja awe na ajira na kiteuliwa basi lakini si mtu kusubiri kuteuliwa ndio aendeshe maisha, ni hatari sana.
Katiba inayopendekezwa iko poa sana!wakati utafika tutaitendea haki!
Ndugu Ego au kwa Kiingereza I kwa Kiswahili Mimi. Unaonekana una pointi kuhusu viongozi wa imani kutotuamria nini la kufanua kiuchumi au kimatibabu. Suala la kufanya ndugu yangu Ego ni kuwasikiliza kuchambua kile kinachoongelewa kizuri unachukua pumba unaacha. Lakini hoja unayo. Swali je Katiba Inayopendekezwa umeisoma!anayeweza kuwabeza waliotunga katiba ya miaka ya sabini ni mjinga. mimi binafsi sikusema hatutakiwi kufanya kama wao kwa maana ya kuwadharau bali nikitafakari mazingira waliyokuwano nayo kipindi kile ninaona walichokifanya enzi hizo kilikuwa sahihi kwa maana kiliendana na wakati ule.
lakini leo hii mambo yamebadilika na sisi tunatakiwa kutunga katiba yetu kwa sasa kwa kujifunza kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo.
mfano swala la imani haiingii akilini leo hii kutoa uhuru wa imani kikatiba bila mipaka leo hii wakati tumekwisha anza kuona jinsi imani zinavyotupeleka pabaya. ni lazima uhuru wa imani leo hii uwekewe mipaka kwa kutaja ni mambo gani yanaruhusiwa kiiimani ili kwa yeyote anayewaza kutumia imani kuvuruga jamii kutambua moja kwa moja katiba haimruhusu. tulitakiwa tufanunue uhuru unaotolewa ni wa aina gani kwa maana unaruhusiwa kuamini unavyotaka lakini hauruhusiwi kumlazimisha mtu kuamini unachotaka, unaruhusiwa kuamini unachotaka lakini imani ni kosa kutumia imani yako kuhamasisha watu kuacha njia zilizothibishwa za matibabu, kiuchumi.
makundi mbalimbali yamekuwa yakipigania kutajwa katika katiba na hata wengine kudiriki kutaka mambo ambayo kimsingi si ya kuingia katika katiba.
hapa tumejisahau kuwa kinachotusumbua si kutotajwa katika katiba ndio maana hatukuridhika huko nyuma bali kutokuwepo kwa misingi ya kutoa haki pengine katika katiba ndio tatizo kubwa.
jambo la kwanza kwetu sote iwe ni kupigania misingi ya kutoa haki kwa wote ijengwe katika katiba na hapo kila mmoja katika kundi lake dogo haki yake ataipata.
ningekujibu kwa lugha uliyotumia lakini nitakuwa najishusha, kwangu mimi naamini kundi kutajwa katika katiba ni useless kama hakuna mfumo wa kulinda haki hiyo iliyotajwa.
mimi sisomi katiba kwa kuangalia ibara fulani inasema nini bali naenda mbali zaidi kuangalia baada ya katiba kusema nini kinafuata na ni nani atatekeleza na je yule anayetakiwa kutekeleza nani atahoji au mhusika ataenda wapi na kuna mfumo unaofanya haki itendeke.
katiba haisomwi kwa kifungu kimoja kwani huwezi kupata kitu chochote katika maisha kwa kutumia kifungu kimoja tu cha katiba na hilo ndilo tatizo la wengi.
sasa kama hutaki kusoma eti unaeenda mbali utaelewaje? Ndo maana nakwambia wewe ni mkaidi na kamwe hutoelewa utabaki na ujinga wako huoningekujibu kwa lugha uliyotumia lakini nitakuwa najishusha, kwangu mimi naamini kundi kutajwa katika katiba ni useless kama hakuna mfumo wa kulinda haki hiyo iliyotajwa.
Mimi sisomi katiba kwa kuangalia ibara fulani inasema nini bali naenda mbali zaidi kuangalia baada ya katiba kusema nini kinafuata na ni nani atatekeleza na je yule anayetakiwa kutekeleza nani atahoji au mhusika ataenda wapi na kuna mfumo unaofanya haki itendeke.
Katiba haisomwi kwa kifungu kimoja kwani huwezi kupata kitu chochote katika maisha kwa kutumia kifungu kimoja tu cha katiba na hilo ndilo tatizo la wengi.
ningekujibu kwa lugha uliyotumia lakini nitakuwa najishusha, kwangu mimi naamini kundi kutajwa katika katiba ni useless kama hakuna mfumo wa kulinda haki hiyo iliyotajwa.
mimi sisomi katiba kwa kuangalia ibara fulani inasema nini bali naenda mbali zaidi kuangalia baada ya katiba kusema nini kinafuata na ni nani atatekeleza na je yule anayetakiwa kutekeleza nani atahoji au mhusika ataenda wapi na kuna mfumo unaofanya haki itendeke.
katiba haisomwi kwa kifungu kimoja kwani huwezi kupata kitu chochote katika maisha kwa kutumia kifungu kimoja tu cha katiba na hilo ndilo tatizo la wengi.
Ego mara nyingi huwa huna point. Hata ukiandika mistari miwili inatia uvivu kusoma. Kwa nini usiache jukwaa hili la waelewa ukaanza la kwako la wasioelewaanayeweza kuwabeza waliotunga katiba ya miaka ya sabini ni mjinga. mimi binafsi sikusema hatutakiwi kufanya kama wao kwa maana ya kuwadharau bali nikitafakari mazingira waliyokuwano nayo kipindi kile ninaona walichokifanya enzi hizo kilikuwa sahihi kwa maana kiliendana na wakati ule.
lakini leo hii mambo yamebadilika na sisi tunatakiwa kutunga katiba yetu kwa sasa kwa kujifunza kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo.
mfano swala la imani haiingii akilini leo hii kutoa uhuru wa imani kikatiba bila mipaka leo hii wakati tumekwisha anza kuona jinsi imani zinavyotupeleka pabaya. ni lazima uhuru wa imani leo hii uwekewe mipaka kwa kutaja ni mambo gani yanaruhusiwa kiiimani ili kwa yeyote anayewaza kutumia imani kuvuruga jamii kutambua moja kwa moja katiba haimruhusu. tulitakiwa tufanunue uhuru unaotolewa ni wa aina gani kwa maana unaruhusiwa kuamini unavyotaka lakini hauruhusiwi kumlazimisha mtu kuamini unachotaka, unaruhusiwa kuamini unachotaka lakini imani ni kosa kutumia imani yako kuhamasisha watu kuacha njia zilizothibishwa za matibabu, kiuchumi.
Hakuna katiba wala makundi tofauti wala sheria.Dhamana pale mahakamani mpaka mtu anayefanya serikalini akudhamini....kama huna basi pesa yako...kama huna pesa watakupeleka huko.
Kama unataka kujua mfumo wa ulindaji wa hizo haki narudia tena coz nimeshakuandkia kweny post nyingne......... nenda kasome ibara ya 65 kuanzia (1)-(6) sikwambii inasemaje ila take ua time n read halafu urudi tena huku...
Suala la imani ni very complex na linatakiwa kuwa handled with care,imani ni kuamini pasipo mashaka yoyote kuhusu jambo fulani sasa Serikali jambo hili imeliweka wazi kwa kutoa uhuru wa kuabdu na imani japo kuwa katika uhuru huu kuna mipaka, ukisoma Katiba inayotumika sasa ya mwaka 1977 ina kipengele hicho, vivyo hivyo Katiba inayopendekezwa ibara ya 41 imeeleza wazi masuala ya dini na kuna vifungu vinavyotoa makatazo ya shughuli za dini kuvunja amani, uchochezi wa aina yoyote unaoweza kuleta mtafaruku katika jamii.Jambo la matibabu kiimani Serikali haiwezi kuliingilia kwa sababu ni la mtu binafsi, mtu anaweza kuamwamini Mungu kuwa anaponya na akapona kulingana na imani yake,Hapa huwezi kuwazuia watu jinsi wanavyoamini katika matibabu yao na imani zao isipokuwa tu pale ambapo mambo hayo yatahatarisha usalama wa nchi na maelfu ya wtz hapo serikali itaingia kwa nguvu zote! Fanya tathmini ya kikombe cha babu Loliondo kisha unipe majibu hapa!!!!anayeweza kuwabeza waliotunga katiba ya miaka ya sabini ni mjinga. mimi binafsi sikusema hatutakiwi kufanya kama wao kwa maana ya kuwadharau bali nikitafakari mazingira waliyokuwano nayo kipindi kile ninaona walichokifanya enzi hizo kilikuwa sahihi kwa maana kiliendana na wakati ule.lakini leo hii mambo yamebadilika na sisi tunatakiwa kutunga katiba yetu kwa sasa kwa kujifunza kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo.mfano swala la imani haiingii akilini leo hii kutoa uhuru wa imani kikatiba bila mipaka leo hii wakati tumekwisha anza kuona jinsi imani zinavyotupeleka pabaya. ni lazima uhuru wa imani leo hii uwekewe mipaka kwa kutaja ni mambo gani yanaruhusiwa kiiimani ili kwa yeyote anayewaza kutumia imani kuvuruga jamii kutambua moja kwa moja katiba haimruhusu. tulitakiwa tufanunue uhuru unaotolewa ni wa aina gani kwa maana unaruhusiwa kuamini unavyotaka lakini hauruhusiwi kumlazimisha mtu kuamini unachotaka, unaruhusiwa kuamini unachotaka lakini imani ni kosa kutumia imani yako kuhamasisha watu kuacha njia zilizothibishwa za matibabu, kiuchumi.
Mbona sababu kibao zimeshatolewa na kutAjwa na wachangiaji kibao tofauti na mimi kuhusu mambo mazuri yaliyo kwenye katiba inayopendekezwa kikubwa ni kuiptia vifungu husika ili kujielimisha!kwa vipi? maana kila anayesema iko poa lazima atoe sababu na yule anayesema haiko sawa lazima atoe sababu.yeyote anayetoa msimamo bila sababu hastahili kusikilizwa kwa maana hajui anachokisema.
Suala la imani ni very complex na linatakiwa kuwa handled with care,imani ni kuamini pasipo mashaka yoyote kuhusu jambo fulani sasa Serikali jambo hili imeliweka wazi kwa kutoa uhuru wa kuabdu na imani japo kuwa katika uhuru huu kuna mipaka, ukisoma Katiba inayotumika sasa ya mwaka 1977 ina kipengele hicho, vivyo hivyo Katiba inayopendekezwa ibara ya 41 imeeleza wazi masuala ya dini na kuna vifungu vinavyotoa makatazo ya shughuli za dini kuvunja amani, uchochezi wa aina yoyote unaoweza kuleta mtafaruku katika jamii.Jambo la matibabu kiimani Serikali haiwezi kuliingilia kwa sababu ni la mtu binafsi, mtu anaweza kuamwamini Mungu kuwa anaponya na akapona kulingana na imani yake,Hapa huwezi kuwazuia watu jinsi wanavyoamini katika matibabu yao na imani zao isipokuwa tu pale ambapo mambo hayo yatahatarisha usalama wa nchi na maelfu ya wtz hapo serikali itaingia kwa nguvu zote! Fanya tathmini ya kikombe cha babu Loliondo kisha unipe majibu hapa!!!!
kwa vipi? maana kila anayesema iko poa lazima atoe sababu na yule anayesema haiko sawa lazima atoe sababu.
yeyote anayetoa msimamo bila sababu hastahili kusikilizwa kwa maana hajui anachokisema.
anayeweza kuwabeza waliotunga katiba ya miaka ya sabini ni mjinga. mimi binafsi sikusema hatutakiwi kufanya kama wao kwa maana ya kuwadharau bali nikitafakari mazingira waliyokuwano nayo kipindi kile ninaona walichokifanya enzi hizo kilikuwa sahihi kwa maana kiliendana na wakati ule.