Mlifanikiwa kuwapiga picha hao wataifishaji mali na watu?Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao waliovamia nyumba ya Joseph Mrindoko walikuwa wamevalia kiraia na kujitambulisha kama Askari Polisi kabla ya kuwaweka chini ya ulinzi wahusika hao wawili.
Taarifa zinaeleza kuwa vifaa vyote vya kazi vya kundi hilo, vikiwemo kamera, kompyuta na nyaraka mbalimbali, vilichukuliwa na watu hao bila kuwasilishwa hati yoyote ya upekuzi au maelezo rasmi ya sababu ya ukamataji huo.
Hadi sasa, haijafahamika rasmi ni kituo gani cha polisi kilichohusika na tukio hilo, wala sababu ya ukamataji wa wachokonozi hao ambao wamekuwa wakijulikana kwa kazi zao za ufuatiliaji wa masuala ya kijamii na kisiasa.
Credit: Martinmaranjamasese
Ile sheria mpya ya usalama wa taifa iliyopitishwa na bunge kibogoyo, hili ndio lilikuwa lengo lake.Unajua kitu wasijojua watu ni kwamba, watu kama hao hata wakiwa na miguu ya kuku sio rahisi kuitumia kwenye kundi la watu.Wanajua wakiua mtu ndio hukumu yao ya kifo, na wakiwa watatu nyie mko kumi, hawawezi kuua watu wote kabla hawajadhibitiwa. Na wanajua kuna uwezekano wao kupona ikiwa hawatatumia silaha, kuliko wakitumia
Kwa hiyo inahitaji ujasiri tu katika kuwakabili kama kundi.
Siku zote kuna nguvu nyingi katika wingiSasa mkuu umevamiwa nyumbani utawezaje kufanya hivyo, na ukionesha ukaidi ndio yanakua yale yale ya mdude pigwa kichwani damu zinavuja.
Inshort hiki unachokisema chafaa kiwe akilini kwa Kila mwananchi kwa namna ile ile ambayo huwa wanapeana taarifa za wizi iwe hivyo hivyo kupeana taarifa kwa upande huo.
Ilishasemwa, Polisi hawawezi kuja kukamata mtu kama hawana uniform. Kwani kukamata mtu inahitaji kuwa undercover? Hao kama ni Polisi ni Polisi wauaji wanahitaji kuuwawa na wananchi wenye hasira. Tena piga, ua na choma moto kabisa. Tanzania tuache kuwa waoga kama nyumbu.Nani awapige, polisi wa upelelezi hawavai uniform lazima walionesha vitambulisho. Hiyo ni taaluma ya watu mmeiheshimu, mortuary watakutanguliza wewe, usiandike jambo lisilowezekana
Muungano ufe Tanganyika iwe huruMuuaji Mkuu kipindi Cha Meko ndio mtu wao WA maana pale Arusha.Kila siku wanamsifia ngoja yatawakuta.
Piga, ua choma moto wauaji hao, hata kama ni Polisi kweli. Unaenda ku-arrest mtu undercover bila uniform? Waliomu-arrest Mdude Nyangali bila uniform wamempeleka kituo gani? Si walisema wao ni Polisi?We bwege hizo ni taaluma ya watu, we tii sheria bila shuruti. Ukikataa kukamatwa na jeshi la polisi unajiongezea kosa wataongeza nguvu litakuja karandinga na wale mliokwamisha zoezi lao mnaunganishwa na kesi wote korokoroni. Acha kuwaza upumbavu
Wanabaka watakuwa wameathirika na ukimwi,huwezi kuona ni sifa NJEMA kubaka!Wanajua yote hayo, ndiyo maana wamechagua kutokaa kimya, pia wanaheshimu maoni na uchaguzi wa wengine ndiyo maana huyo mmoja anamwambia mwenzake hao watakao tiki it'a okay.
Sasa hao watu wenu watakao wabaka inakuwaje hawaheshimu uchaguzibwa wengine? Kwani nini mtake wote wafanane na nyie kimisimamo? Kwanini muine kubaka ndiyo njia sahihi, kwanini kama misimamo yao ni jinai msiwachukulie hatua za kisheria badala yake mtishie kuwabaka?
Kwa hiyo unasuport utekaji du yani hii nchi watu wan ushetani utadhani hawatakufaNani awapige, polisi wa upelelezi hawavai uniform lazima walionesha vitambulisho. Hiyo ni taaluma ya watu mmeiheshimu, mortuary watakutanguliza wewe, usiandike jambo lisilowezekana
Ccm hawana akili hiyo, watakudungua tu hadhatani na hutawafanya chochoteUnajua kitu wasijojua watu ni kwamba, watu kama hao hata wakiwa na miguu ya kuku sio rahisi kuitumia kwenye kundi la watu.Wanajua wakiua mtu ndio hukumu yao ya kifo, na wakiwa watatu nyie mko kumi, hawawezi kuua watu wote kabla hawajadhibitiwa. Na wanajua kuna uwezekano wao kupona ikiwa hawatatumia silaha, kuliko wakitumia
Kwa hiyo inahitaji ujasiri tu katika kuwakabili kama kundi.
Achana naye huyo ni mpuuzi wa kijani.Piga, ua choma moto wauaji hao, hata kama ni Polisi kweli. Unaenda ku-arrest mtu undercover bila uniform? Waliomu-arrest Mdude Nyangali bila uniform wamempeleka kituo gani? Si walisema wao ni Polisi?
Piga ua choma moto wajinga hawa. Taaluma za watu za kuua? Mjinga sana wewe, ningekujua ningekupiga na kukuchoma moto kama mfano