PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shida ya mrindoko ana ego sana yaani anajifunza anajua.
Pana watu wanajua mambo wanaelimu kubwa ya siri za dunia lakini hawaongei kwa kukera watu ufafanua mambo kwa hekima
CV yake ikoje? Ana umri gani?
 
Unajua kitu wasijojua watu ni kwamba, watu kama hao hata wakiwa na miguu ya kuku sio rahisi kiutumia kwenye kundi la watu.Wanajua wakiua mtu ndio hukumu yao ya kifo, na wakiwa watatu nyie mko kumi, hawawezi kuua watu wote kabla hawajadhibitiwa. Na wanajua kuna uwezekano wao kupona ikiwa hawatatumia silaha, kuliko wakitumia

Kwa hiyo inahitaji ujasiri tu katika kuwakabili kama kundi.
UKO SW KBS
 
Mkuu hicho chama chenu mtu asiombe aingie kwenye kumi na nane zenu... Ccm inatakiwa unaipinga kimahesabu sana, wakikudaka hata waliokupigia makofi wakati unaongea hutawaona 🤣😂
Ni sifa ya Wanasiasa wote sio swala la chama.

Kwa asili binadamu sio tuu hataki kukosolewa Bali hataki kupingwa.

Mwisho Mimi sio mwanachama wa Chama Cha siasa Bali ni shabiki wa SSH tuu.
 
Ni sifa ya Wanasiasa wote sio swala la chama.

Kwa asili binadamu sio tuu hataki kukosolewa Bali hataki kupingwa.

Mwisho Mimi sio mwanachama wa Chama Cha siasa Bali ni shabiki wa SSH tuu.
Kiongozi inabidi usitahimili tu
Hao vijana hawana tishio lolote, ni vijana wanajipambania na ka media kao, serikali inawaza kuwauwa hao masikini tu.
 
Back
Top Bottom