Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

Couldn't have said it better. Thanks
 
Mkuu kama unaamini utajiri wa mali ndo utakupa amani au furaha unayohitaji basi tatizo lako ni umasikini wa fikra, Amini kwamba kwa maisha uliyonayo yana sababu na pengine mbele yako ni bora kuliko unaowaona bora sasa.... Nakushauri umuombe sana Mungu, Pia jifunze kwa kusoma na kufuatilia story za waliofanikiwa utakutana na ambao walikuwa wabovu kuliko wewe lakini walikujakuinuka.... Ulichokikosa wewe sio utajiri wa mali bali ni fikra zako tu maana wapo wasio matajiri wa mali ila mioyo yao na akili zimewatosheleza.
 
Binafsi hata nikipata tu uhakika wa chakula kwangu ni utajiri mkubwa sana, mambo ya kumiliki mali hiyo ni mipango ya mwenyezi Mungu lakini kubwa zaidi kwangu ni kupata uhakika hata wa chakula tu.
 
Daah sometimes problems is needed for developments
 
Everything you path through its temporary usifanye permanent decision
Pata video hii fupi toka kwa Myles munroe
Your browser is not able to display this video.
 
Binafsi hata nikipata tu uhakika wa chakula kwangu ni utajiri mkubwa sana, mambo ya kumiliki mali hiyo ni mipango ya mwenyezi Mungu lakini kubwa zaidi kwangu ni kupata uhakika hata wa chakula tu.
Mkuu pole hio situation unayopitia hata mm imewahi nikumba ila sikuwaza kabisa kujitoa uhai.

Ajira za kujuana na michongo vile vile.

Ila namshukuru MUNGU Mwaka jana nilipata ajira ya kudumu kupitia UTUMISHI DODOMA so nakushauri nako weka nia kama una uwezo utatoboa .

Ila kwa kipindi hiki kigumu kama upo dar jaribu kupeleka CV yako ASA microfinance kinondoni makaburini, Gardaworld security mikocheni, SGA SECURITY, IRon side security, Jisajilii TAESA INTERSHIP mkuu
 
Pambana boss....ila kumbuka kila mwanadamu ana kitu kinaitwa narrating self....cha msingi ni kuongeza kusahau na kupambania kile unachokiamini.....wanaokutegemea ni watu pia they do get horny sometimes....
 
Meen me I just float with the waves,nikijivunza kupunguza shobo Kwa kuwa Dunia si ya baba yangu.
 
Hajadanganya, vile tu haujamwelewa! Life begins at forty haina maana ya kuwa uanze kutafuta maisha ukiwa na miaka 40, hiyo miaka ni kuanza kuishi kwa kulingana na ulichokiwekeza au kukitafuta kwa miaka 39 nyuma!
Basi hatujamuelewa wengi.maana wengi uwa wanasuburi hyo 40 ndo kipimo Chao cha maendeleo
 
Siamini katika kauli ya kuwa maisha ni zawadi!
Kuna watu wana bahati mbaya sana na haya haya maisha.
Why would someone give you such a horrible gift ? Mtoto anazaliwa na type 1 diabete halafu familia ni ya mlo mmoja kwa siku, miezi sita mbele anafanyiwa leg amputation kwa sababu ya diabetic complications. Unaweza kutoa chozi!!
Kuna watu wanaweza kusema maisha ni zawadi ila kwa wengine maisha ni mateso makali.
 
io ipo iyo sema viongozi wa dunia hawatak
 
Tafuta pesa mkuu hiyo sumu ipo ila gharama yake ni kubwa mno
 
Acha upumbavu na kukata tamaa. Unamsemea nani tokana na ujinga na uvivu wako. Wengi wangapi na kwa utafiti au testimonies zipi mwanangu?
 


Stay optimistic 24/7 nothing last we are all travelers in this world
 
zipo ila kuzipaya ndio shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…