comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kama una million 8, usifanyie biashara yote, nunua kiwanja cha million 5 au 4, iliobak anzia biashara ndogo.
Biashara na kubet hakuna tofauti
Biashara na kubet hakuna tofauti
Nimeandika juu hapoArdhi haishuki thamani labda pekee ungelimueleza pesa nusu fanya mtaji nusu weka aridhini basi pesa makaratasi
Kuna Uwekezaji wa mda mfupi na mda mrefu hivyo inabidi vyote ucheze navyo na hapo ndo utauona umhimu wa kununua ardhiTatizo la Waafrica huona kuwa na ardhi ni kila kitu. Na akishanunua anajiona ana akili ya maisha, nyie mliopanga eti hamna akili na mnaendekeza starehe afu mje mteseke na mfe uzeeni.
Japo kila mtu ana mipango yake. Lakini hapa Duniani tunapita tu. Unanunua njia kweli. Wanao na wajukuu waje wateseke kisa baba umenunua asset na wanalala njaa. Baadae ufe na maisha ya tabu yaje yawatese na mmoja aje auze halafu akahonge Mademu?
Ni vema kuwekeza kwenye mzunguko ili faida yake ije ilete manunuzi ya asset nyingi
Waafrica mjitafakari sana
Iyo biashara utazani amna hasara kufirisika sio kila unae muona anafanya biashara na kafanikiwa ajawahi pata hasara biashara inachangamoto zake jamani sio jambo dogo kununua kiwanja hajakosea labda ungesema anataka kujenga jengo kubwa la kuishi hapo amezika hela bora biashara lkn kiwanja tena hapa dar ajapotezaHuyo kadanganywa na hawa wazee wanaojuta kutokununua ardhi enzi za zamani, Pesa unayotegemea ipande kwa miake yote hio unaweza kuipata hata kwenye Biashara na zaidi ukapata mahitaji ya kila siku huku unatengeneza profit kuliko kuiweka yote ardhini.
AusioIyo biashara utazani amna hasara kufirisika sio kila unae muona anafanya biashara na kafanikiwa ajawahi pata hasara biashara inachangamoto zake jamani sio jambo dogo kununua kiwanja hajakosea labda ungesema anataka kujenga jengo kubwa la kuishi hapo amezika hela bora biashara lkn kiwanja tena hapa dar ajapoteza
Wakati unaandika uzi hukujiuliza hata maswali marahisi kama hayo?Kwahiyo anasubiri thamani iongezeke akiuze au
Jamiiforums ina kula kulala wengi, wanakurupuka tu bila hata kutumia akili. Nilinunua kiwanja Dom 0.6m mwaka 2022, leo bei ni 15m.Mbona kuwa na ardhi ni uwekezaji mkubwa sana nawapa heshima wote walio na ardhi !!