Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

Kama mwanaume una akili, kuoa uoa sio upumbavu
1 PETRO 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

Kufanya zinaa ndio upumbavu
MITHALI 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Kuoa sio lazima ila ukiamua hutaki kuoa na zinaa usifanye
1 WAKORINTO 7:1-10
Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.

Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.

Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.

Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.

Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.

Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
Huku jf Kwanini kila mwanawake anatetea ndoa/kuolewa?, Pamoja na changamoto za ndoa kuwa nyingi, sijawahi ona mwanamke humu jf akiiponda ndoa/akipinga kuolewa DeepPond dronedrake mama D
 
Wakuu!

Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi.

Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki.

Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za 4000 usikie balaa lake, hasa ukute una kariba ya upole.

Hawa wanawake wa siku hizi ni balaa mkuu, hata umtoe kijiji cha nyamarehe au nanjilinji bado akifika mjini atakuona wewe fala. Huu msala ni bora tu tununue tujue tunanunua aisee, ndoa saivi ni ndoano tu wanaume wanavuliwa kama samaki.

Kama mapenzi ni maji masafi basi mi nanawa tu wakuu. Changamoto kubwa za mapenzi saivi chanzo huwa ni mwanamke anamwacha mwanaume kisa huyo mwanaume hana pesa za kumpatia mwanamke.

Mwanaume ukiwa nazo saivi unatamba mkuu, yaani piga na pasua huyo mwanamke yaani bamiza ukutani awe kama katuni fulani huyo mwanamke haami anakuwa mvumilivu.

Wewe yaani chepuka na wanawake 10 kwa siku yaani wewe leta weusi wa kila rangi na wazungu huyo mwanamke haami kwako sababu pesa ipo.

Kwanza akienda kwao akaeleza ulivo mtenda, utasikia vumilia hayo ni majaribu ya dunia au wengine watamwambia kama umemshindwa usirudi hapa.

Pesa hii pesa hii. Daaah ishini kwa tahadhari wanaume na hizi pugi pugi nyingine magugu maji yao ni chuma ulete tu.
Acha kufichaficha maneno, wewe ni shoga huwezi kuoa. Mnaokataa ndoa ni mashoga.
 
wanatetea kwa sababu ni ajira kwao, ni njia mojawapo kuwapunguzia ukali wa maisha, ni njia mojawapo kwao kujipatia pesa, ni njia mojawapo wao kukidhi mahitaji ya kimateriali, nk, wao ndiyo wana gain, ME anapoteza

wajanja huwa hawaoi
Ndo mana Mwanamke akipigwa na maisha utaskia anasema "bora niolewe"
 
Wewe mtu mwingine kakojoa kazaa kasepa wewe kwa nyege zako unajua utaweza?

Mwanamke akishakuona hivyo lazima akudharau. Unalea vipi mtoto wa mwingine bila makubaliano?
Tenda wema uende zako! Yosefu angekuwaga wa hovyo hivi Yesu asingepata wa kumlea! Na ukipenda boga, penda na ua lake!
 
Wakuu!

Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi.

Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki.

Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za 4000 usikie balaa lake, hasa ukute una kariba ya upole.

Hawa wanawake wa siku hizi ni balaa mkuu, hata umtoe kijiji cha nyamarehe au nanjilinji bado akifika mjini atakuona wewe fala. Huu msala ni bora tu tununue tujue tunanunua aisee, ndoa saivi ni ndoano tu wanaume wanavuliwa kama samaki.

Kama mapenzi ni maji masafi basi mi nanawa tu wakuu. Changamoto kubwa za mapenzi saivi chanzo huwa ni mwanamke anamwacha mwanaume kisa huyo mwanaume hana pesa za kumpatia mwanamke.

Mwanaume ukiwa nazo saivi unatamba mkuu, yaani piga na pasua huyo mwanamke yaani bamiza ukutani awe kama katuni fulani huyo mwanamke haami anakuwa mvumilivu.

Wewe yaani chepuka na wanawake 10 kwa siku yaani wewe leta weusi wa kila rangi na wazungu huyo mwanamke haami kwako sababu pesa ipo.

Kwanza akienda kwao akaeleza ulivo mtenda, utasikia vumilia hayo ni majaribu ya dunia au wengine watamwambia kama umemshindwa usirudi hapa.

Pesa hii pesa hii. Daaah ishini kwa tahadhari wanaume na hizi pugi pugi nyingine magugu maji yao ni chuma ulete tu.
Ko unataka uwe shoga , fala sana ww, oa mume mwenzio Sasa , afu hii kasumba ya kuzisema ndoa vibaya ni scarm Kuna agenda nyuma ya pazia ,

Vijana oa hata kama ndoa itasababisha kutoa uhai wako lakini umetimiz kusudi la Mungu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kama mwanaume una akili, kuoa uoa sio upumbavu
1 PETRO 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

Kufanya zinaa ndio upumbavu
MITHALI 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Kuoa sio lazima ila ukiamua hutaki kuoa na zinaa usifanye
1 WAKORINTO 7:1-10
Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.

Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.

Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.

Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.

Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.

Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
Daah haya maandiko yote kwa sasa hivi hayafanyi kazi tena....
 
Kuoa sio tatizo, kuna kuoa na kuna kuzoa. Shida mnazoa hamuoi, ukizoa lazima yakukute.
Oa KWA kuchunguza asili utojuta
Mmmhhh zoa zoa, asili wapi kaka binadamu wa siku hizi daah utu amna.
 
Ko unataka uwe shoga , fala sana ww, oa mume mwenzio Sasa , afu hii kasumba ya kuzisema ndoa vibaya ni scarm Kuna agenda nyuma ya pazia ,

Vijana oa hata kama ndoa itasababisha kutoa uhai wako lakini umetimiz kusudi la Mungu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana tukaoa ila moto tuna uona athari ya moto majivu.
 
Wanawake wa kizazi hiki akili zao zimeongezeka sana. Lkn wanaume wa kizazi hiki akili zao zimepungua Sana. Ndiyo maana ndoa zinavunjika mno.
Inawezekana sio kweli sana, labda useme wanawake wamekuwa wajuaji tu.
 
Wakuu!

Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi.

Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki.

Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za 4000 usikie balaa lake, hasa ukute una kariba ya upole.

Hawa wanawake wa siku hizi ni balaa mkuu, hata umtoe kijiji cha nyamarehe au nanjilinji bado akifika mjini atakuona wewe fala. Huu msala ni bora tu tununue tujue tunanunua aisee, ndoa saivi ni ndoano tu wanaume wanavuliwa kama samaki.

Kama mapenzi ni maji masafi basi mi nanawa tu wakuu. Changamoto kubwa za mapenzi saivi chanzo huwa ni mwanamke anamwacha mwanaume kisa huyo mwanaume hana pesa za kumpatia mwanamke.

Mwanaume ukiwa nazo saivi unatamba mkuu, yaani piga na pasua huyo mwanamke yaani bamiza ukutani awe kama katuni fulani huyo mwanamke haami anakuwa mvumilivu.

Wewe yaani chepuka na wanawake 10 kwa siku yaani wewe leta weusi wa kila rangi na wazungu huyo mwanamke haami kwako sababu pesa ipo.

Kwanza akienda kwao akaeleza ulivo mtenda, utasikia vumilia hayo ni majaribu ya dunia au wengine watamwambia kama umemshindwa usirudi hapa.

Pesa hii pesa hii. Daaah ishini kwa tahadhari wanaume na hizi pugi pugi nyingine magugu maji yao ni chuma ulete tu.
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨
Haya mambo mazito sanaa.... Mimi nilkua na simuliwa na kusikia kwa watu ila saivi nayaona na yananikuta.. Mungu atusaidie tu coz koz kuna mda unawaza ata uwe na mke wa nje unawaza ata upotee kabisa umuache ila inakua ngumua
 
Acha kabisa
 
Tatizo linaanzia kwenye malezi,Background ya Mwanamke au Mwanaume.
Ndiyo mkuu malezi ndiyo kila kitu kaka, yaani daah kuna mwamba naye kapandisha uzi kama huu hapa MMU inaumiza sana yaani jamaa anakomaa kinoma afu akipeleza kidogo tu, mwanamke anamjia juu vibaya mno.

Ukizingatia mwanamke naye anafanya kazi na pesa anapata ila hana mchango wowote zaidi ya kulalamika jamii hatoi mahitaji pale jamaa anapo pelea.
 
Back
Top Bottom