[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huwezi ona mwanamke ambaye anajimidu kwa kila kitu analilia kuolewaNdo mana Mwanamke akipigwa na maisha utaskia anasema "bora niolewe"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huwezi ona mwanamke ambaye anajimidu kwa kila kitu analilia kuolewaNdo mana Mwanamke akipigwa na maisha utaskia anasema "bora niolewe"
Unaweka huruma kwenye kuoa ,,aisee lazima ulie tu mbele ya safariFupa aliloshindwa fisi je? Mbwa ataliweza kweli.... huwa hatuwazii hapo, huruma zetu tu zinatupeleka.
Sawa mchungajiMti wenye matunda ndio unapigwa mawe, ndoa ni kitu chema sana kwa hakika, adui wa ndoa ndiyo walewale adui wa mema mengine yote ya duniani hii hata na mbingu pia, kimsingi ni adui wa Mwenyez Mungu na yale yote yanayompendeza, kwa vile ndoa ni moja ya mema hayo, kizazi hiki kilichooza hakitegemewi kuikubali wala kuipenda kama vile kisivyoyakubali Wala kuyapenda mema mengine yote. Ni kizazi kiovu, hivyo maovu na waovu ndivyo vinavyopendwa, kusifiwa na kushangiliwa, mambo mema na matakatifu yanatukanwa, yanadhihakiwa, yanadharauliwa na kukejeliwa hata kutiwa kufuru, Mungu wa mbinguni akisaidie kizazi hiki chetu, kinachoangamia kwa kukosa maarifa. Mimi na nyumba yangu (ndoa yangu) tutamtumikia Bwana, nyinyi wengine chagueni hii leo, ni nani mtakayemtumikia ktk kipindi hichi kifupi Cha maisha yenu hapa duniani....Nawatakieni jpili njema.
Kuna mwamba kaoa uchagani, kumbe mama mkwe na binti yake wanataka zawadi za send off tu. Ndoa imedumu miezi miwili, mwanamke karudi kwa mama yake, hoja eti mme wake mwizi, kaiba power bank.Mimi napenda harusi tu
Haya yote nitoka vitabu walivyotuletea. ..before that mababu zetu walisemaje?..mwenye ufahamu kwenye historia atusaidie...Kama mwanaume una akili, kuoa uoa sio upumbavu
1 PETRO 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
Kufanya zinaa ndio upumbavu
MITHALI 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Kuoa sio lazima ila ukiamua hutaki kuoa na zinaa usifanye
1 WAKORINTO 7:1-10
Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.
Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.
Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
Usukumani utaachwa na mahali yako. Dr Mwaka na Manara wawe mfano kwakoKuoa raha ila cha msingi utolewe mahari mm yule mwanamke kila akikumbuka kuniacha anawaza mahari aliyonitolea basi anakuwa mpole maisha yanaenda
Single maza wengi ni fakadi
[/QUOTE
Tulishaamua kwenye kikao hili shida yako huwa unalala kwenye vikao nyeti
Duh!Kuoa sio tatizo, kuna kuoa na kuna kuzoa. Shida mnazoa hamuoi, ukizoa lazima yakukute.
Oa KWA kuchunguza asili utojuta
Wewe mbinguni moja kwa mojaNdiyo hivo mkuu
😁😁😁😁@Copa Cabana Wewe ndio hufanyi kazi ila maandiko Yapo palepaleDaah haya maandiko yote kwa sasa hivi hayafanyi kazi tena....
Shida mnaoa mashangingi ya baaWakuu!
Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi.
Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki.
Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za 4000 usikie balaa lake, hasa ukute una kariba ya upole.
Hawa wanawake wa siku hizi ni balaa mkuu, hata umtoe kijiji cha nyamarehe au nanjilinji bado akifika mjini atakuona wewe fala. Huu msala ni bora tu tununue tujue tunanunua aisee, ndoa saivi ni ndoano tu wanaume wanavuliwa kama samaki.
Kama mapenzi ni maji masafi basi mi nanawa tu wakuu. Changamoto kubwa za mapenzi saivi chanzo huwa ni mwanamke anamwacha mwanaume kisa huyo mwanaume hana pesa za kumpatia mwanamke.
Mwanaume ukiwa nazo saivi unatamba mkuu, yaani piga na pasua huyo mwanamke yaani bamiza ukutani awe kama katuni fulani huyo mwanamke haami anakuwa mvumilivu.
Wewe yaani chepuka na wanawake 10 kwa siku yaani wewe leta weusi wa kila rangi na wazungu huyo mwanamke haami kwako sababu pesa ipo.
Kwanza akienda kwao akaeleza ulivo mtenda, utasikia vumilia hayo ni majaribu ya dunia au wengine watamwambia kama umemshindwa usirudi hapa.
Pesa hii pesa hii. Daaah ishini kwa tahadhari wanaume na hizi pugi pugi nyingine magugu maji yao ni chuma ulete tu.
Haya yote nitoka vitabu walivyotuletea. ..before that mababu zetu walisemaje?..mwenye ufahamu kwenye historia atusaidie...
Hili nalitambua but nia yangu nikupata mtiririko km uliandika wazee wetu before mkoloni aliishije/aliwaasia nn vizazi vijavyo..Usilinganishe babu zetu na hawa wavulana wa siku hizi
Babu zetu wenyewe walikua wanaume wa shoka, marijali waliooa hadi wake 2, 3 tena wakiwa na uchumi mzuri