Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

Haya yanatokea siku hizi sababu baadhi ya wanaume wamejipa forum ya kuyazungumza. Hivi mnafikiri wanawake wa zamani wakiwemo mama zetu walikuwa tofauti sana na waliopo sasa. Tofauti ya Sasa ni kuwa wanaume wa leo sisi ni wepesi wa kukimbia. Wanaume wa kitambo walikuwa wanakufa na tai shingoni.
 
Wakuu!

Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi.

Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki.

Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za 4000 usikie balaa lake, hasa ukute una kariba ya upole.

Hawa wanawake wa siku hizi ni balaa mkuu, hata umtoe kijiji cha nyamarehe au nanjilinji bado akifika mjini atakuona wewe fala. Huu msala ni bora tu tununue tujue tunanunua aisee, ndoa saivi ni ndoano tu wanaume wanavuliwa kama samaki.

Kama mapenzi ni maji masafi basi mi nanawa tu wakuu. Changamoto kubwa za mapenzi saivi chanzo huwa ni mwanamke anamwacha mwanaume kisa huyo mwanaume hana pesa za kumpatia mwanamke.

Mwanaume ukiwa nazo saivi unatamba mkuu, yaani piga na pasua huyo mwanamke yaani bamiza ukutani awe kama katuni fulani huyo mwanamke haami anakuwa mvumilivu.

Wewe yaani chepuka na wanawake 10 kwa siku yaani wewe leta weusi wa kila rangi na wazungu huyo mwanamke haami kwako sababu pesa ipo.

Kwanza akienda kwao akaeleza ulivo mtenda, utasikia vumilia hayo ni majaribu ya dunia au wengine watamwambia kama umemshindwa usirudi hapa.

Pesa hii pesa hii. Daaah ishini kwa tahadhari wanaume na hizi pugi pugi nyingine magugu maji yao ni chuma ulete tu.
Hivi uoe mtu kama Aunt Ezekiel, Kajala, Lulu Diva, na mademu wengine uchawi wa bongo movie unategemea nini sasa?
 
Kumbe ujanja kwako ni kuolewa au? Unapilamamikia kutoa ina maana unataka ukae upande wa kupokea... na huko ni kwa mke... hebu fikiria vizuri mjomba. Hayo ni mawazo hatarishi.
 
Haya yanatokea siku hizi sababu baadhi ya wanaume wamejipa forum ya kuyazungumza. Hivi mnafikiri wanawake wa zamani wakiwemo mama zetu walikuwa tofauti sana na waliopo sasa. Tofauti ya Sasa ni kuwa wanaume wa leo sisi ni wepesi wa kukimbia. Wanaume wa kitambo walikuwa wanakufa na tai shingoni.
Zamani pesa haikuwa ina dhamana kama leo mkuu, silaha ni pesa mjini saivi.

Mambo siku hizi ni mengi, anasa na starehe zimezidi, demu unamlisha vizuri kila siku sasa ukija kumpa ugali dagaa na tembele mara 2 mara 3 umemkimbiza mazima.

Kwa hiyo pesa bhna ni hatari.
 
Usilinganishe babu zetu na hawa wavulana wa siku hizi
Babu zetu wenyewe walikua wanaume wa shoka, marijali waliooa hadi wake 2, 3 tena wakiwa na uchumi mzuri
Kumbuka na leo hii wapo wanao jituma lakini wapi wanatemwa au kuuliwa na wake zao. Watu wamejitosheleza nyumba na magari plus mali za kutosha.
 
Single Maza ni sawa na sumu isiyo na expired date.....SASA shauri yako........maana hiyo haifai hata Kwa matumizi ya kujiua..........utakuwa kufa ufi lakini upo Kati Kati........kama unaamka au unakufa
daa! wabongo.hivi tungekuwa tunaongea kiingereza tu huu udambwi udambwi tungeupata?
 
Uzi wako uko vyema sana. Ni kweli kwamba sasa hivi kujenga familia iliyo bora ni ngumu sana kutokana na sababu mbali mbali ambazo shetani anazidi kuzi- implement miongoni mwa watu na hasa jinsia KE.

Kwa wakati tulio nao nashauri tu kwa wale wanaotaka kuona, ukishapata mwenza bora umfanyie interview, akifaulu lipa mahari, chukua watu wawili au watatu kafunge ndoa kutokana na imani yako. Hakuna haja ya vikao sijui kadi kibao za michango na vikao. Sherehe kubwa. Haina haja kabisa. Mwisho wa siku hakuna amani ndani ya nyumba kila mtu analala chumba chake.

Sasa hapo hata mkiachana hakuna hasara.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom