Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Bikra Zipo vijijini huko japo kuwa mjini pia zipo lakini Ni chache Kwa wasichana waliofikisha umri wa kubarehe
 
Pale KAHABA anapojitetea
 

Msimamo wangu uko palepale lazima nioe mwanamke BIKRA , ukiona nipo na wewe mwanamke na hauna bikira sahau tu mm kuwa mumeo nitakulala nikikuchoka na badili chombo
 
Kuna siku moja nimepoa katika hizi vilabu vya pombe Za kienyeji, kuna Bibi pembeni alikuwa anapata ulabu.Sasa Mimi na watu wengine tukawa tunapiga stori Za hapa Na pale, nikasikia Bibi anasema NITASAHAU WANAUME WOTE LAKINI SIO YULE ALIYENITOA BIKRA.

Sasa wewe fikiria Kwa akili ya kawaida Yule Bibi umri ulikuwa kama miaka 70+ lakini alimkumbuka aliyemtoa bikra.Vipi mke uliyemuweka ndani?.

Mwanamke bikra Ni Bora Sana katika ndoa.
 
When an experienced B2B midfielder trying to trivialize the significance of Virginity in building a well healthy and stable marriage in favor of glorifying promiscuity...

Wewe kama kama mumeo amekuoa ukiwa tayari una countless body counts usiwapumbaze wenzako na wao wawe wafanye umalaya kabla ya kuolewa kama wewe as if ni kitu kizuri sana... Wanaume sio wajinga kama unavyofikiria
 
Hutakiwi kuanza kujiwekea negative thoughts kichwani kwamba itakuaje akinikataa, watu wa pembeni wananionaje, sijui nikienda pale nitaongea nn nk
wewe ukimuona hesabu hivi
Three, two,one afu jiambue nenda kwahivo chap tu utajilioua kwenda ila kadri unavozidi kujiuliza maswali kama hayo kichwani hautaenda kabisa
Nifundishe
 
Kaka hili bandiko ni too heavy kwa huyu mleta mada kulielewa, huyu ni mwanamke oya oya ambaye ameshatonbwa sana na wahuni na Sasa amebahatisha liboya lake limemuweka ndani basi ndio ameona aje humu kuwasanua na wanawake wenzie kwamba wanaweza wakafanya umalaya na Bado wakaolewa, na huku akitukandia kwa maneno ya kifedhuri sisi wanaume tusiopenda kuoa Malaya wastaafu kama yeye...

Na kingine analazimisha wanaume tuweke standards za kuchagua mke ambazo zinawafurahisha Malaya kama yeye huku akitaka tupuuze kabisa standards za kiumeni
 
Jamaa umeandika nini wewe? Una umri gani kwanza? Au ndio umeshachotwa akili na hawa Malaya wastaafu Sasa hivi unafikiri jinsi wanavyotaka wao?

Bana ehee japo maisha ni probability, ila NJ rahisi sana kuzikuta hizo tabia nilizozi bold hapo kwenye para ya mwisho kwa wanawake ambao hawana bikra na pia ni nadra sana kukuta mwanamke bikra akiwa na hizo sifa...

Mwanamke bikra mara nyingi anakuwaga Yuko so agreeable,so submissive,so shy, so polite, so convenient to live with,so open-minded,so manageable... Tofauti kabisa na hao magube gube ambayo yanajua Kila aina ya mboho kwanza muda wote ni majitu yakuleta ligi tu huku akikulinganisha na ma ex wake karibu kwenye Kila jambo kwanzia kitandani mpaka kwenye kuvaa... We hebu acha kudanganyika bhana
 
Shukrani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe utakuwa umeishazibuliwa mtaro ndo maana hujui thamani ya bikra!
Wanaozibuliwa mtaro ni wanaume kama wewe, bila shaka u miongoni mwao na ndo maana unakuja kinyume na hoja inayojieleza kiufasaha.

Mtoa mada hajagusia uzibuaji wa mtaro wewe u, naingiza uzibuaji huo kwa maana kwamba u mdau wa kuzibuliwa.....

Pole sana.
 
Mkuu

Mkuu kama upo kichwani mwangu vile upo sahihi aisee
Kinachotakiwa ukimuona mwanamke aliekuvutua vuta pumzi kisha itoe kwa mdomo na pua kwa pamoja then hesabu three,two,one
Gooo ...

Ukifika pale msalimie kama unavosalimiaga wahudumu wa maduka etc then sema samahanii........ Maneno yatajitengeneza yenyewe ukianza kuongea nae tu utajiona woga unaondokaa ila usimuangile machoni utaanza kuogopa tazama kwa juu ya macho yake
 
Nimegundua kitu hahaha, usjali lkn muhim mume wako hajamaindi alivokuta haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…