Michael Dudicoff
Senior Member
- Aug 20, 2024
- 170
- 243
Ukioa mwanamke asie kuwa na bikra kuna asilimia kubwa ya kuja kukongewa mkeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukioa mwanamke asie kuwa na bikra kuna asilimia kubwa ya kuja kukongewa mkeo
Bikra Zipo vijijini huko japo kuwa mjini pia zipo lakini Ni chache Kwa wasichana waliofikisha umri wa kubareheSio ajabu mbona...
Tangu mchina awekeze kwenye biashara ya kutengeneza bikira limeibuka kundi la wapumbavu kama wewe wenye kujisifu kuwa walioa bikira ilhali huyo demu alishatumika sana kisha akaenda kwa mchina kununua bikira ili kumfurahisha mjinga kama wewe
Pale KAHABA anapojiteteaKuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Msimamo wangu uko palepale lazima nioe mwanamke BIKRA , ukiona nipo na wewe mwanamke na hauna bikira sahau tu mm kuwa mumeo nitakulala nikikuchoka na badili chomboKuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
NifundisheSasa utampataje na kuapproach hujui
Nifundishe
Kaka hili bandiko ni too heavy kwa huyu mleta mada kulielewa, huyu ni mwanamke oya oya ambaye ameshatonbwa sana na wahuni na Sasa amebahatisha liboya lake limemuweka ndani basi ndio ameona aje humu kuwasanua na wanawake wenzie kwamba wanaweza wakafanya umalaya na Bado wakaolewa, na huku akitukandia kwa maneno ya kifedhuri sisi wanaume tusiopenda kuoa Malaya wastaafu kama yeye...Sister una akili mbovu sana.
Hapo mambo ya kuachana ni majaliwa, hakuna couple wanaoana ili waachane, ni bahati mbaya zinatokea hamuendani ila hio hoja ya kusema uoe mwanamke yoyote tuu mwenye bikra au asiyekuwa nayo just because umeona wanawake wameolewa bila bikra na ndoa zimedumu ni hoja mbovu sana
Kila mwanaume ana qualities na standard anazotafuta kutoka kwa mwenza wake, sasa kama mwanaume anataka mwanamke bikra ni standard zake alizojiekea, kitendo cha wewe kusema ana akili za kijinga inaonesha jinsi gani ulivokuwa "Mpumbavu wa akili" kwa kupangia watu standard.
Kila mtu anatafuta kilicho bora madam regardless what the future holds, na tusifichane bikra ni bora, kwasababu ina akisi utulivu wa mwanamke na uaminifu wake kitu ambacho ni nadra sana kwa wanawake wa sikuiz.
Kama wewe hutaki kuolewa na mwanaume masikini kwann mwenzako akitaka kuoa mwanamke "pure" aliyejitunza kwaajili ya mumewe, hakufanya umalaya wakati wa ujana, unamwita mjinga? Standard zako sio standard zetu, Fikra zako sio fikra zetu.
Kubali ukatae mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua, why? kwasababu tayar huyu mwanamke anakuwa ame-develop preferences na hakuna kitu kibaya kama mwanamke aliye-develop preferences kwasababu ana kuwa ana judge vitu kulingana na experience(preferences) alizopitia, najua utabisha kwamba mwanamke akilala na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua but i'm happy to inform that this is scientific, soma hapo chini.
View attachment 3119306
Hoja yako ni weak sana kwasababu thamani ya mwanaume ni tofauti na thamani ya mwanamke, kinachompa uthamani mwanamke ni tofauti kabisa na kinachompa uthamani mwanaume.
The Value of Woman is in her past.
The Value of Man is in his future.
Women are born with Value.
Men are born without Value.
Women have much to loose.
Men have more to gain.
Bi zandile
Jamaa umeandika nini wewe? Una umri gani kwanza? Au ndio umeshachotwa akili na hawa Malaya wastaafu Sasa hivi unafikiri jinsi wanavyotaka wao?Boss
Asante kwa andiko lina point sana,,ila tuwe wakwel tu, sex peke yake haifanyi ndoa kuwa na furaha
Mtoa mada ana point asikilizwe,kutokuwa mbinafsi,kuvumiliana na kuheshimiana,msamaha ndio mambo muhimu sana katika maisha ya ndoa period
Wewe oa bikira wako halafu awe mjeuri,mbinafsi,hana heshima,hana subira,nakwambia utasahau hata kama ulimuoa na bikira
Hongera sana best, naamini jamaa alifungua mwenyewe kutoka kwenye maganda yake....Maisha ni kupanga...
Mwaka wa 10 huu kwny ndoa...
Shukrani 😂😂😂Hutakiwi kuanza kujiwekea negative thoughts kichwani kwamba itakuaje akinikataa, watu wa pembeni wananionaje, sijui nikienda pale nitaongea nn nk
wewe ukimuona hesabu hivi
Three, two,one afu jiambue nenda kwahivo chap tu utajilioua kwenda ila kadri unavozidi kujiuliza maswali kama hayo kichwani hautaenda kabisa
Najua huwa unajiuliza maswali mengi sana kichwani afu unajijibu mwenyewe ndo maana huendi hata mm zamani nilikuwaga hivohivoShukrani 😂😂😂
😁😁😁 Siku hizo hata hizo za spika NI adimuLabda ya Spika.
Wanaozibuliwa mtaro ni wanaume kama wewe, bila shaka u miongoni mwao na ndo maana unakuja kinyume na hoja inayojieleza kiufasaha.Wewe utakuwa umeishazibuliwa mtaro ndo maana hujui thamani ya bikra!
Mkuu kama upo kichwani mwangu vile upo sahihi aiseeNajua huwa unajiuliza maswali mengi sana kichwani afu unajijibu mwenyewe ndo maana huendi hata mm zamani nilikuwaga hivohivo
Kinachotakiwa ukimuona mwanamke aliekuvutua vuta pumzi kisha itoe kwa mdomo na pua kwa pamoja then hesabu three,two,oneMkuu
Mkuu kama upo kichwani mwangu vile upo sahihi aisee
Best mbona hukuja 🥺Oooh nakuja
Nimegundua kitu hahaha, usjali lkn muhim mume wako hajamaindi alivokuta haipoKuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.