Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Wakioa bikra fake unapungukiwa nini?,haya wangapi wanaoa wanawake wasio bikra na wanaishia kulia tu. Acheni kuhalalisha uharamia wenu hapa kwa kutetea tetea ujinga na kujenga hoja za kipuuzi ili kuhalalisha upuuzi wenu
 
Ngoja nisubiri mabkra 70.....uko akhera

Uku tunajzana upepo tu bikra mbele mdomo upo wazi...ahahahaa
 
Wakioa bikra fake unapungukiwa nini?
Wakioa asiye bikira unapungukiwa nini?

Acha ujinga....... Besides, virginity doesn’t make marriage work. What makes marriage work is selflessness, forgiveness, kindness, patience and commitment.
 
Oa tu asiye bikra unayependana naye.. Besides, virginity doesn’t make marriage work. What makes marriage work is selflessness, forgiveness, kindness, patience and commitment.
Lakini hivi ulivyoviandika hapa unakubali kuwa hata bikra anakuwa navyo?
 
Lakini hivi ulivyoviandika hapa unakubali kuwa hata bikra anakuwa navyo?
Nimekupa kile mtoa mada anachokazia, mtazamo wako upo kinyume na mtoa mada..

Ingekuwa sawa ikiwa utakubaliana na hoja ya mtoa mada.

Ndoa haifanyiki kuwa bora kwa sababu ya kuoa bikra.

Soma vizuri alichoeleza mtoa mada, soma tena na tena na tena na utaelewa.

NB
Mtoa mada hahamasishi mabinti watobolewe kabla ya ndoa.
 
Alieleta mada hii ni mwanamke halafu ...hakuna mwanaume asiependa kuoa bikra tatizo kujua mwanamke ni bikra ni mpka ulale nae pili kuna bikra feki ndo maana siku hizi hatuziulizii ....unafikiri mungu kwanini alimuwekea kizinda mwanamke na sio mwanaume?
 
Wewe kweli hamnazo usikute hamna malezi kwenu
 
Wewe bila shaka ni demu asie bikra na hajaolewa unatafuta huruma humu
 
So as your mom is a begger
Virginity is the biggest loyalty from a woman
Not any woman, Be specific “your woman” we ain’t yours, relax.

Bolded: You can’t drag me to your level… I am smarter than you.
 
"Ah, specificity noted! But relax—ownership isn't my style; elevation is. Speaking of levels, are we sure you're at yours?"
The importance of a virgin girl before marriage is often perceived through the preservation of cultural honor, adherence to religious doctrines of chastity, demonstration of moral fortitude, safeguarding of emotional and physical purity, cultivation of trust and respect within matrimonial bonds, reduction of health risks, affirmation of societal expectations, and the embodiment of personal or spiritual integrity.




Support your foolishness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…