Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

binti kiziwi deaf
 

Nafikiri umewaonea tu, hatuwezi kubisha kwamba “Ni bora kuoa bikra” maana ni less risky, but not guarantee; Kama unajipa moyo Sababu umechukua lingoro lako, usikatishe tamaa wenzako!

Utafiti unasema wanawake wengi wanaotoka kwenye ndoa, hutoka na watu ambao wamewahi Kuwa na mahusiano nao, sikumbuki statistics, ila ni zaidi ya 90%

Kwa kuoa bikira, utafiti unasema unapunguza asilimia kubwa sana ya hayo mambo, ila sio guarantee nakubali, sijui unanielewa?
 
Bikra ni muhimu Sana inaonesha jinsi gani mwanamke anatunza utu na dhamani yake.Tulitakiwa kuwaasa na kuwasisitiza watoto wetu wa kike wajitunze na sio kuwaambia Ndoa haijengwi na Bikra.
Ila kuna mama mmoja nasikia aliolewa akiwa bikiria anagawa jamani dah,ungeweza kusema labda mume wake muhuni lakini wapi,jamaa mtu wa nyumbani sana....!
 
Wanawake wanachukia sana mada hizi za UMIHINU WA MWANAUME KUOA MKE MWENYE BIKRA.
Wengi wape,unaweza kumpata mke bora ambaye hana bikira lakini kwa asilimia kubwa mke bora pamoja na mambo mengi ni yule aliye weza kujitunza na hadi pale alipoolewa.
Baadhi ya makabila walikuwa wakimruhusu mume na mke kuanza kujamiiana baada tu ya ndoa,na alitwa mtu kwenda kuhakikisha endapo mwanamke alikuwa bikira au laa!
Mjumbe anaporudi na kutoa taarifa kuwa mwanamke alikuwa hajaanza kuingiliwa basi shamra shamra hufanyika kwa kupongezana.
Ndoa ni maisha na ni mchakato hivyo ukimpata bikira utakuwa na bahati lakini sio wote wenye hiyo bahati.

Binafsi mwanamke bikira ni bora kuliko aliyechezewa na mamia ya wanamme,hawezi kuwasahau wote
 
Hata kama unamjua mwambie mleta mada yeye ni mpumbavu na bila shaka huyo mme wake wanaumia kwa kumuoa akiwa MTUMBA

BIKRA HAWEZI KUFANANISHA NA KAHABA ABADAN
 
Hata kama unamjua mwambie mleta mada yeye ni mpumbavu na bila shaka huyo mme wake wanaumia kwa kumuoa akiwa MTUMBA

BIKRA HAWEZI KUFANANISHA NA KAHABA ABADAN
Wewe unamuona mleta mada ni mpumbavu, mumewe anamuona bibie sio mpumbavu na ndio maana wanafurahia maisha...

Nadhani wewe ukiitwa mpumbavu kwa kukerwa na maisha ya wengine nasi unafaa kuitwa mpumbavu.
 
Wewe unamuona mleta mada ni mpumbavu, mumewe anamuona bibie sio mpumbavu na ndio maana wanafurahia maisha...

Nadhani wewe ukiitwa mpumbavu kwa kukerwa na maisha ya wengine nasi unafaa kuitwa mpumbavu.
Tuliza mshono na wewe ndio unaonekana uliemuoa huyo mtumba mleta mada, pole sana kwa kuoa mke wa mtu
 
Upo Sahihi 💯
 
 
Tuliza mshono na wewe ndio unaonekana uliemuoa huyo mtumba mleta mada, pole sana kwa kuoa mke wa mtu
Kusema kwamba ni mke wa mtu inadhihirsha wazi wewe una akili kisoda coz aliyeoa halalamiki halafu wewe umekaza fuvu eti ni mke wa mtu.....

Laiti ungejua kuwa siku hizi kuna bikira za dukani ungefunga domo lako maana utajtapa leo au kesho kuwa ulioa mke bikira ilhali huyo Ke alitobolewa kitambo kisha akaenda kwa Wachina kununua bikra ili akufurahishe zuzu kama wewe...

Pole sana kijana.
 
Aroo we! Arooo tena! Dem bikra ndo wife material full stop!!!!!
Kongolee kwa Wachina wanaotumia ujinga wa wasaka bikira kama fursa ya kudumu kuuza bikra feki...

Endelea kujimwambafu ila mchina anakuletea bikra ya kiwanda 😂
 

Ni utoto tu wakikua wataacha, ndoa ni complex sana na sex ni part muhimu ila ni ndogo! Ni yaleyale ya wabongo kujua kila issue inatatuliwa kwa nyundo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…