Ugomvi na watu haujawai muacha mtu salama, unataka kuniambia kuwa demu ambae kashatolewa noniii......ni mke wa mtu aliechwa so tusimchumbie....vijana ukioa dem asiye na bikira umeoa mke wa mtu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugomvi na watu haujawai muacha mtu salama, unataka kuniambia kuwa demu ambae kashatolewa noniii......ni mke wa mtu aliechwa so tusimchumbie....vijana ukioa dem asiye na bikira umeoa mke wa mtu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ile mada ya umuhimu wa bikra naona watu wanai support kwa nguvu zote[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beauty is in the eyes of the beholder,
Kila mtu afanye analoona linamfaa yeye.
 
Niaminivyo mm ni kuwa Single mothers ni wanawake wanaojitambua tofauti na hawa wanaochipukia na kujiona bado wana soko na wazuri...
Kwahiyo ili mwanamke ajitambue kwenye ndoa inabidi azalishwe kwanza kabla ya ndoa?
 

Inferiority Complex!
 

Duniani kuna dhiki, jipe moyo (Yesu alisema).

Nimesikitishwa sana na huyu Mtoa mada.

Nawapenda sana single mothers, naamini asilimia kubwa yenu mlizaa na wrong choice.

Na mlizaa na sisi wanaume wenyew. Mungu atusamehe sana.

You are very worth and potential like others, Believe IT!

God forgive huyu Mtoa mada! Hayajui ayatendayo
 
nimekumaind sana we mtoa mada. kwa hiyo unahamasisha sisi masingle mother tusiolewe?? Umeshindwa kwa Jina la Yesu, tunaolewa vizuri na ndoa zetu zimejaa upendo kuliko hao wazibua vizibo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanwake ambao hawana watoto lakini wametumika kuliko hao single mothers, wameumizwa kuliko hao single mothers, na hawana hata nafasi ya kupenda tena. Unaweza kuoa single mother na ukawa mwenye bahati na furaha ya ndoa kuliko alieoa mwanamke asie na mtoto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Raha ya soda ukute haijaonjwa"
"Moyo wa mapenzi ni kama glasi. Ukipasuku ufa wake hauzibiki"

Sexless wewe ni ke? Sio kwa "mipasho spesheli" hii
Kati ya haya moja linakuhusu
Moja: wewe n singo maza
Mbili: umeoa singo maza
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] gftydsvcryyjhhg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…