Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Nimesema asilimia kubwa, we unageneralise 'wote' pole kama umeguswa.
Nimeguswa kivipi mkuu? Mimi sio single mama ila natamani kuwa maana sitaki kuwekewa giza na mtu ndani kwangu
 
Hapana mkuu, kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo heshima. Tumesoma ktk vitabu vya dini habari za mfalme Suleiman kwamba alikuwa na wake 700 na vimada 300. Angalia akina king Mswati. Robert Mugabe kamzidi mkewe miaka 43 (manake ni kwamba umri wa Grace Mugabe in mdogo kwa ule was mtoto wa 1 wa Mugabe), n.k.

Kifupi ni kwamba mwanaume ambaye anaishi na mkewe tu halafu hachepuki ana matatizo
kwani wew ni ME, nijuavyo wew ni KE

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Hapana mkuu, kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo heshima. Tumesoma ktk vitabu vya dini habari za mfalme Suleiman kwamba alikuwa na wake 700 na vimada 300. Angalia akina king Mswati. Robert Mugabe kamzidi mkewe miaka 43 (manake ni kwamba umri wa Grace Mugabe in mdogo kwa ule was mtoto wa 1 wa Mugabe), n.k.

Kifupi ni kwamba mwanaume ambaye anaishi na mkewe tu halafu hachepuki ana matatizo
Usitoe mfano wa mbali muulize babu yake alikua na wake wangapi?af baba wa babu yake na baba wa baba wa babu yake?!!!!
Ye ndo leo anajitia kushangaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mdada sio singo mom basi ametoa mimba za kutosha ndio hao mnaoa baada ya mda mnatafuta mchawi nani ndoa haina mtoto mnaanza kuhisi nmerogwa au unaoa bikra itafungua njia ila stori za saluni nae atataka mkono wa mtoto ladha yake mashosti watamuunganishia atalala na kila mwanaume anayemuona unabaki unajisifia mke wangu alikuwa bikra wkt wenzako wanalima kila saa
Mnatuponda single mum sawa ila hao mnaokimbilia ni moto yaan natamn siku msome vinavyoandikwa kwenye groups za wa mama fb jinsi mnavyopikwa ila msilolijua nikama ...... nenda baba kaoe huko kitu kipya ziwa sa sita
 
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?

Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.

Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.

Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama-- wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao

WITO; raha ya soda ukute haijaonjwa
Soda ilionjwaaa tam sanaa hauna shda ya kwenda n.a. opena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mdada sio singo mom basi ametoa mimba za kutosha ndio hao mnaoa baada ya mda mnatafuta mchawi nani ndoa haina mtoto mnaanza kuhisi nmerogwa au unaoa bikra itafungua njia ila stori za saluni nae atataka mkono wa mtoto ladha yake mashosti watamuunganishia atalala na kila mwanaume anayemuona unabaki unajisifia mke wangu alikuwa bikra wkt wenzako wanalima kila saa
Mnatuponda single mum sawa ila hao mnaokimbilia ni moto yaan natamn siku msome vinavyoandikwa kwenye groups za wa mama fb jinsi mnavyopikwa ila msilolijua nikama ...... nenda baba kaoe huko kitu kipya ziwa sa sita
So unashauri ili mwanamke aolewe lazima azalishwe kwanza kabla yako ndo atatulia kwako?yaan tuoe singo mom ndo mmetulia?
2.singo mom sio vicheche kabisa walisex mara moja mimba ikanasa hakuitoa ndo ukawa singo mom yaan ulikua bikra na hujawah kutoa mba kabla
3.as long as wewe ni singo mama bas huwez kupata secondary infertility yaan ugumu wa kubeba mimba kwa yule aliyewahi kubeba kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Under18 mnajifanyaga mnayajuuuuua hata ambayo hamjayafikia,
OK dogo tumeliskia tutalifanyia kazi,
Endelea kushangilia kuishi na ulomtoa bikra acha sisi tukazane kutafuta mausha na kusomesha watoto wetu,tunakusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unashauri ili mwanamke aolewe lazima azalishwe kwanza kabla yako ndo atatulia kwako?yaan tuoe singo mom ndo mmetulia?
2.singo mom sio vicheche kabisa walisex mara moja mimba ikanasa hakuitoa ndo ukawa singo mom yaan ulikua bikra na hujawah kutoa mba kabla
3.as long as wewe ni singo mama bas huwez kupata secondary infertility yaan ugumu wa kubeba mimba kwa yule aliyewahi kubeba kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nimeshika bango lazima uoe single mom au note nimetoa wat i think unyoe usuke is up to u.
 
Mnavyoponda single mom as if nyie wote mmetoka kwenye familia zile za ndoa na mtoto hapa wengi mna mashangazi dada nao hivyo hivyo mama zenu nao wale wale au nyie pia mnaogoza kuwapa mimba na kuwakimbia mkikana haiwezekan iwe yenu utoaji wa mimba kutupa vichanga asilimia kubwa inasabbabishwa na nyie its only a strong woman anaweza kuvumilia shida zote
Kama mwanaharakati wa kuwatetea single mum sitovumilia nikiona wa2 from no wea mnawasema bila sababu ya msingi hamtaki kuwaoa sawa go wapo wengine. Mwisho kama wewe una mbegu unategemea utakuja kuoa uwe unafamilia dont u ever kumcheka mtu awe mlemavu mlevi tahira umcheke huyu yupo hivi nawe utapata kopy yako takatifu.
 
Mh! Nivizuri kutafakali kwa undani zaidi unapotaka kuandika kitu,kuliko kukurupuka tu kuwasema vibaya akina mama hawa.Unaweza oa hawo mabinti ambao hawajazqlishwa ukakuta mgumba utafanyaje?haya unakuta binti kweli lakini katoa mimba nyingi tu je? huyu nae anatofauti gqni na single mother? Kuna wingine walizalishwa kwa bahati mbaya,walioachika,waliotelekezwa wee acha tu mbona kuna watu wameoa hawo masingle mother lakini wanafuraha sana ktk ndoa zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnavyoponda single mom as if nyie wote mmetoka kwenye familia zile za ndoa na mtoto hapa wengi mna mashangazi dada nao hivyo hivyo mama zenu nao wale wale au nyie pia mnaogoza kuwapa mimba na kuwakimbia mkikana haiwezekan iwe yenu utoaji wa mimba kutupa vichanga asilimia kubwa inasabbabishwa na nyie its only a strong woman anaweza kuvumilia shida zote
Kama mwanaharakati wa kuwatetea single mum sitovumilia nikiona wa2 from no wea mnawasema bila sababu ya msingi hamtaki kuwaoa sawa go wapo wengine. Mwisho kama wewe una mbegu unategemea utakuja kuoa uwe unafamilia dont u ever kumcheka mtu awe mlemavu mlevi tahira umcheke huyu yupo hivi nawe utapata kopy yako takatifu.
Povu kiwango cha uzamivu!!!!
Mkuu kwan mada inasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom