mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe umeona hiloAsante kwa kumpa maswali makini kama hayo. Tena masingo mama ni mabingwa wa utoaji mimba. Hao watoto walionao wameishi baada ya mimba zao kugoma kutoka. Ndiyo maana masingo mama wengi wameathirika kisaikolojia. Kwasababu wanalea watoto waliojaribu kuwaua. Angalia hata michango yao humu ni full jazba.
Haaa haaa [emoji28] [emoji28] [emoji28]Adabu na hekima havijengeki kwa kuzaa. Kwahiyo unashauri wanawake wapigwe mimba na kuzaa ndipo wapate akili za kuolewa?
Ukweli ndo huoWala siyo kujifunza mkuu. Ni kwamba hawana soko tena, hivyo akimpata mwanaume anaona kama ni bahati ya mtende na anaamua kumganda na kutoa adabu fake.
Angekuwa na adabu yasingemshinda kwa mume wake wa kwanza.
Angekuwa na adabu asingebeba ujauzito kqbla ya ndoa.
Angekuwa na adabu ansinge jaribu kuitoa mimba hadi iliposhindikana ndiyo akakubali kuzaa.
Hawa masingo mama wanalea watoto waliojaribu kuwaua
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Asante jimmy maana inafika hatua unajisikia vibaya hao ambao hawajazaa wanatoa mimba tuwaiteje mama Wa marehemuKila mtu na mtazamo wake hakuna kupangiana kama wewe hutaki single mother kausha tuache tulioamua kuwa na single moms tuendelee. Mnawasema vibaya single moms na mnaoa unaosema hawajatumika kuchwa kutwa kugombana kuwa hajatulia. Mtu kuwa single mother siyo kipimo cha kuwa ametumika sana hata hao ambao unawaona hawajazaa wengi wametoa mimba zaidi ya moja. HUWAPENDI SINGLE MOTHER KAUSHA WANAOWAPENDA WATAKUWA NAO.
Mpende ata sisi single mother tunaitaji mapenz ya dhatiDah kama mi nmetokea kupendana na single maza m1,ni chuma hatar, bado hatujaanza mahusiano rasmi,nipo kwenye probation,.kwa uzur wa huyu dada sjui itakuaje,..na amenielewa kwelkwel,namii nimemuelewa,nshamtoa diner moja,mediteraneo pale,yaan mdada mzur had ananipa mawazo,nawaza kanielewaje hiv mtoto kama huyu,.sijapata jib,af inaonekana huko alikokua kulikua njema saana,yan ile saana,ila kuna kitu alikiongea,maana tulivotoka pale nkampeleka sehem nkamnunulia mwanae pizza ampelekee home,sasa kuna kitu akadokeza,ndo kinanipa mawazo kweli,niingie mazima au la..
Huwezi jua sio wote tuliozalishwa tumemegwa Mara kibao wengine tulianza namimba kwahuyohuyo utasemaje tuliangaikaHuyo aliyechoropoa ni siri yake, wewe uliyezaa umejiwekea lebo ya mtoto..... kwamba umemegwa mara kibao mpk ukapata mtoto
Kiukweli nimekuchukia nisamehe bureMega usepe, vinginevyo itakula kwako mkuu
BigupWewe unauhakika gani mama yako sio single mama!! Inawezekana huyo unayemuita Baba sio baba yako mzazi ila amesingiziwa mimba na mama yako hivyo nawe upo kwenye grp la mtoto kutoka kwa single mama....kabla ya kuandika kaa na ujifikirie mara kadhaa je wewe sio Mhenga kutoka kwa single mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe maana single mothers tunasakamwaSio kosa mwanaume kuoa single mom....tatizo akili zenu zafikiria bikira tu....sifa kubwa za mwanamke ni kuwa na upendo wa dhati,mwenye tabia njema,mwenye huruma,mchamungu,mwenye busara...sasa kama mwanamke single mom anazo hizo kwanini nisimuoe? DONT JUDGE A BOOK BY ITS COVERS
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha mkuu uzuri usikuzuzue aisee...hao majanga yao wanayajua mwenyewe! Hujiulizi chuma kama hicho mwanaume mwenzako kwanini alikipiga chini licha ya kumzalia mtoto?Dah kama mi nmetokea kupendana na single maza m1,ni chuma hatar, bado hatujaanza mahusiano rasmi,nipo kwenye probation,.kwa uzur wa huyu dada sjui itakuaje,..na amenielewa kwelkwel,namii nimemuelewa,nshamtoa diner moja,mediteraneo pale,yaan mdada mzur had ananipa mawazo,nawaza kanielewaje hiv mtoto kama huyu,.sijapata jib,af inaonekana huko alikokua kulikua njema saana,yan ile saana,ila kuna kitu alikiongea,maana tulivotoka pale nkampeleka sehem nkamnunulia mwanae pizza ampelekee home,sasa kuna kitu akadokeza,ndo kinanipa mawazo kweli,niingie mazima au la..
Wenye mitazamo hasi kuhusu single mothers wana matatizo ya akili wanasahau kuwa wengi wamelelewa na single mothers ila wao wanachoangalia ni kwa wakati huu ambapo wanahitaji wapenzi. Niaminivyo mm ni kuwa Single mothers ni wanawake wanaojitambua tofauti na hawa wanaochipukia na kujiona bado wana soko na wazuri...Asante jimmy maana inafika hatua unajisikia vibaya hao ambao hawajazaa wanatoa mimba tuwaiteje mama Wa marehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bigup mwanamke ulienae akushikilie kapata mwanaume jembe anajitambuaWenye mitazamo hasi kuhusu single mothers wana matatizo ya akili wanasahau kuwa wengi wamelelewa na single mothers ila wao wanachoangalia ni kwa wakati huu ambapo wanahitaji wapenzi. Niaminivyo mm ni kuwa Single mothers ni wanawake wanaojitambua tofauti na hawa wanaochipukia na kujiona bado wana soko na wazuri...
Thanks madam...Bigup mwanamke ulienae akushikilie kapata mwanaume jembe anajitambua
Sent using Jamii Forums mobile app