DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ile mada ya umuhimu wa bikra naona watu wanai support kwa nguvu zote[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ugomvi na watu haujawai muacha mtu salama, unataka kuniambia kuwa demu ambae kashatolewa noniii......ni mke wa mtu aliechwa so tusimchumbie....vijana ukioa dem asiye na bikira umeoa mke wa mtu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ili mwanamke ajitambue kwenye ndoa inabidi azalishwe kwanza kabla ya ndoa?Niaminivyo mm ni kuwa Single mothers ni wanawake wanaojitambua tofauti na hawa wanaochipukia na kujiona bado wana soko na wazuri...
Dah kama mi nmetokea kupendana na single maza m1,ni chuma hatar, bado hatujaanza mahusiano rasmi,nipo kwenye probation,.kwa uzur wa huyu dada sjui itakuaje,..na amenielewa kwelkwel,namii nimemuelewa,nshamtoa diner moja,mediteraneo pale,yaan mdada mzur had ananipa mawazo,nawaza kanielewaje hiv mtoto kama huyu,.sijapata jib,af inaonekana huko alikokua kulikua njema saana,yan ile saana,ila kuna kitu alikiongea,maana tulivotoka pale nkampeleka sehem nkamnunulia mwanae pizza ampelekee home,sasa kuna kitu akadokeza,ndo kinanipa mawazo kweli,niingie mazima au la..
Kila mtu na mtazamo wake hakuna kupangiana kama wewe hutaki single mother kausha tuache tulioamua kuwa na single moms tuendelee. Mnawasema vibaya single moms na mnaoa unaosema hawajatumika kuchwa kutwa kugombana kuwa hajatulia. Mtu kuwa single mother siyo kipimo cha kuwa ametumika sana hata hao ambao unawaona hawajazaa wengi wametoa mimba zaidi ya moja. HUWAPENDI SINGLE MOTHER KAUSHA WANAOWAPENDA WATAKUWA NAO.
Hahaha!! Haya mkuuHeri aliyetoa na akazaa kuliko aliyetoa na kajificha kwenye kivuli cha usichana huku tayari ni mama wa marehemu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena na hiyo mimba ya sita imepelekea mtoto kupatikana baada ya kugoma kutokaJe kama huyo singo mama alitoa mimba 5 ya sita ndo akazaa hapo vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fukuza haraka mno mkuu. Unaitwa baba kwa mbegu ya MTU??Duuu aisee inabidi nichukue hatua huyu mama wa watu kabla sijawekeza changu nimfukuze
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nakubaliana na mtoa mada sabab sijaona points zozote za wadada humu kukanusha.
Utetezi wao wengi ni nje ya mada.
Japo nikikuta mtt mkali single mom napita nae ila sio ndoa.
Kati ya haya moja linakuhusu"Raha ya soda ukute haijaonjwa"
"Moyo wa mapenzi ni kama glasi. Ukipasuku ufa wake hauzibiki"
Sexless wewe ni ke? Sio kwa "mipasho spesheli" hii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] gftydsvcryyjhhgKama mdada sio singo mom basi ametoa mimba za kutosha ndio hao mnaoa baada ya mda mnatafuta mchawi nani ndoa haina mtoto mnaanza kuhisi nmerogwa au unaoa bikra itafungua njia ila stori za saluni nae atataka mkono wa mtoto ladha yake mashosti watamuunganishia atalala na kila mwanaume anayemuona unabaki unajisifia mke wangu alikuwa bikra wkt wenzako wanalima kila saa
Mnatuponda single mum sawa ila hao mnaokimbilia ni moto yaan natamn siku msome vinavyoandikwa kwenye groups za wa mama fb jinsi mnavyopikwa ila msilolijua nikama ...... nenda baba kaoe huko kitu kipya ziwa sa sita