Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaujinga gani hako mkuu we umekajuaje?Kuna kaa ujinga flani unacho na ndicho kalichokuponza akafanya hivyo!
Wewe jifikirie kwa makini utakagundua!Kaujinga gani hako mkuu we umekajuaje?
Mzigua hata akija hawezi babaishwa na maneno ya wanaume wajinga wanaotumia udhaifu wa kiumbe mmoja kuwakebehi ndugu zetu single mothers! Akamuulize Mjomba wa waziri Mkuu kwann kajichukulia Zamaradi mwenye watoto wawiliMkwe Mzigua90 usije pande hizi tafazali
Usichokijua kila kwenye single mother kuna single father,hebu ungetusaidia kujua na wao madhaifu na makamilifu yaoKaujinga gani hako mkuu we umekajuaje?
punguza povu basi hao wanaume wajinga ndio wanakuweka mjini ujue.Mzigua hata akija hawezi babaishwa na maneno ya wanaume wajinga wanaotumia udhaifu wa kiumbe mmoja kuwakebehi ndugu zetu single mothers! Akamuulize Mjomba wa waziri Mkuu kwann kajichukulia Zamaradi mwenye watoto wawili
Mie siwekwi mjini na vijaume kama wewe, only gentleman will survivepunguza povu basi hao wanaume wajinga ndio wanakuweka mjini ujue.
Uzi mwepesi kama huu unakutoa povu namna hiyo,maneno mazuri utaambiwa na bwana wako tuu hapa J.f kitaeleweka tuu!Mie siwekwi mjini na vijaume kama wewe, only gentleman will survive
Bado una utoto mwingi sana! ila nikushauri muwapumzishe hawa wadada wa watu jamani,kama hamna hoja au mlikutana na kiloja basi msiwa generalize kwa ubaya na mabaya! Nao ni binaadam wanastahili kuzungumziwa mazuriUzi mwepesi kama huu unakutoa povu namna hiyo,maneno mazuri utaambiwa na bwana wako tuu hapa J.f kitaeleweka tuu!
Usichokijua kila kwenye single mother kuna single father,hebu ungetusaidia kujua na wao madhaifu na makamilifu yao
Mie siwekwi mjini na vijaume kama wewe, only gentleman will survive
Wewe ndio mwenye ubaya na hao wadada watu tena unaonekana mchochezi ukiona uzi upo hapa zaidi ya dk.moja basi ujue umekubalika katika jamii au unafkiri uongozi wa hili jukwaa hawaoni ukiguswa kuwa mpole kubali kubadilika tuu.Bado una utoto mwingi sana! ila nikushauri muwapumzishe hawa wadada wa watu jamani,kama hamna hoja au mlikutana na kiloja basi msiwa generalize kwa ubaya na mabaya! Nao ni binaadam wanastahili kuzungumziwa mazuri
Nashangaa sana! wanahofu yatakayoandikwa hapa....Tunawajadili singo maza.
hao mazingo hubby acha kwanza mama
kuna mmoja ameanza kulia hapo juu hawataki mabadiliko sijui kwa nini!Nashangaa sana! wanahofu yatakayoandikwa hapa....
kuna mmoja ameanza kulia hapo juu hawataki mabadiliko sijui kwa nini!