Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hiyo haishangazi. Wenzetu wakishinda mechi hubadilikana kuwa Waarabu. Sasa subiri tuone hapo watakaposhindwa....Mkuu kwa hiyo hapa tupo jehanam..!?
Sikuwahi kujutua kudhaliwa Africa na sito kaa nijutie.
Shida ninazo nyingi sana, hilo halifichiki."Nikawaomba walau hata niwanunulie jeneza wawekwe huko wakalazwe. Walikataa kabisa. Lakini baada ya kuwasihi, walikubali. Mungu ni mwema. Nje kidogo ya geti kuna wafanyabiashara wa majeneza. Nikanunua ya kuingizwa ndani. Nikanunua na Sanda, wakaviringishwa na kuwekwa yake. Wakapakiwa na kwenda kupumzishwa. Niliwalipa vijana kwa kazi ya ziada"
Kuna mahali una shida wewe
kama wote wanafukiwa chini hakuna shidawengine unakuta wamekaa gerezani miaka na miaka hata ndugu zao wamewasahau. ila kuzika watu kaburi moja sio sawa kabisa.
Indeed.Humanity is still alive, Keep it up Sir.
We under the same sun, same journey to Dirt/ashes
Nikawaomba walau hata niwanunulie jeneza wawekwe huko wakalazwe. Walikataa kabisa. Lakini baada ya kuwasihi, walikubali. Mungu ni mwema. Nje kidogo ya geti kuna wafanyabiashara wa majeneza. Nikanunua ya kuingizwa ndani. Nikanunua na Sanda, wakaviringishwa na kuwekwa yake. Wakapakiwa na kwenda kupumzishwa. Niliwalipa vijana kwa kazi ya ziada.
Daah.Kama Serikali zinaruhusu mtu anakufa kwa kukosa dozi ya Tsh 20, 30, 50 ndio wataweza kugharamikia mazishi yake?
Afrika ndio motoni, ukiona umezaliwa Afrika ujue ndio adhabu yako hiyo pindi ulipokufa from your past life
Watu hawana huruma, wanakupigiaje honi katika mazingira hayo, ningekuwa mimi nisingemsikiliza na honi yakeBahati mbaya nikapigiwa honi ikanilibidi nisogeze gari mbele. Nikasimama na kumruhusu mwenzangu apite
Mungu ndiye ajuae zaidi.Chai
Naweza nisiwe mtu mwema.Broo it seems wewe ni mtu mwema sana! Mungu na azidi kukubariki..katika hili umetufundisha kitu na sisi.
Nilikuwa getini. Alikuwa sahihi kutaka apite ili nimpishe.Watu hawana huruma, wanakupigiaje honi katika mazingira hayo, ningekuwa mimi nisingemsikiliza na honi yake
Amen.Umefanya wema kwa mja wa Mungu, na ndiye ataangaza maisha yako ya hapa na pale. Ubarikiwe sana.
Naam kwake yeye haimuumizi. Kwako je?Mkuu binadam akifa ni sawa tu na maiti ya ngombe bmbuzi ama chochote huo umebaki mwili ila kitu cha thaman ni ile nafsi iliyoacha mwili so sioni shida kabisa hata wangeletwa fisi wakala ili kuepusha kujaza nafasi za kuzika na gharama pia, kuna mataifa mengine mtu akifa anaenda kuwekwa sehem kama jalala kuna ndege wanaitwa vurture hatari na nusu ndani ya robo saa tu utakuta mifupa imebakia
Mkuu,Mimi nikifa hata wanitupe porini niliwe na fisi sijali. Hata nizikwe kwenye jeneza la bilioni moja na mbwembwe za kila aina sijali. I am dead. Sihisi cho chote. Sipo!
Zingine zote hizi ni mbwembwe tu za binadamu za kupotezeana muda na resources...
Sasa hata misiba imekuwa ni sehemu ya kuonyeshea jeuri ya pesa. Mijeneza ya bei mbaya, sare, maua na aina ya viongozi wa dini na kisiasa watakaohudhuria...Huwa nawaonea wivu sana Waislamu. Unakata moto saa tatu asubuhi ukizubaa by saa nane mchana tayari ushazikwa...hakuna cha mbwembwe wala nini!
Haya dunia nzima ilikusanyika Afrika Kusini kumzika Mandela. Mbwembwe zote zile zilimsaidia nini Mandela?
Rubbish!
Hapo tatizo ni ufahamu.Upande wangu mwezi June mwaka huu nilihudhuria mazishi ya ndugu mmoja aliyefariki huko DSM akaletwa kuzikwa huko kwao nilipokuwepo kama mgeni tu. Yule ndugu aliniuma kwakweli maana alizikwa na Serikali ya mtaa imagine.
Ndugu walikuwepo na wachungaji + mashehe ila hawakuhusika katika kumzika kwa sababu ya Kwanza toka akiwa kijana hakua akishiriki ibada ya kanisa wala msikiti japo alikuwa anafahamika kama mkristo.
Iliniuma aiseee yaani hata ile sala au dua ya mwisho hakusaliwa, yaani kama tumefukia mbwa aliyegongwa na gari.
Huyu mtoa mada sio aina ya watu ambao hutoa mediator. Mediator sharti awe na roho inayohimili kuona magumu na kufanya maamuzi sahihi yasiyochangiwa na huruma zisizo za msingi.Uko sahihi Ila kwenye mazingira Kama aliyisimulia mtoa mada hakuona Kama Ni sahihi.
Taifa halijengwi na wenye roho za kikatili pekee,chukulia mfano mediators wasingekuwepo ambao Ni sawa na mtoa mada ndio kusema maisha yangekuwa Kama ya wanyama mbabe ndio ata survive na hats huko vitani kupata hiyo ceasefire au kukomesha Vita inakuwa ngumu na unachukua mda mrefu huku watu wakiendelea kuteketea..
Kama watu wenu mnaodai kuwapigania wakiteketea wote Taifa hapo linatoka wapi? Vita huwa Ni njia ya mwisho lakini ikiwa haileti matokea kwa haraka lazima mrudi mezani kwa msingi wa ubinadamu.