A
Anonymous
Guest
- Thread starter
-
- #81
Private au gavoKuna vyuo bei ni kubwa zaidi ya hiyo...
BothPrivate au gavo
Duh Imepanda ghafla ghaflaYAH: WARAKA WA KUWASILISHA CHANGAMOTO NA OMBI LA MAPITIO YA
Mheshimiwa Rais.
Kwa heshima na taadhima, Umoja wa Wawakilishi wa Wanafunzi (Ma-CRs) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa niaba ya wanafunzi tunaowawakilisha kutoka programu, madarasa na vitengo mbalimbali vya Chuo, tunawasilisha waraka huu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kufuatia ongezeko na muundo wa Direct University Costs zinazopaswa kulipwa moja kwa moja chuoni.
Waraka huu umeandaliwa kufuatia maoni, malalamiko na kilio cha wanafunzi mbalimbali ambao wameeleza kuwa mabadiliko hayo yamewafikia katika muda mfupi kabla ya kuanza kwa shughuli za Chuo, hivyo kuwapa changamoto kubwa katika maandalizi yao ya kifedha.
kwa
1. ONGEZEKO LA GHARAMA
Madogo ya chuo sasa hivi ni majinga sana, akili topetope tu. Enzi zetu acha kabisa. 'Glory' ya chuo kikuu is no more !Udsm gani hii wanafunzi wake wanalalamikia mitandaoni badala ya kuanzisha kunji la hatari! Enzi zetu dk 0 unatukuta tuko Nkrumah Hall au Revolution Square.
Rev sq wameotesha maua, nkrumah hall ni conf hall, kule mabibo block g wanapatumia kama point ya kutongozea!Udsm gani hii wanafunzi wake wanalalamikia mitandaoni badala ya kuanzisha kunji la hatari! Enzi zetu dk 0 unatukuta tuko Nkrumah Hall au Revolution Square.