eti dr. kasheku..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata madaktari wa kusomea haina haja ya kuitwa doctor kila pahala, na hili utaligundua kwa wazungu hata kama ni professa anakuwa addressed kwa jina lake la awali tu bila kutumia title.......hizo title utazitaja labda unapotaka kuwasilisha mada kwenye makongamano ya kitaaluma ili ijulikane kwamba muwasiluishaji ana qualification zipi, au kwenye kuandaa CV...........lakini wanasiasa wa bongo wamefanya ni milage ya kisiasa, eti dr. kasheku..
Eti mfumo dume! Punguza uchawa mkuu.Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza
Anastahili
Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748
Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.
Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?
Paskali
Pascal, hii argument yako iko misguided sana. Yani kwa kuwa watu hawakulalamika kwa kikwete, basi na kwa Samia wasilalamike? Kwa kuwa watu walifumbia macho kosa lililofanywa majuzi, basi inabidi wafumbie macho tena kosa hilo likifanywa tena leo?Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,
Anastahili
Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748
Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.
Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?
Paskali
Ni ushamba uliochanganyika na uchawa. Siku hizi kila mwanasiasa anatafuta title ya Dr kwa udi na uvumba, kama hakuhonga kama jk alivyomhonga Mwai Kubaki old Bagamoyo road ili apate hiyo Phd, basi ni wanazinunua kwenye vyuo kama UDOM na udsm. Waziri anayeshinda barabarani na angani akifukuzia posho za safari anawezaje kusoma na kupata Phd ndani ya mda mfupi kuliko wanaosoma full time!Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,
Anastahili
Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748
Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.
Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?
Paskali
Kuuza nchi na kuzurura na wasanii nje ya nchi ?Mama anastahili degree ya heshima. Kwa muda mfupi kafanya mambo makubwa sana. Wanaopinga wana wivu ila hatuwajali.
Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,
Anastahili
Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748
Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.
Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?
Bongo ndio unaweza ipata hiyo profesa lipumba na profesa maji marefu,Dr kigoda na Dr mwizukulu jilalaWanabodi,

Barrack Obama ametunukiwa PhD 14 lakini haitwi DoktaWanabodi,

Hivi hao nao unawaona ni watu,majitu yanayosimaia utumwa.wa fikra unaona ni watu,hebu boresha chakula na mahitaji ya familia yako muende Ibiza na Wuhan kutalii,usiwaamini wanasiasa hata akipewa PHD vyote ni fake,hakuna kitu hapo,siku akimaliza siasa za uongo utakuta kapoteza kila kitu majitu ya usalama huwa yanachukau kila senti na kuwaacha na posho ya kawaida,hakuna vyombo vya habari huwafuatilia huko vichochoroni na msoga wanabaki kuzindua matamasha na makombe ya mbuzi na kunywa kahawa huku wakisubiri kupiga picha na machawa kama akina mwijaku na wengine,life is too short.Usijitese nenda Tanga Zanzibar na kwingine enjoy good life, acha hawa wagalatia wajimalize wenyewe.Wanabodi,