Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

Hata madaktari wa kusomea haina haja ya kuitwa doctor kila pahala, na hili utaligundua kwa wazungu hata kama ni professa anakuwa addressed kwa jina lake la awali tu bila kutumia title.......hizo title utazitaja labda unapotaka kuwasilisha mada kwenye makongamano ya kitaaluma ili ijulikane kwamba muwasiluishaji ana qualification zipi, au kwenye kuandaa CV...........lakini wanasiasa wa bongo wamefanya ni milage ya kisiasa, eti dr. kasheku..​
 
eti dr. kasheku..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanabodi,

Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.

Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza

Anastahili

Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748

Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.

Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

Paskali
Eti mfumo dume! Punguza uchawa mkuu.
Hii ni aina mpya ya ufisadi.
Mbona kwenye hiyo makala Prof. Joseph Kironde ameeleza vizuri?

Hawastahili kuitwa dokta. Nadhani itakuwa ni waandishi wa habari wasio na weledi pamoja na baadhi ya chawa wanabambikiza hizo title feki Kwa maslahi binafsi kama teuzi, nk.

Kama wanasiasa watasisitiza kuitwa dokta kwa hizo PhD za kupewa, basi na wale wanaozinunua waitwe hivyo pia.

Athari ni kuwa itafika wakati kutakuwa na PhD nyingi za mchongo kuliko za kweli, then itaathiri mfumo wa elimu, maana kuna watakaopenda mteremko, yaani kununua kuliko kusoma!!
 
Ushamba unaliteteteza Taifa

Haipaswi aitwe Dr periodt
👇
IMG-20231011-WA0001.jpg
 
Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Pascal, hii argument yako iko misguided sana. Yani kwa kuwa watu hawakulalamika kwa kikwete, basi na kwa Samia wasilalamike? Kwa kuwa watu walifumbia macho kosa lililofanywa majuzi, basi inabidi wafumbie macho tena kosa hilo likifanywa tena leo?
Tukifanya mchezo wa aina hiyo kuwa kawaida madhara yake ni kuwa jamii isiyosimamia chochote.
 
Wanabodi,

Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.

Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,

Anastahili

Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748

Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.

Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

Paskali

Wanabodi,

Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.

Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,

Anastahili

Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748

Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.

Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

Paskali
Ni ushamba uliochanganyika na uchawa. Siku hizi kila mwanasiasa anatafuta title ya Dr kwa udi na uvumba, kama hakuhonga kama jk alivyomhonga Mwai Kubaki old Bagamoyo road ili apate hiyo Phd, basi ni wanazinunua kwenye vyuo kama UDOM na udsm. Waziri anayeshinda barabarani na angani akifukuzia posho za safari anawezaje kusoma na kupata Phd ndani ya mda mfupi kuliko wanaosoma full time!
 
Ukishakuwa Rais barani Afrika Hata kama elimu yako ni ndogo kiasi gani au una elimu ya kuunga unga, Utatunukiwa Degree ya heshima, Masters, PhD, udaktari wa heshima na tuzo za heshima.

Hata mbunge Msukuma, akawa Rais leo na elimu yake ya kuunga unga, Baada ya muda mfupi utaskia anatunukiwa shahada ya udaktari...

In Africa everything is possible.
 
Wanabodi,

Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.

Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,

Anastahili

Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748

Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.

Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

Wanabodi,

Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.

Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,

Anastahili

Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748

Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.

Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

Paskali
Bongo ndio unaweza ipata hiyo profesa lipumba na profesa maji marefu,Dr kigoda na Dr mwizukulu jilala
 
Barrack Obama ametunukiwa PhD 14 lakini haitwi Dokta
Sisi hapa ni ulimbukeni tu
 
Hivi hao nao unawaona ni watu,majitu yanayosimaia utumwa.wa fikra unaona ni watu,hebu boresha chakula na mahitaji ya familia yako muende Ibiza na Wuhan kutalii,usiwaamini wanasiasa hata akipewa PHD vyote ni fake,hakuna kitu hapo,siku akimaliza siasa za uongo utakuta kapoteza kila kitu majitu ya usalama huwa yanachukau kila senti na kuwaacha na posho ya kawaida,hakuna vyombo vya habari huwafuatilia huko vichochoroni na msoga wanabaki kuzindua matamasha na makombe ya mbuzi na kunywa kahawa huku wakisubiri kupiga picha na machawa kama akina mwijaku na wengine,life is too short.Usijitese nenda Tanga Zanzibar na kwingine enjoy good life, acha hawa wagalatia wajimalize wenyewe.
 
Back
Top Bottom