Ila let's trace mambo yalikoanzia, Mama mzazi WA lemutuz alikuwa rafiki na mama Yao kina Mwele, sijui Nani alimyakulia mwenzie....Ila it happened Le Mutuz kazaliwa peke yake, huku wamezaliwa wenzake....na mama Yao Mwele ndo official wife, pika pakua na Mzee...and it seems hakuwa na maelewano na Le Mutuz (Mtoto wa nje).....wote tunalijua vibe la mama wa kambo, (Baba naye hafurukuti) umbali ukatengenezwa Kati yake na Baba yake....je na yeye Le Mutuz hajawahi kumvunjia heshima Baba yake hata kimoyomoyo[emoji1787][emoji1787]
Kama aliwahi kumchukia Baba yake Kwa maneno ya kupandikizwa basi ajue hii ni karma....apambane amalize hii series, tatizo wanaume hamuongei ukweli, mnajikaza na ndo mnakufa mapema.....awaambie watoto ukweli.
Nao wanakua, watayaona maghorofa ya dunia....Kama si Leo basi kesho watamuelewa Baba yao.