Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

wewe kwa vile unaishi katika ulimwengu ambao ni lazima ufanye kazi unafikiri kila mtu anahitaji kufanya kazi, hujui kuna watu hela inawafanyia kazi.

Sijafikisha quota ya watu ninaowapeleka ignore list.

Sipendi kujadiliana na watu wanaonuka mavi, mentally.

Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona posts zako.

Hujafikia viwango vya kujadiliana nami.
Haina pungufu wala msaada kwenda kafie mbere
 
Hapa naona kuna emphasis kwenye kujadili watu kuliko hoja dhahania, jambo hili linafanya mada iwe umbea na ubuyu zaidi ya kitu kingine chochote.

Afadhali mtu angekuja na hoja dhahania, halafu kukawa na mfano mdogo tu wa mtu, halafu akashikilia hoja dhahania.

Hapa hoja ni watu, kuanzia kwenye heading mpaka original post.

Hilo limefanya mada iwe ubuyu na umbea zaidi ya kingine chochote.

But, I don't expect many Tanzanians to know the difference.

Hoja lazima iwe watu kwa kuwa haya mambo yanafanywa na watu na haya mambo yanahusiana na watu.... lakini msingi wa hoja hii ya watu inamezwa msingi mkuu wa hoja iliyopo mezani watu wapo kama ni characters kwenye filamu......

Inawezekana ikawa na hoja ya msingi na pengine tunashindwa kuelewana kwenye hoja ya msingi....

Lakini baadhi ya watu kutoka nje ya mada haifuti uhalali au msingi mzima wa mada.......
 
Field Marshall hatendewi haki katika hili.

Katika hali ya kawaida tu mtu anayeishi kwa uchawa Bongo akutumie pesa Marekani?

Ni vile tu Willy life style yake ametengeneza mazingira ya kupuuzwa lakini kwa hili hawamtendei haki.

Sasa inabidi Watanzania tuanze kuambiana ukweli, mkitumia sheria za Marekani kuwazinguwa watu mliokuwa wana ndoa ukikutana na Mimi nitamwambia Watoto warudi Bongo sina uwezo wa kuwahudumia Marekani fullstop ili kukomesha huu Utapeli wa mapenzi kwa kuwatumia Watoto.
Wakatabahu;

Binafsi bado sijajua kama zile chats alizoweka Mange ni za kweli ama za kutengenezwa…

Kama ni za kweli kijana Agapeo atakuwa amekosea sana…Mzazi atabaki kuwa Mzazi tu hata awe na mapungufu kiasi gani….

Watoto wa Bill wana miaka 26 na 23 sasa…Hawa ni watu wazima sasa hivi…Sidhani kama kijana wa miaka 26 anaweza kuelekezwa na mama yake kumtukana baba yake mzazi matusi mabaya kama yale…Kama zile ni chats za kweli nina uhakika vijana waliziandika kwa akili yao na si kwa maelekezo ya mama yao…

Tunaweza kuwa tunamlaumu Neema kumbe hajui lolote..Kwa umri wao bado wanaweza wakawa wanawasiliana na Mange directly bila mama yao kujua..Hawa vijana tayari ni watu wazima…Sio watoto tena…Wao wanajua ni namna gani baba yao kachangia wao kufika hapo walipo…

Kama Bill ana washauri au watu wake wa karibu wangemshauri akae kimya…Aache kubishana na hao watoto wake na ex wife wake mtandaoni…Hajengi, anabomoa…KUKAA KIMYA SIKU ZOTE HUWAGA NI JIBU KWA MJINGA. Anachokifanya Bill sasa hivi ni kumkimbiza Kichaa ilhali yeye (Bill) amevaa Taulo……….

Kuna mambo mengi sana yanajificha ndani ya family hususan kwenye malezi ya vijana wetu…Sote humu hatujui mahusiano ya Bill na watoto wake yakoje zaidi tunayasoma tu maandiko ya Bill ambayo binafsi nayaona ni kama utetezi wa kile kilichopostiwa na Mange…

Na kinachoonekana ni kama kulikuwa na gap kubwa sana la mawasiliano kati ya Bill na watoto wake…Inaonekana hajawasiliana na watoto wake muda mrefu sana mpaka wamefikia hali ya utu uzima…Kiubinadamu hii ni ngumu sana hawa watoto kuwa sawa na baba yao…Ni lazima kutakuwa na chuki kubwa sana imejengeka kati yao…

Na Post za Bill ni kama zinahalalisha kile kilichopostiwa na Mange….

Kwa mtazamo wangu sioni kama Bill anaonewa…Na kwa zile chats za vijana siwezi kumtuhumu Neema moja kwa moja kwani kwa umri wao sidhani kama wanaweza kuelekezwa na mama yao kumtukana baba yao Mzazi….

Bala.
 
Hoja lazima iwe watu kwa kuwa haya mambo yanafanywa na watu na haya mambo yanahusiana na watu.... lakini msingi wa hoja hii ya watu inamezwa msingi mkuu wa hoja iliyopo mezani watu wapo kama ni characters kwenye filamu......

Inawezekana ikawa na hoja ya msingi na pengine tunashindwa kuelewana kwenye hoja ya msingi....

Lakini baadhi ya watu kutoka nje ya mada haifuti uhalali au msingi mzima wa mada.......
Endeleeni kujadili watu.

Halafu muendelee pia kushangaa "Mbona sisi nchi yetu ina mali nyingi lakini kila siku tunaogelea kwenye umasikini?".
 
Wakatabahu;

Binafsi bado sijajua kama zile chats alizoweka Mange ni za kweli ama za kutengenezwa…

Kama ni za kweli kijana Agapeo atakuwa amekosea sana…Mzazi atabaki kuwa Mzazi tu hata awe na mapungufu kiasi gani….

Watoto wa Bill wana miaka 26 na 23 sasa…Hawa ni watu wazima sasa hivi…Sidhani kama kijana wa miaka 26 anaweza kuelekezwa na mama yake kumtukana baba yake mzazi matusi mabaya kama yale…Kama zile ni chats za kweli nina uhakika vijana waliziandika kwa akili yao na si kwa maelekezo ya mama yao…

Tunaweza kuwa tunamlaumu Neema kumbe hajui lolote..Kwa umri wao bado wanaweza wakawa wanawasiliana na Mange directly bila mama yao kujua..Hawa vijana tayari ni watu wazima…Sio watoto tena…Wao wanajua ni namna gani baba yao kachangia wao kufika hapo walipo…

Kama Bill ana washauri au watu wake wa karibu wangemshauri akae kimya…Aache kubishana na hao watoto wake na ex wife wake mtandaoni…Hajengi, anabomoa…KUKAA KIMYA SIKU ZOTE HUWAGA NI JIBU KWA MJINGA. Anachokifanya Bill sasa hivi ni kumkimbiza Kichaa ilhali yeye (Bill) amevaa Taulo……….

Kuna mambo mengi sana yanajificha ndani ya family hususan kwenye malezi ya vijana wetu…Sote humu hatujui mahusiano ya Bill na watoto wake yakoje zaidi tunayasoma tu maandiko ya Bill ambayo binafsi nayaona ni kama utetezi wa kile kilichopostiwa na Mange…

Na kinachoonekana ni kama kulikuwa na gap kubwa sana la mawasiliano kati ya Bill na watoto wake…Inaonekana hajawasiliana na watoto wake muda mrefu sana mpaka wamefikia hali ya utu uzima…Kiubinadamu hii ni ngumu sana hawa watoto kuwa sawa na baba yao…Ni lazima kutakuwa na chuki kubwa sana imejengeka kati yao…

Na Post za Bill ni kama zinahalalisha kile kilichopostiwa na Mange….

Kwa mtazamo wangu sioni kama Bill anaonewa…Na kwa zile chats za vijana siwezi kumtuhumu Neema moja kwa moja kwani kwa umri wao sidhani kama wanaweza kuelekezwa na mama yao kumtukana baba yao Mzazi….

Bala.
Ninachoweza Kukujibu zile charts ni bonafide genuine.

Tangu awali nimesema life style ya Bill inamuhukumu, lakini Hakuna kitu cha maana alichokifanya kwenye maisha yake kama kuandika historia yake mwenyewe akiwa hai.

Watu wengi hapa duniani hawatapata bahati ya kuandika historia zao wataandikiwa, mbaya hata wakifa wasifu wa marehemu wataandikiwa pia.

Kwa watu ambao si wavivu wa kusoma wakimsoma Willy kwenye historia yake halisi ya maisha basi ni rahisi tu kuelewa Willy hakutelekeza Watoto, but when it comes point of no return kutoka kwa mama wa Watoto kukuangamiza kwa kuwatumia Watoto hata Mimi nasonga mbele tena naweza kwenda hata kuanzisha familia mpya na Watoto nizae wapya hao awachukuwe tu mwanamke aridhike.

Kuna gape kubwa ya ukweli kuhusu Willy watu wengi hawajui, ingawa pia siyo kazi yao kujuwa.
 
umesoma kitabu chake cha maisha ya majuu? amesimulia mambo mengi sana. le mutuz ni mtu aliyepata shida nyingi sana katika maisha, kuanzia kukataliwa na ndugu wote kuanzia mwale malecela na mama yake, yeye ni mtoto wa kambo. akawa anakimbia maisha yake yote. nafikiri hata kwenda majuu alikuwa anakimbia mamake wa kambo ambaye hadi kesho anamtaja kuwa ni adui yake. mwale aliungana na mange hadi uzeeni kumchafua le mutuz, na alikuwa anaogopa asije kuja kurithi mali, ajabu yake yeye ndio katangulia na hatagombania mali na le mutuz. asa, hivi kuna mtu hajui kama le mutuz ni mtoto wa malecela? tena aliyefanana naye sana? kwamba hatapata urithi ikitokea?
huyu jamaa sijasoma kitabu chake lakini anaonekana ni mtu mwenye machungu mengi since in born alafu tena akaja akaoa mwanamke pasua kichwa. Mungu amsadie vile ako na ugonjwa wa Moyo. hapaswi kubugudhiwa! sawa basi mwanamke mmesha achana nini tena kumtafta na kumtukuna? haujali hata historia yake vipi je ugonjwa wake?
mama kama ulishindwa kumtii mumeo na sasa umeolewa na mtu mwingine acha baba wa watu aushi maisha yake.

William angefarijiwa japo na watoto wake lakini matokeo yake ndo wanamtukuna very sad for real.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu anaochukua huyo jamaa karibu wote ni malaya labda kama wewe ni mgeni mjini.
ni kweli mkuu 95% ni MAKAHABA ni mwamnake gani smart in Education or finacial atakuwa na mwanaume ambaye anapiga picha za romantic na wanawake wote hao na wakat mwingne kujirecord video za utupu ? hamna ni MAKAHABA tu ndo wanaweza kufanya huo ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila let's trace mambo yalikoanzia, Mama mzazi WA lemutuz alikuwa rafiki na mama Yao kina Mwele, sijui Nani alimyakulia mwenzie....Ila it happened Le Mutuz kazaliwa peke yake, huku wamezaliwa wenzake....na mama Yao Mwele ndo official wife, pika pakua na Mzee...and it seems hakuwa na maelewano na Le Mutuz (Mtoto wa nje).....wote tunalijua vibe la mama wa kambo, (Baba naye hafurukuti) umbali ukatengenezwa Kati yake na Baba yake....je na yeye Le Mutuz hajawahi kumvunjia heshima Baba yake hata kimoyomoyo[emoji1787][emoji1787]
Kama aliwahi kumchukia Baba yake Kwa maneno ya kupandikizwa basi ajue hii ni karma....apambane amalize hii series, tatizo wanaume hamuongei ukweli, mnajikaza na ndo mnakufa mapema.....awaambie watoto ukweli.
Nao wanakua, watayaona maghorofa ya dunia....Kama si Leo basi kesho watamuelewa Baba yao.
ni kama karma. dah inatisha kwakweli sasa tunaweza kusema asili na tabia ni kama roho inayozunguka kufuatilia na kutenda. sasa tusi alilomtukana Le Mutuz Babaye tayari naye yatamkuta atakapokuwa na mtoto.
Ee Mungu Mwenyenzi tusaidie sisi waja wako na vizazi vyetu. mambo haya yasitukute hakika yapo kila apandacho mwanadamu atakivuna tazama tunashuudia haya ya wenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hata mimi sikuelewa, so ni kwamba hatumi.
Ukiuliza alikua anasema Tu akili nyingi American experience sasa labda alitoka na mzigo Cash.
Tulikua tunataniana tu humu wakati yupo huko na mpk anarudi was nothn serious tunapoteza muda tu.
Utu uzima wa Sasa na ubwege anaofanya kuweka mtandaoni naona labda ndio inafanya X wife amshukie na watoto.
le Mutuz ana act ana maisha mazuri kumbe hata watoto hawawahudumii zaidi ya kuimba wimbo wa American Spirit , american spirit bila hela? kwa lemutuz hakuna cha kujifunza ame fail life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka huu mjadala wa Child support…Ni kama tulitabiri haya yanayotokea sasa kwa bwana FMES…
nakumbuka hii ndo inamtafuna sasa. chezea kuzeeka na hauna mradi hata mmoja mjini nguvu zako zote kuishi maisha ya kuigiza bongo.
haya sasa watoto wanamtukana. atakuwa mgeni wa nani? le Mutuz amepitia mateso makali toka kuzaliwa kwake. hajawahi kuinjoy maisha ya kifamilia. sasa na watoto wake wamemgeuka kama mama wa kambo na dada zake walivyompiga vita.
Mungu amsadie maana matatizo aliyonanayo ya kiafya hakupaswa kupitia haya anayo pitia Sauti ya umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom