Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi rate za TFS (misitu) misitu zikoje?
sawa mkuu
Mbona nina mwanangu mmoja yupo KADCO analamika njaa.Hakuna namna, Watumishi wa umma hasa wa Zile taasisi zilizochoka ambazo wanategemea mishahara tu na posho kidogo tena mpaka pale wakurugenzi au watendaji wao wakuu watakapokuwa na furaha kama Ualimu, Halmashauri,GPSA, LITA, RITA,BAKITA,TMA, Ofisi za wakuu wa wilaya, TTRI,Temesa,Mamlaka za Mabonde, MAHAKAMA, na nyingine mtaziongezea WENYEWE watumishi wake wanaenda kupata shida sana na HAPA na-imagine jinsi makunyanzi yanavyoenda kuwatoka na kuongezeka usoni hasa kwa wale wakazi wa Dar kwa WALE walioko mkoani kipindi cha mzee huyu msiombe uhamisho wa mjini ni fursa kwenu kuwepo huko mlime na mfuge huku mjini wenzenu wanalia.
Huyu mzee wenu hata ongeza mishahara hakuwa na nia hiyo na corona imempa sababu maana ndio kitakuwa kisingizo na kwa uzoefu wangu wafanyakazi wa hizi ofisi na zinginezo zinazofanana na hizi wanatia huruma sana maana mshahara tu wa mtu mwenye degree haumfikii hata nusu wa mlinzi au msaidizi wa ofisi wa BOT, TPDC,msd,TCRA,Nhif ama TPA Aliye na cheti cha form four tu na wengi wao hawana Allowance zozote .... poleni sana ndugu zangu
Tasisi ambazo wafanyakazi wake hawataathirika hata kama namba one asipoongeza mishahara kwa kipindi chote atakachokuwa madarakani na ambao wataendelea kula bata hata iweje ni, TCRA, TPDC,NSSF,WCF,PSSSF,Majeshi yote kasoro magereza, TAKUKURU,NHIF,KADCO,TANROAD,TANESCO,TIC,TRA, NGORONGORO, TANAPA,TBS, BOT,NEC,TASAC,LATRA,TPA,EWURA,NAO,MSD,madini,... na nyingine mtaongezea watumishi wa taasisi hizi hata kama mzee asipoongeza hawa hawana shida, kuna baadhi ya taasisi wana Allowance nyingi kiasi kwamba kila wiki pesa inaingia kwenye account ya mtumishi
Cheza mbali na taasisi za mwanzo nilizozitaja, watumishi wa hizo taasisi hakuna rangi wataacha kuiona hii miaka ya utawala wa namba one na mbaya Zaidi viongozi wa hizo taasisi wengi wao wana roho mbaya wapo kwa ajili ya kujilipa miposho na allowance nyingi kwao wao tu, na ni watu wa kupenda umbeya sana kutoka kwa watumishi ambao wamewafanya baadhi yao wajipendekeze kwao ili wapate angalau visafari na semina.
Hali ni tofauti kwenye taasisi zinazolipa vizuri, viongozi wao mara nyingi hawajali umbeya, wao wanaangalia professionalism na uchapa kazi na wanawajali sana wafanyakazi wao, nimeshuhudia mara nyingi inapotokea mfanyakazi akapata matatizo ambayo yakamfanya awe na msongo wa mawazo na viongozi wakafahamu watafanya kila namna ili kumrudisha na kumsaidia mfanyakazi wao awe katika hali ya kawaida...ukiwa mmoja wa watumishi katika taasisi hizi nakupa hongera SANA, lakini kama uko kundi la kwanza Aisee pole sana lazma upambane na utindio wa ubongo katika kipindi hiki.
NA VIJANA mnaosubiri kuajiriwa tulieni kwanza...msubiri 2026 Tutajenga uchumi kwanza baada ya Corona
nadhani njaa zinatofautiana mkuu, unajua hata Dewji kuna mda analalamika mambo hayako sawa.Mbona nina mwanangu mmoja yupo KADCO analamika njaa.
hebu ulizia wanaofanya taasisi nilizitaja mwanzo na malipo unaweza kuta huyo jamaa anawalipa mishahara ya miezi miwili kwa mshahara wake wa mwezi mmoja kwa mtu waliye na level sawa za mishaharaMbona nina mwanangu mmoja yupo KADCO analamika njaa.
naunga mkono hojanadhani njaa zinatofautiana mkuu, unajua hata Dewji kuna mda analalamika mambo hayako sawa.
mkuu hawa watumishi wanahitaji faraja kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochoteKwakweli hali ni mbaya,huyu mjomba sijui hajui kama watu wanateseka na ugumu wa maisha?
Kuna walimu walianza kazi mwaka 2014,hawa walimu wapo kazini miaka mitano (5) sasa,lakini hajawai kuwaongezea hata nyongeza ya mshahara ,mbaya zaidi walisomeshwa na boards ya mikopo akawalazimishwa wawe wanalipa 100,000 kila mwezi mwalimu wa degree ana katwa inarud serikalini.
Jamani awamu hii watu wanateseka sana,sema kuna watu wanautetea sana utawala huu kuwa ni mzuri,nahisi hao watu wanafaidika na mfumo au wako ndani ya system ya awamu ya tano lakini kwa mwananchi wa kawaida tu tunateseka sana,malengo hayatimii kabisa yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana aliniambia take home ipo around 900,sasa sijui kanipiga kamba.hebu ulizia wanaofanya taasisi nilizitaja mwanzo na malipo unaweza kuta huyo jamaa anawalipa mishahara ya miezi miwili kwa mshahara wake wa mwezi mmoja kwa mtu waliye na level sawa za mishahara
huko jambo la kawaida kabisa na bado posho...Mwana aliniambia take home ipo around 900,sasa sijui kanipiga kamba.
Hiyo take home ,900 ime jumuisha kila kitu.huko jambo la kawaida kabisa na bado posho...
sasa hao wenzako mshahara wao hata haufiki huko
ana level gani ya elimu?Hiyo take home ,900 ime jumuisha kila kitu.
Degree Computer science.ana level gani ya elimu?
kakudanganyaDegree Computer science.
Mkuu tatizo ni mitaji,unaweza kukopa mara moja ukaweka ela kwenye biashara alafu biashara yenyewe isiimarike,au wengine walishakopa tangu awali sasa kukopa tena inakuwa haiwezekani,labda jamaa angeongeza mishahara hapo unaweza kukopa,lakini wapi.Take home imebaki laki 2 sasa hapo utakopa nini tena?[emoji3166][emoji3166]Bila kufanya kilimo,.biashara na ufugaji..mtumishi kutoka kimaisha Ni ndoto za alinacha..mi nlishasahau kuhusu nyongeza ya mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna baadhi ya ofisi zinatambua hili so zinawafavour wafanyakazi wao kwa Allowance ili wasiwe na misongo ya mawazo.Mkuu tatizo ni mitaji,unaweza kukopa mara moja ukaweka ela kwenye biashara alafu biashara yenyewe isiimarike,au wengine walishakopa tangu awali sasa kukopa tena inakuwa haiwezekani,labda jamaa angeongeza mishahara hapo unaweza kukopa,lakini wapi.Take home imebaki laki 2 sasa hapo utakopa nini tena?[emoji3166][emoji3166]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kazi za maana na taasisi kubwa hizo wanaofanya kazi ni watoto wao,sisi watoto wa wakulima kazi zetu hizi hizi za ualimu,udakaktari na unesikuna baadhi ya ofisi zinatambua hili so zinawafavour wafanyakazi wao kwa Allowance ili wasiwe na misongo ya mawazo.
na taasisi nyingi zinazofanya na zile zinazolipa vizuri