Kupika au kununua kwa mamantilie

Bas chukua kuku mzima wa kienyeji na nyama ya ng'ombe kg 3,
Unatoboa mwezi fresh tu hapo ukiwa na Njegere zako + mayai
Poa,nimetoka kwa dokta hapa kanambia nipunguze uzito bado kilo chache niwe kwenye abnormal weight,ndo nimechoka hapa na hayo madiet ya kuanza!!
 
Bahati mbaya kupika kwangu ni hobby, hivyo nina kasoro ya kubagua vyakula na kujua quality yake. Niko rahisi kukosoa chakula na kujua ingredient gani haiko sahihi.
Vilevile huwa sipendi chumvi nyingi na mafuta ya kupikia yale ya madumu ya maji wanayotumia mamantilie huwa yananisumbua.
Na vyakula vingi navyopenda haviuziki sana mtaani.
Nina sababu nyingi za kujipikia, nikiwa mjini nikawaza nile sometimes naghairi nakunywa juice nzito.

Kwa chuo ni bora kununua kama unajali muda au pika kama unajali gharama.
 
Hio nyama naeza kuta nishapika kilo per dei[emoji16][emoji16]
 
Hakuna chakula kisafi na kizuri kinacho patikana kwa bei rahisi jiandae kuumwa typhoid na amoeba kila siku
Inategemea Kuna restaurant moja nilkuwa nakula mpk namalza third year..... Kwanza msosi mtamu.... Imagine mboga zinaekwa spices km masala ya nyama au samaki na nyngnzo.....
Mimi nlkuwa natoa oda tuu leo nataka hiki...
 
Kupika aiseeh kunapunguza sana bajeti! Kwa sisi tulioanza kupika tangu tupo darasa la tano haitusumbui! Ndo maana hata kama mtoto wa kiume unaanza maisha aiseeh kitu cha kwanza ukipanga chumba lazima ununue hata mtungi mdogo wa gesi! Inapunguza bajet sana

Kuna siku za kuishiwa sasa ukiwa unaenda kukopa kwa mama ntilie mara nyingine ni aibu ( asubuhi, mchana na jioni kwa mama ntilie ratiba ngumu sana hii)

Kingine aiseeh mimi ni mchaguzi sana wa kula vyakula hovyo hovyo huko nje kwa kina mama ntilie..tena mbaya zaidi dar es salaam hii usafi huwa ni 0%.
Vyakula vya mama ntilie huwa sio nzuri kiafya hawazingatii usafi kabisa..mtu anapika huku anamafua, maji ya kusuuza sahani machafu, e.t.c

Hapo akipanga mara moja moja anaweza kuja hata girlfriend wake akawa anapika pika kidogo..
 
Au Dagaa wa Nyama [emoji3][emoji3][emoji3]

Wabongo tukiwa hatuna hela dagaa tunawaita wa nyama ili kupunguza ukali wa dagaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Sema nini madogo wengi wanatak kukaa wawili watatu.... Wakifika ndani wanategeana kweny bills Ila wakielewanA kula nyama chapu sjui hio samak lkn watakula dagaa mchele mpk wakomee[emoji16]
 
Tena mama lishe nasikia maji ya kupikia kwanza wanachambia kwenye papuchi ili kuvutia wateja [emoji1787]
Hamna tukifikiria uko mbn hata Hyatt wapishi hawavai gloves.... Vingn usafi tu bhn[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…