Kupitia mafanikio ya Diamond Platnumz nimegundua Watanzania wengi wana roho mbaya

Kweli hii dunia kila mtu na mtizamo wake.

Binafsi mtu aisiyesimamia haki ni adui yangu tu hata kama aliwahi kufanya mazuri mengi kiasi gani.
Haki gani kaivunja NASIBU
 
Wivu ni hatarii,wataumia Sana kuona mafanikio yao
 
Huyo Ali,Harmonize,Nandy waliwahi kukemea wapi?
 
Nani alikwambia hao kule Twitter hawajazodolewa kuhusu kupiga kimya Kwa maovu ya yule dhalimu mwendazake!? 😳😳😳
Huyo Ali,Harmonize,Nandy waliwahi kukemea wapi?
 
Hii issue ya Chuki kisa Kayafa naipinga labda kama inafanywa kichaka cha kujifichia kwa wale wengine lakini kimsingi wote sio kikwete wala Samia ambao mnawasifia sasa hawakuwa karibu na Kayafa ila kwasasa ndiyo mnawapigia vigeregere.
Sijakuelewa kabisa naaminj hujaelewa kabisa nilichoandika
 
Waswahili walishasema mkuki kwa nguruwe.

Asilimia kubwa ya hii mijitu ni minafiki.

Yaani unakuta jitu lenyewe linamchukia mtu fulani ila likiona kuna watu wengine na wao wanachukia mungu mtu wao yanaanza kubonga.
Umeshawahi kukaa chini na kujiuliza kwamba chuki yako binafsi inakuongezea nini ktk maisha yako na inampunguzia nini nasibu?
 
Simba na Yanga zote wadhamini wao ni ccm lakini sijaona hao mnaojiita wapigania haki mkijitahidi kujitoa kwenye hizo timu,

Ukiona mtu anakuchukia sana ujue kuna vitu umemzidi
Huyu mondi sijawahi kuwa shabiki au kuuelewa miziki yao
Ila kwa jinsi anavyojua kupambana,kutafuta pesa hapo nampa Big up
Mondi yuko juu
Hata wakina kiba,konde sijui wanajitahidi wanapata pesa
Sema kama kawaida ya wabongo kukukubaili ni shida

Ova
 
Tatizo alikaa kimya sana sasa akataka kusema neno kuwapa uelewa ila jamii ikaona kama anajimwambafai ila he isa cool boy
 
Hawawezi kukueleewa. Jinsi wanavyomsimanga ndio hivyo hivyo wanavyowasimanga ndugu zao waliotoboa.
 
Ni kwanini mtu akikuchokonoa halafu uka mute, huwa anaumia zaidi ?
 
Umeshawahi kukaa chini na kujiuliza kwamba chuki yako binafsi inakuongezea nini ktk maisha yako na inampunguzia nini nasibu?
Umeshawahi kuniona naanzisha uzi wowote wa kimchukia msanii humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…