Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Tumia tangawizi na limau zichemshe kwa pamoja na utaponaMkuu ulipona baada ya mda gani ninaumwa mbavu na kifua mafua mepesi, homa iko juu kikohoz kikavu nikikohoa mbavu zinauma,,, kichwa hakipoi aiseee nimechoma sindano za mishipa kifua kinaendelea vzur
Imebaki homa na kichwa
Mme wangu yeye hasikii harufu anawiki Sasa
bint yetu yeye anamafua
Hadi leo hamna alieugua kama mimi hapa home na sikujitengaUnreported Covid19 cases
Wapendwa wenu(family) mmewakingaje? Baada ya nyie hawakuugua pia
Hadi leo hamna alieugua kama mimi hapa home na sikujitenga
Kama wanavyoongelea humu wadau kupoteza uwezo wa kunusa pamoja na kutoskia ladha ya chakula pamoja na homa kali na mwili kuuma kama umepigwa marungu
Kama wanavyoongelea humu wadau kupoteza uwezo wa kunusa pamoja na kutoskia ladha ya chakula pamoja na homa kali na mwili kuuma kama umepigwa marungu
yeah kwa mujibu wa waluougua dalili za COVID -19 ambao tumepima magonjwa yote COMON yanayoambatana na dalili za homaKumbe ikifikia stage ya kutosikia harufu au ladha ndo imesepa ivyo? Na kuambukiza haiwezekani? Mi ndo leo nimeanza kutohisi ladha au harufu yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah kwa mujibu wa waluougua dalili za COVID -19 ambao tumepima magonjwa yote COMON yanayoambatana na dalili za homa
ukishaanza kukosa harufu hudumu km wiki mbili basi unaenda kupona mana si wote wanaopata COVID 19 hushikwa na homa kali wengi mwili hupambana na COVID-19 Kimyakimya unakuja shtukia umekosa harufu au vimafua vya kawaida
hvyo kawaida tu
halafu ukiumwa COVID-19 hauumwi kabisa mafua na km yakija ya kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kapime hilo tatizo lipo kichwani Kwenye mishipa ya faham, kikubwa kinachosababisha ni pressure
Mi siumwi ilo tatzoPia kapime hilo tatizo lipo kichwani Kwenye mishipa ya faham, kikubwa kinachosababisha ni pressure
Kama siku 4 hivi mimi nilikomaa na malimao,tangawizi na asali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Iyo ya mwili kuuma ilichukua muda gani kuisha na ulitumia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama siku 4 hivi mimi nilikomaa na malimao,tangawizi na asali
Mimi homa pamoja na maumivu ya viungo vyote viliisha ndani ya hizo siku ila hali ya kutosense harufu ilakaa kama wiki na zaidi hivi na kulikua na mafua mepesi tu ya majimaji na mtu hakua na uwezo wa kuhisi nina mafua kwa nje haikuonekana kabisaKwa iyo ndani ya siku hizo 4 ilo tatizo liliisha? Na je uchovu wa viungo uliisha afta muda gani mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Komaa na malimao,tangawizi na asali ukiweza pia jifukize .....ndo corona hioMpaka saizi wakuu sisikii harufu Sina mafua nahema poa Sina tatizo lolote ila sisikii harufu kabisa Tena ndio imezidi
Mimi homa pamoja na maumivu ya viungo vyote viliisha ndani ya hizo siku ila hali ya kutosense harufu ilakaa kama wiki na zaidi hivi na kulikua na mafua mepesi tu ya majimaji na mtu hakua na uwezo wa kuhisi nina mafua kwa nje haikuonekana kabisa
Soma taratibu Mkuu utanielewa...nimeandika virusi vya Corona vinaathiri kinga ya mwili kama ukimwi unavyoathiri pia (this is the core).
My take: Pamoja na usafi bado tunapaswa kula vizuri ili kuinua kinga zetu za mwili.
Nimeandika pia tuachane na stress siyo kwamba stress inachangia mona kwa moja ila inaweza kuathiri sana mtu na kumfanya kuwa susceptible to any diseases.
Tujadili core issues kwanza.
Duh ulicho andika ndivyo ninavyo hisi nina mafua ambayo mtu hawezi juwa leo ni siku ya 3 nimesogelea mafuta ya taa sihisi arufu kabisa asubuhi nimetafuna tangawizi siku hisi ukali wa tangawizi kabisa! MUNGU NI MWEMA LITAPITA!Mpaka saizi wakuu sisikii harufu Sina mafua nahema poa Sina tatizo lolote ila sisikii harufu kabisa Tena ndio imezidi