Mimi nimegundua kila ninaposoma habari za kuhusu corona mara naanza kuhisi kama nina daliliJamani tusitishane hata mimi pua zangu zimepoteza kbs uwezo wa kunusa yaan sisikii harufu yoyote nilipo nipo nipo tu
Mmmh ushakuwa mtihani huu sasaMimi nimegundua kila ninaposoma habari za kuhusu corona mara naanza kuhisi kama nina dalili
Mkuu STUNTER unaendeaje hv sasa? Mimi hali bado ni ile ile na mda huu nipo njiani kuelekea hospitali. Na vyakula vya kuboost uwezo wa sense ni kama vipi?Jitahidi ule vyakula vya kuboost uwezo wa sense zako mkuu kabla haijawa too late.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh hii shida kumbe sio mimi peke yangu, ila namshukuru Mungu leo nimeanza kuhisi baadhi ya vitu kwa mbali na ladha ya vyakula.Mkuu STUNTER unaendeaje hv sasa? Mimi hali bado ni ile ile na mda huu nipo njiani kuelekea hospitali. Na vyakula vya kuboost uwezo wa sense ni kama vipi?
Mimi iliwahi nitokea kabla, ila ya sasa hivi inanitia wasiwasi sababu inachukua muda. Nilizoea siku 1 au 2, lakini kwa hii inaenda siku ya 5!Mmmh hii shida kumbe sio mimi peke yangu, ila namshukuru Mungu leo nimeanza kuhisi baadhi ya vitu kwa mbali na ladha ya vyakula.
Ila kinachonishangaza nilipoteza ladha na kuhisi harufu japo sikuwa na mafua makali sana, nilikuwa napumua kawaida tu . Kitu kilichonisaidia mpaka mda huu ni Malio na tangawizi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah siku 5 mbona unaniogopesha mkuu. Me kesho itakua siku ya 4 na hata sioni dalili za kupata nafuu maana mda wote niko na kichupa cha perfume nanusa ila naona ola.Mimi iliwahi nitokea kabla, ila ya sasa hivi inanitia wasiwasi sababu inachukua muda. Nilizoea siku 1 au 2, lakini kwa hii inaenda siku ya 5!
Nunua redrose perfume usipodikia hiyo harufu aisee ni balaaDaah siku 5 mbona unaniogopesha mkuu. Me kesho itakua siku ya 4 na hata sioni dalili za kupata nafuu maana mda wote niko na kichupa cha perfume nanusa ila naona ola.
Hahahaa hata hii ina harufu kali ila ndo siskii hata kidogoNunua redrose perfume usipodikia hiyo harufu aisee ni balaa
Pole sana, Mimi leo hali sio mbaya sana kwa sasa napenda kunusa kila harufu, naona ile hali yangu ya kawaida inarejea.Mimi iliwahi nitokea kabla, ila ya sasa hivi inanitia wasiwasi sababu inachukua muda. Nilizoea siku 1 au 2, lakini kwa hii inaenda siku ya 5!
Me nanusa kitunguu maji, muda wote nipo nacho,Daah siku 5 mbona unaniogopesha mkuu. Me kesho itakua siku ya 4 na hata sioni dalili za kupata nafuu maana mda wote niko na kichupa cha perfume nanusa ila naona ola.
Mpaka sasa watu milioni 2 duniani kote kwa wiki 3 hizi wameripoti hili tatizo,Jamani tusitishane hata mimi pua zangu zimepoteza kbs uwezo wa kunusa yaan sisikii harufu yoyote nilipo nipo nipo tu
Ni Kwa vipi Stress zinachangia?Tunakomaa na mfumo wa upumuaji wakati Corona virus inapiga immune system kama HIV ....
Whites hawawezi kutupa taarifa zote za kujikinga kwa usahihi, tunanawa mikono kwa sabuni sawa, kutawaza chooni vipi?Vyoo tunavyotumia daaah..
Usafi unapaswa kuwa kila eneo siyo mikono tu ila mikono iwe mara kwa mara kwa sababu inaeneza kirahisi zaidi.
Tujitahidi sana kula vyakula vya kuboost immune system na kuachana na stress.
Sasa kuna huyo jamaa anasambaa mitandaoni ambae alikuwa Lecturer wa Udsm Eng.Dr.kazaliwa 1981,hakujulikana mpaka Dakika ya Mwisho anashindwa kupumua akafa!Mpaka sasa watu milioni 2 duniani kote kwa wiki 3 hizi wameripoti hili tatizo,
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hewa tunayovuta.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Sasa kuna huyo jamaa anasambaa mitandaoni ambae alikuwa Lecturer wa Udsm Eng.Dr.kazaliwa 1981,hakujulikana mpaka Dakika ya Mwisho anashindwa kupumua akafa!Tangu nizaliwe kwa Mara ya kwanza niliugua mafua ya kupoteza uwezo wa kunusa mwez January mwaka huu,so kama linahusiana na corona basi huu ugonjwa tz umeingia kitambo tu.
Mmmh hii shida kumbe sio mimi peke yangu, ila namshukuru Mungu leo nimeanza kuhisi baadhi ya vitu kwa mbali na ladha ya vyakula.
Ila kinachonishangaza nilipoteza ladha na kuhisi harufu japo sikuwa na mafua makali sana, nilikuwa napumua kawaida tu . Kitu kilichonisaidia mpaka mda huu ni Malio na tangawizi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app