machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Sijui Kama nieeleweka yaani harufu ni harufu kuanzia mavi mpaka manukato namaanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kabisa, mkuu unaelewa kwamba hiyo ni moja ya dalili kubwa kabisa za Covid-19?Wakuu Kichwa cha Habari Kinajieleza.
Nina takriban wiki na siku 2 Sasa Nimepoteza uwezo wa kunusa na taste, yani hata harufu ya perfume sihisi kitu.
Najua humu Jf, tuna wataalam na wajuzi wa mambo,watatusaidia tiba na ushauri pia.
Karibuni wataalam.
Sent using Jamii Forums mobile app
===
Jamaa mwenyewe hata ha reply chochote sijui tayariKwanza kabisa, mkuu unaelewa kwamba hiyo ni moja ya dalili kubwa kabisa za Covid-19?
Labda karantini kali mpaka mitandaoni hafiki.Jamaa mwenyewe hata ha reply chochote sijui tayari
Mkuu nguo unanusa kwa siku ngapi na nado unaivaa tu!Nilipata same issue. Kuanzia leo nimeanza kupata harufu na ladha.
Imenipa shida sana asubuhi kunusa nguo ili nijue kama chafu au safi. Maana me nguo uwa nanusa kwanza ndio navaa. Week izi mbili nikawa natupia tu bila kujua harufu yake.
Fanya mazoezi mzee, otea jua na Maji sana ya moto na chai.
Niliona kama nakufa vile,mwili ukawa kama umepondwa na mawe,
nabanwa ndani kwa ndani macho yanatoa machozi tu,
harufu hata ya chooni sisikii..
mliopitia haka kaupepo poleni naelewa shida zake
A gni umetumiakuoonaNiliona kama nakufa vile,mwili ukawa kama umepondwa na mawe,
nabanwa ndani kwa ndani macho yanatoa machozi tu,
harufu hata ya chooni sisikii..
mliopitia haka kaupepo poleni naelewa shida zake
Kumbe ikifikia stage ya kutosikia harufu au ladha ndo imesepa ivyo? Na kuambukiza haiwezekani? Mi ndo leo nimeanza kutohisi ladha au harufu yoyotehakuna swala la bahati katika hilo ishu no kuwa hiyo ni corona ni sawa lkn no ugonjwa wa kawaida tu ila kuna watu waliukuza kwa maslahi yao
lkn tatizo hili la kukosa uwezo wa kunusa na dalili zingnr limedhihirisha kwamba
kwanza hauambukizi km hvyo wanavyosema
mm nimepigwa wiki 3 lkn katika watu zangu wa karinu hakuna hata mmoja mpk sasa mwenye dalili au kuugua ama niliemuambukiza au kuwa na hizo dalili
na hapa kitaa asilimia wengi kwa haraka karibu 15 wameugua km hivi na familia zao ziko poa tu nyumba ninayoishi tupo watatu mm na mzee mwenyenyumba na jirani lkn wote tumepona na DAWA TATU tumeumwa lkn hakuna aliyecorupts zaidi naweza kubari umetushambulia sana wanaume kuliko wanawake
na mpk sasa muda huu sijasikiia hata mmoja ninayemfahamu au ndugu wa rafiki ama jamaa amekufa kwa corona yaan ile kuambiwa tu ndugu yangu fulani amekufa kwa corona sijasikia naweza sema kipindupindu ni hatari mara 10 ya corona
mm nawapa HEKO madocta wa hizi dispensary walokuwa wanatushauri tupumzike na kufanya mazoezi tungesema wote tujazane AMANA ndo tungekuwa tunajichimbia KABURI na tungekufa wengi sio kwa corona ni kwa ufinyu wa huduma na maradhi mengne ambayo tungeyapatia huko
hvyo mm naungana MAGU mzee wa mapapai tupige kazi CORONA ni mpngo wa wazungu kutubrainwash wafrica ili watunyanyase lkn nasema wamefeli limewarudia wao
mwarobaini limau tangawizi machungwa ndo kiboko ya CORONA
anayebisha abishe ila ukweli km wewe mtu wa kitaa ili utakuwa umeliona ila km wewe ni mru wa mitandaoni endelea kusikiza media za mabeberu zinakuza tu mambo
haiwezekani dawa wanazikataa hazitibu wkt sisi zinatutibu fresh na tunapona na uzuri ukishaanza kukosa kusikia halufu corona ndo inaondoka na huambukizi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia malimao,tangawizi na asali mimi nilitumia hivyo hadi nikawa sawa pia usisahau kujifukizaPolee sana,njia gani umetumia kupona maana hali yangu ni dhohofu
A gni umetumiakuoona
Nilijaribu kutafuna hadi pilipili kichaa ndo nikawa nasikia kamuwasho kwa mbaliii, na limao ndo nahisi ladha kwa mbaliii, hii ni baada ya kupitia changamoto zifatazo; kuumwa kichwa kusikoeleweka yaani kichwa kizito tuu, kichomi, mgongo kuuma, misuli, kikohozi, mafua yasiyoeleweka yaani pua haikuziba. Matibabu niliyo tumia.ciproflaxin dozi, orodar,ampiclox dozi, metro dozi, brufen, limao, tangawizi,kitunguu sahumu, juice ya ukwaju, juice ya pera, peasi.
Baada ya kupata nafuu nikabaki na hii dalili chakushangaza leo wamekuja kunyonya choo jirani kila mtu analalamika harufu nawashangaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app