Umeongea la maanaSio kila pesa inayoingia ni haramu, ametoa mfano wa urahisi wa kuuza bidhaa kama vinyago kwenye maduka ya online kama Ebay. Unajua kampuni kama Amazon linachangia kiasi gani kwenye uchumi wa USA?
Kwani nchi ambazo zina huduma ya PayPal zina rate gani ya Ugaidi? Tunashindwa kutumia fursa za technology kwa visingizio duni
CCM HOYEEEE!wajinga kama nyie vibarua serikalini msiojua kinachoendelea private sekta mnatupotezea muda pumbafu nyie
PayPal ni.mfumo unaojitegemea na sawa na Mpesa au tigo pesa unaweza uliza watu wa benki kwa mfano kwa Nini huduma Mpesa au tigo pesa haziko Tanzania?.Hata wao wangekushangaa Tigo Pesa na Mpesa ni mifumo inayoitegemea swali Hilo ulitakiwa uulize Serikali au Vodacom na kampuni ya TigoMtoa mada hebu eleza kwanini benki ya tanzania haijaruhusu mfumo wa kupokea pesa kwa njia ya PayPal ... ili hoja yako isiwe ya upande mmoja[emoji102]
Kazi Ziko nyingi Mfano India customer care desk za makampuni mengi ya nje Ziko majumbani indiaSerikali ikiruhusu mnitag ili nje nijaribu kutusua mapene
Inasikitisha sana kuona fursa kama hizi hazikamatiki kirahisi kwa sababu ya sera mbovu mbovuKazi Ziko nyingi Mfano India customer care desk za makampuni mengi ya nje Ziko majumbani india
Mfano kampuni iko Marekani Lakini customer care office iko nyumbani kwa mtu India.
Chukulia Mfano mteja anauliza bidhaa kampuni.inazouza kwa email .Ile email inajibiwa na mtu aliye India.Sababu wakiajiri mtu Marekani kumlipa inakuwa gharama kubwa wa India inakuwa gharama kidogo .Sababu anafanya nyumbani kwake yaweza kuwa hata kijijini India .Akiwafanyia wanamlipa chake kwa PayPal
Kazi hizo kwa Tanzania ngumu kufanya sababu haturuhusiwu kupokea pesa kupitia PayPal.Wangeruhusu my unaomba kazi hata ya uofisa uhusiano,uwakili wa kushauri kampuni yeyote Duniani online na kulipwa,kutundisha tuituion online na kulipwa kwa PayPal,kwa wahasibu waweza tumiwa mahesabu waandae vitabu vya kihasibu online no
Consulatancy nyingi mtu aweza fanya online na kulipwa chake chap chap kwa paypal
Since when?Paypal mbona tiyari inafanya kazi. Kulipa na kulipwa vyote mwake mwake
Serikali mara ingine Kodi sio Lazima iwinde kila mtu alipe Kodi kodi zingine zaweza amshwa kwa kufungua njia za watu wengine mfano kuingiza pesa kupitia PayPal kupitia Simu zao za mkononi.Zikiingia kuzitoa TRA lazima ipate chake.Ukidhibiti Sana uingizaji wa pesa pia unaikomoa TRA ishindwe kupanua wigo wa kukusanya pesa.Sababu kutoa pesa kwenye akaunti au Simu Kuna charges ambazo TRA ni mdau anayepata pesa automatically.Inasikitisha sana kuona fursa kama hizi hazikamatiki kirahisi kwa sababu ya sera mbovu mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo kupokea bado
Kulipa yes ila haipokei pesaPaypal mbona tiyari inafanya kazi. Kulipa na kulipwa vyote mwake mwake
Yes tumeset account zetu kuwaa tuko kenya na kuilink na safaricomNasikia kuna watanzania wana SIM Card za Safaricom. Nilichosikia wanaweza kupokea pesa Paypal na kutoa kwa njia ya Mpesa kupitia SIM Card ya Safaricom. Hili lina ukweli? Ufafanuzi tafadhali
Wako kwenye nafasi za maamuzi?.Usisingizie wazee mkuu.Vijana wengi sana serikalini na kiasi fulani bungeni.
Nikihesabu vijana walio na nafasi ya kutoa maoni yao yakasikilizwa ni wengi.Au una maana gani kusema wazee?
Sijalifanyia utafiti sijui ila kwa Nini mtanzania apate shida yote hiyo ya kutafuta laini ya safaricom? Serikali iangalie hayo mateso ya raia wake KamaNasikia kuna watanzania wana SIM Card za Safaricom. Nilichosikia wanaweza kupokea pesa Paypal na kutoa kwa njia ya Mpesa kupitia SIM Card ya Safaricom. Hili lina ukweli? Ufafanuzi tafadhali
Zote hizo Ni njia za haraka za kulipa tatizo hatuna za haraka za kupokea za malipo Kama za PayPal kwenye onlineSehemu nyingi saivi wameongezea mastercard na visacard mbali na paypal. Ndo mana mpesa wakaleta ile mpesa mastercard kwa wanaojihusisha na shughuli hizo za malipo ya mtandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
nikilima nauza mazao yangu napaki vizuri tayari kuuza nje online nitalipwaje kama paypal hairuhusiwi?