Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

We unadhan nan ana uwezo sasa na kabla yke???
 
Et Tz ya viwanda labda viwonder,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Acha hizo wewe. wengi waliingizwa mkenge na wanasiasa uchwara lakini badae walipogundua kwamba mzee anataka Tanzania ya Viwanda na wara hana shida na mtu walirudi wenyewe na kuanzisha biashara.

Mfano mzuri na Rostam Aziz.
 
Mnajidanganya, kama kuanguka ingeanguka 2015!
 
Umpe wa nini? Kwani yuko Labour Room kusema tusubirie kama njia itafunguka? Hii ni Nchi na haya ni maisha ya watu. Unapokuwa unampa muda maisha nayo unayapq muda au unayasimamisha?
Haya usimpe muda tuone sasa utamfanya nn
 
Rais Samia angefanya vyema sana kama angeendelea na mfumo wa Magufuli ulioboreshwa.

Hata Uhuru Kenyata alimshauri hivyo.

Ila she chose to trust hooligans.
 
Mtasema yote mpk maji mtaita mma. But she's still there as a President of Tanzania whether you like it or not
 
Kelele nyiiiingi utadhani kweli utaingia field
Nakwambia kwanza binafsi ni mpigaji wa kura mzuri , sijawahi poteza haki Iyo, ila kumbe nimekua bwege kupiga kura , then nakuanza kimbizana na Mambo mengine, this time uchaguzi ukifanyika wajibu wangu wa pili wa kulinda kura yangu nitautekeleza KWa wivu mkubwa , labda niwe nje ya nchi
 
Tanzania tunahitaji katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi ili tupate Rais na wabunge makini.
Rais Samia anafanya vizuri sana ukilinganisha na mtangulizi wake.
Kwasasa ambadilishe Waziri wa Fedha,ili atutoe hapa tulipo kwama,mambo yaende
 
Ule mfumo wa one man show co???na wale watu maarufu wa jiwe wanaojulikana kama wasiojulikana wanaojulikana????
Rais Samia angefanya vyema sana kama angeendelea na mfumo wa Magufuli ulioboreshwa.

Hata Uhuru Kenyata alimshauri hivyo.

Ila she chose to trust hooligans.
 
Marehem asimangwi wacha kila mtu avune kwa urefu wake white paper 2025 wakufa wakujizika itajukikana siku hiyo wengi hawato amini
 
Haya usimpe muda tuone sasa utamfanya nn
Acha kuuliza maswali ambayo sio sehemu ya mjadala. Mjadala ni Umpendaye hana Uwezo wa kutisha wa kuongoza Nchi. Ameishia kubakia Kiwiliwili cha Kiongozi tu lakini Kiakili hakuna kitu. Mambo ya sina cha kumfanya sio sehemu ya mjadala. Tunamueleza ukweli ili ajipime na kuchukua maamuzi stahiki. Muda wake wa kuongoza kwa dezo ukiiisha aondoke.
 
Hivi Kwa nini baadhi ya watu hawana macho matatu ya kuona mbali. Historia inaonyesha Falme zllizoleta mabadiliko chanyq katika Tawala Zao Ni wale Wenye maono na misimamo ya kusindika hayo maono. Mama Kwa kumsikiliza ana maono gani? Maono sio Sindano kwamba unaiweza kuificha kwenye Mfuko wa Koti au Mkoba. Maono huonekana wazi hata kupitia kujieleza tu. Tuonyesheni bila kutangatanga maono ya mama. Uongozi sio jambo la kukurupuka. Hata Yesu Kristu kiini cha Uongozi aliwakanya Mitume kuwa wasije wakakurupuka kutoka Yerusalemu na kuanza kwenda Kazi ya utume mpaka wameimarishwa na Roho Mtakatifu. Yeye mamq anadhani Kazi ya Uongozi Ni kule kukesha anachati anakokuongelea eti analala late akijibu meseji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…