Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

We unadhan nan ana uwezo sasa na kabla yke???
Wanamhujumu? Wanamhujumu yeye akiwa wapi? Anahujumiwa yeye AKILI za kujua anahujumiwa akiwa amezikodishia wapi? Anahujumiwa vipi ilhali ana Vyombo lukuki vya Dola vya kumkusanyia faarifa? Amewezaje kujua Magawio ya Mashirika ya Umma enzi za Magufuli yalikuwa yanakopwa Bank na ashindwe kujua kuwa anahujumiwa?
Tatizo letu Ni Unafiki. Alipoboronga Marehemu Magufuli hakuwa anahujumiwa ila huyu kila Failure anahujumiwa! Hivi Kwa nini hatutaki kuelewa kuwa Nchi hii kimahitaji na Changamoto zake haviwiani na uwezo wa Mama? Mungu sio mjinga kutuumba Kwa uwezo tofauti. Hata Malaika wanazidiana Uwezo. Mama HANA UWEZO WA KIAKILI wa kutosha kabisa kuongoza Nchi kama hii. Kama CCM wakiwa wakweli tu Kwa nafsi Zao na Kwa kuzingatia Mahitaji ya Watanzania basi hawatampa mama tena Nafasi. Mimi nkionana naye huo ukweli nitampa.
 
Et Tz ya viwanda labda viwonder,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Acha hizo wewe. wengi waliingizwa mkenge na wanasiasa uchwara lakini badae walipogundua kwamba mzee anataka Tanzania ya Viwanda na wara hana shida na mtu walirudi wenyewe na kuanzisha biashara.

Mfano mzuri na Rostam Aziz.
 
CCM , 2025 ndo mwisho, may be uchaguzi usifanyike, ukifanyika tutafia vituon , ya zambia yanakuja 2025, Iyo sijui piga kura nenda nyumbani hakuna, 2023 lazima pamoja na Mambo mengine kuanza utoaji elim hasa KWa vijana KILA mahali Tz nzima na kua na mkakati wa pamoja namna ya kulinda kura.

Hii ni sehem ambayo tumekua hatujiandai nayo, inakuja kutolewa wakati wa campeni tu.
So 2023, lazima kuwa na mtandao wa ulindaji wa kura anzia kitongoji mpaka mkoa, mpaka taifa, na lazima kuunda kikosi kazi KWa ajili ya kuratibu elim hii na mtandao mzima kabla ya uchaguzi
Inawezekana kura yangu moja inayoibiwa ndo inafanya maisha yangu ,na mwingine kuwa magumu Sasa KWa nini nisilinde kura yangu?
Imetosha sasa
Mnajidanganya, kama kuanguka ingeanguka 2015!
 
Umpe wa nini? Kwani yuko Labour Room kusema tusubirie kama njia itafunguka? Hii ni Nchi na haya ni maisha ya watu. Unapokuwa unampa muda maisha nayo unayapq muda au unayasimamisha?
Haya usimpe muda tuone sasa utamfanya nn
 
Rais Samia angefanya vyema sana kama angeendelea na mfumo wa Magufuli ulioboreshwa.

Hata Uhuru Kenyata alimshauri hivyo.

Ila she chose to trust hooligans.
 
Mama pumzi imekata, ilikuwa suala LA muda tu, tuna ombwe la uongozi nchii hii, yaani Hana la kujali, na haelewi afanye nini, eti alitaka kusoma PhD labda ndo hizo za kina msukuma , wewe bichwa zito halielewi Chochote Leo hii 1$ = 2355 Tanzania shillings, kila mahali Kuna shida just within one year, huyu ni Rais kweli?
Mtasema yote mpk maji mtaita mma. But she's still there as a President of Tanzania whether you like it or not
 
Kelele nyiiiingi utadhani kweli utaingia field
Nakwambia kwanza binafsi ni mpigaji wa kura mzuri , sijawahi poteza haki Iyo, ila kumbe nimekua bwege kupiga kura , then nakuanza kimbizana na Mambo mengine, this time uchaguzi ukifanyika wajibu wangu wa pili wa kulinda kura yangu nitautekeleza KWa wivu mkubwa , labda niwe nje ya nchi
 
Tanzania tunahitaji katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi ili tupate Rais na wabunge makini.
Rais Samia anafanya vizuri sana ukilinganisha na mtangulizi wake.
Kwasasa ambadilishe Waziri wa Fedha,ili atutoe hapa tulipo kwama,mambo yaende
 
Ule mfumo wa one man show co???na wale watu maarufu wa jiwe wanaojulikana kama wasiojulikana wanaojulikana????
Rais Samia angefanya vyema sana kama angeendelea na mfumo wa Magufuli ulioboreshwa.

Hata Uhuru Kenyata alimshauri hivyo.

Ila she chose to trust hooligans.
 
Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
Marehem asimangwi wacha kila mtu avune kwa urefu wake white paper 2025 wakufa wakujizika itajukikana siku hiyo wengi hawato amini
 
Haya usimpe muda tuone sasa utamfanya nn
Acha kuuliza maswali ambayo sio sehemu ya mjadala. Mjadala ni Umpendaye hana Uwezo wa kutisha wa kuongoza Nchi. Ameishia kubakia Kiwiliwili cha Kiongozi tu lakini Kiakili hakuna kitu. Mambo ya sina cha kumfanya sio sehemu ya mjadala. Tunamueleza ukweli ili ajipime na kuchukua maamuzi stahiki. Muda wake wa kuongoza kwa dezo ukiiisha aondoke.
 
Hivi Kwa nini baadhi ya watu hawana macho matatu ya kuona mbali. Historia inaonyesha Falme zllizoleta mabadiliko chanyq katika Tawala Zao Ni wale Wenye maono na misimamo ya kusindika hayo maono. Mama Kwa kumsikiliza ana maono gani? Maono sio Sindano kwamba unaiweza kuificha kwenye Mfuko wa Koti au Mkoba. Maono huonekana wazi hata kupitia kujieleza tu. Tuonyesheni bila kutangatanga maono ya mama. Uongozi sio jambo la kukurupuka. Hata Yesu Kristu kiini cha Uongozi aliwakanya Mitume kuwa wasije wakakurupuka kutoka Yerusalemu na kuanza kwenda Kazi ya utume mpaka wameimarishwa na Roho Mtakatifu. Yeye mamq anadhani Kazi ya Uongozi Ni kule kukesha anachati anakokuongelea eti analala late akijibu meseji?
 
Back
Top Bottom