Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani.,..
hahahaaa hapo huwezi kumwambia kitu dj kama aliweza kuchukua makapi na kupisha kiti kigombewe urais bado hajajifunza hao ni watu wa system wankuja kumvuruga tena akae akijuwa kabisa halafu nyie mtaendelea kuimba mapambio ya kusifu ujinga anaofanya huyo mnaita mwamba mavi
 
Siasa ndio ilivyo, apokewe mengine yaendelee. Hata vyama vingine hufanya hivyo, Lowassa, sumaye, nyalandu, membe wamerudi CCM na wamepokea. Ndio siasa hiyo, siasa ni watu
 
Mpuuzi wewe hujui siasa
 
Sasa Elia anaweza kuvuruga kitu gani? Si mwanachama wa kawaida, alikuwa kiongozi wa wilaya sijui, sasa hao wakiondoka si una replace?

Au unafikiri hata hawa waliopo watiifu sasa hivi hakuna anayeweza kuondoka? Kama system inataka kutumia watu ndani ya Chadema itatumia wale wanaorudi au wale wanaoonekana watiifu zaidi?
 

Katiba mpya ni watu waliodhamiria. Siyo maneno matupu. Tujipange kupata watu waliodhamiria hasa tukizingatia:

"Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…