Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

Unamfunga mikono bondia dhaifu, refa wako, majaji wako na unashangilia ushindi ...hivi CCM uzao wenu una matatizo Gani !!?? Yaani huyo dhaifu anakwambia weka Tume huru tyingize timu tucheze unaogopa unasema mpaka uchaguzi 2025 upite ... Hivi mna makamasi humo kichwani au ubongo wenu umejaa maji!!?? Hauoni Hapo aliyepoteza mvuto na muoga ni nani !!??
 
sasa wewe unawashwa na nini ndugu?.Jali mambo yako na mbowe ajali mambo yake.nini kuwashwa washwa.
 
usitegemee siku ccm kutoka madarakani ila tegemea kuwa mpinzani mpaka dunia inaisha
Wewe hapo ulipo huna ata mda mrefu utakufa alafu unaongelea mambo ya dunia kuisha.unajua mwisho wa dunia wewe.
 
Mollel hakuwahi kuwa chadema
 
Huyo mtu apewe kadi ila asinuse pua yake popote kwenye ngazi yoyote ya uongozi msaliti wakati wa vita ni mtu hatari sana. Alituacha tukiwa imara na amerudi tukiwa imara zaidi ya jana.
 
Mkuu kama wakati ule angepewa Ukuu wa wilaya ambao angekuwa anaendelea nao mpaka Leo angerudi kama alivyorudi?

Ukijibu swali hili tutarudi kuichambua comment yako pamoja.
 
Kila mtu humu ndani anamjua huyu jamaa. Ana chuki za ajabu sana dhidi ya hayati.
Sasa hayati alivyokuwa shetani apendwe nanani? Kwanza hata cheo cha hayati hakimstahili yule ni mwendazake au mzoga ulioondolewa duniani kwa laana. Hayati ni kama nyerere sokoine nk
 
Sasa hayati alivyokuwa shetani apendwe nanani? Kwanza hata cheo cha hayati hakimstahili yule ni mwendazake au mzoga ulioondolewa duniani kwa laana. Hayati ni kama nyerere sokoine nk
Acha kujipendekeza kwa wanaume kujibu post zao
 
Mkuu kama wakati ule angepewa Ukuu wa wilaya ambao angekuwa anaendelea nao mpaka Leo angerudi kama alivyorudi?

Ukijibu swali hili tutarudi kuichambua comment yako pamoja.
Huenda angerudi. Mleta uzi kasema tayari kuna maombi ya wakuu wa wilaya wawili yako pending kwa lengo la kurudi
 
Hii inatafakarisha sana. Wanaccm kwa kujipa matumaini hewa hawajambo.
 
Kwahiyo Chadema hamjui kilichomtokea huyo dogo mpaka akajikuta ni mwanampotevu awamu ile?.Huyo jamaa nusu aliwe ule mtandao pendwa hatua yake ya kuunga juhudi ndio ilikuwa pona yake yeye na familia yake.Tafadhali mpokeeni huyo ni CHADEMA in blood
 
Naunga mkono Elia apokelewe ni kijana aliyewakazia mpaka wakamtumia vikosi.
 
Awe mwanachama wa kawaida kama wengine walioko vijijini
Kwa nini awe karibu na viongozi au office za chama?
Hamjifunzi bado
Hana la kuongeza ktk chama zaidi ya kuharibu mbona hamuelewi?
Who the lleh is he?
Why mna pa promo kiasi hiki?
Msaliti ni msaliti period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…