Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

It will get worse...kwa mujibu wa maandiko haya ya vitabu vya dini!
Yes. Kuna mambo mengi kweny DINI yaliyo pita, ya sasa na yale ya baadae yamekua very well linked na binadam kiasi kwamba mtu anashindwa kung'amua Ni nani huyo Powerful ?? Ni nani huyo supreme ? Nani huyo enormous ?? anae nizunguka inside and out.

So yamekua well linked na nani ?
 

God said through the prophet Isaiah, “Yet hear now, O Jacob My servant, and Israel whom I have chosen” (Isaiah 44:1).

wewe uko wrongside of History
 

God said through the prophet Isaiah, “Yet hear now, O Jacob My servant, and Israel whom I have chosen” (Isaiah 44:1).

wewe uko wrongside of History
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 

Maswali haya yanahitaji utafiti tu. Maandiko mengi (yote) yamo kwenye public domain. Jitihada za kutafiti zitakupa majibu sahihi mno.
 
ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao.

Kwanini Russia, China, Iran, Saudi nk wasiisaidie Palestine kwenye vita kama ni hivyo?
 
Uteule wa waisarel ushaisha kitambo pale msalabani , Kwanza waliopo wengi ni Wana wa Yuda na Benjamin, wenzao wengi walitawanywa , ni mwehu tuu anayedai Israel ni Taifa teule Kwa sasa ...!!
 
Huyo ni Israel mtu si taifa
 
Watu wanashindwa kuelewa kuwa waisrael wanaozungumziwa kwenye biblia sio Hawa ..Hawa Ni kikundi cha watu wahuni wanaojiita wanaojiita waisrael..hakuna muisrael mzungu upo ushaidi mwingi tu wa kibiblia na kisayansi unaoonyesha kuwa waisrael tunaowasoma kwenye biblia walikuwa weusi na sio hawa wazungu ... waisrael wa kweli wanatokea kwenye makabila kumi na mbili ..ukienda Israel leo ukikutana na muisrael yeyote pale tel Aviv muulize unatoka kwenye kabila gani kwenye Yale kumi na mbili atatoa macho mpaka utashangaa ... waisrael wa kweli ambao kitaalamu wanaitwa biblical Jews wapo Ethiopia na Sudan ndiko walikojichanganya na wanaendelea kupractice zile biblical tradition.. Historia unaoonyesha mwaka 70 AD.walifulushwa na waroma na kusini ambako ni egipt .Sudan na Ethiopia..,Hawa wa leo ni waturuki wanaitwa khazars
 
Kwa watu waliosoma historia chuo kikuu nadhani wanamjua mtaalamu wa historia anaitwa sheikh anta diop aliprove kwenye mkutano mkubwa wa kitamaduni na historia wa UNESCO miaka 1960 kuwa wayahudi na wamisri wa kale walikuwa weusi aliprove kisayansi na watu walimwelewa vizur..
 
His
Historia unaijua vizuri
 
Ukweli huu hauwazuii kuamini kwamba kuna Mungu,
 
Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
Na ww utajiona umeandika vitu vya maana sio,kwa hiyo akiokoka waisraeli hawatawapiga wapalestina?
 
Na ww utajiona umeandika vitu vya maana sio,kwa hiyo akiokoka waisraeli hawatawapiga wapalestina?
Wakiokoka hamas wataacha ugaidi, pia Israel wakiokoka hakuna vita.

Wote walimkataa Yesu ndomana halitasalia jiwe juu ya jiwe,

Ni mtiti kuendelea.
 
Na alimuua kweli mwanaye wa kwanza mpaka wa watumwa wake na wanyama pia.
 
Nonsense, rudi Sunday school kajifunze upya kuliko kufanya quotation ya maandiko hata usiyoyajua maana yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…