Sasa mbona waisraeli wenyewe hawamuelewi huyo Yesu..Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.
Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,
Ni wa Milele na milele.
Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.
Amen
Soma: Lini wafilisti/Wapalestina walianza Rasmi kutahiriwa?-RabbonSasa mbona waisraeli wenyewe hawamuelewi huyo Yesu..
Ukiwa mteule wa Mungu, ni lazima uende kwenye njia yake...
Wateule wa Mungu wanapitia vita kubwa sana, ila wanashinda...
Mungu akiahidi kuwa atakulinda ni kweli ahadi za Mungu ni za kweli...
Israel wao ni Unabii ulishaandikwa ni lazima utimie...
Pia uwe na uwezo kimaarifa kutofautisha,Sasa mbona waisraeli wenyewe hawamuelewi huyo Yesu..
Hata mimi siongelei Gaza inayoongelewa hapa!Wewe K elewa Gaza inayoongelewa hapo ni mtu na sio Gaza hii inayopigwa mabomu. Acheni kusoma biblia huku mmevuta bangi
Paganism ni Nini au unaongea tu...sheria za upagani ni zipi?Pia uwe na uwezo kimaarifa kutofautisha,
JUDAISM, PAGANISM, CHRISTIANITY NA ISLAM.
Soma vitabu vya wahindu na wachina ujue pia kwa Nini wanatawala dunia. Coz mi sijawahi tawaliwa na israelmimi sio mtu wa dini, ila ukisoma maandiko ya vitabu vyote (Quran takatifu na Biblia upande wa Ibrahim)
utajua kwanini ni Mungu wa Israel na kwanini ndo inaitawala Dunia. Hakuna wa kuishinda
Acha taarabu jibu hoja Mungu gani mbaguzi na mpenda migogoro?Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.
Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,
Ni wa Milele na milele.
Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.
Amen
Umekuwa brainwashed hapo ulipo ukidhani una ubongo kichwani kumbe ni empty head.Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.
Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,
Ni wa Milele na milele.
Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.
Amen
Hayo maneno Mungu ndo aliyaandika ama binadamu ambao hujui walifikiria nini kukuandikia hayo?Kwa kukusaidia soma Kutoka 4:
22, Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
23, nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
Ikawaje sasa Lucifer afukuzwe Mbinguni?Acha taarabu jibu hoja Mungu gani mbaguzi na mpenda migogoro?
Palestine ni kama Zanzibar, na Hamas ndio Uhamsho, ukiisaidia zanzibar unaingilia mambo ya ndaniKwanini Russia, China, Iran, Saudi nk wasiisaidie Palestine kwenye vita kama ni hivyo?
Na mimi ndo nakuuliza wewe..Hayo maneno Mungu ndo aliyaandika ama binadamu ambao hujui walifikiria nini kukuandikia hayo?
Walitaka baada ya kuua waisraeli na kuwachukua mateka wawapetipeti.....So uchokozwe uliwe watu ukae kimya weh umesikia wapi
Ulimwona akifukuzwa au umehadithiwa katuniIkawaje sasa Lucifer afukuzwe Mbinguni?
Ukiasi utapigwa Hasa, Unadhani kwann Mungu akaumba kuzimu?
Bro nijibu swali.. nisome wapi sasa.. we are talking on Israel then unaleta habari za palestina kivipi?Soma: Lini wafilisti/Wapalestina walianza Rasmi kutahiriwa?-Rabbon
Mungu yupo Israel, anasikiliza Waisraeli pekee. Sehemu nyingine za Dunia zinamlilia Mungu ila Mungu huyo hawasikilizi, anawasikiliza Waisraeli tu.Ila kwakuwa Mungu yupo na Israel hamuwezi kumfanya chochote kama umesahau nakukumbusha kidogo tu
Hacha upopoma, Irani inaitetemekea Israel? Syria inaitetemekea Israel?na kwanini mataifa yote duniani yanaitetemekea Israel na habari za Israel zinagusa dunia nzima,
Kwa hiyo, Mungu anawapa silaha Waisraeli, si ndiyo?jibu Mungu yupo kazini na Israel vyovyote vile ya yanayoendelea ipo sababu ambayo yeye Mungu anajua kwanini ipo hivyo.