Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
Sasa mbona waisraeli wenyewe hawamuelewi huyo Yesu..
 
mimi sio mtu wa dini, ila ukisoma maandiko ya vitabu vyote (Quran takatifu na Biblia upande wa Ibrahim)
utajua kwanini ni Mungu wa Israel na kwanini ndo inaitawala Dunia. Hakuna wa kuishinda
 
mimi sio mtu wa dini, ila ukisoma maandiko ya vitabu vyote (Quran takatifu na Biblia upande wa Ibrahim)
utajua kwanini ni Mungu wa Israel na kwanini ndo inaitawala Dunia. Hakuna wa kuishinda
Soma vitabu vya wahindu na wachina ujue pia kwa Nini wanatawala dunia. Coz mi sijawahi tawaliwa na israel
 
Hata mtoto anayependwa na baba anakuwaga na tabia zake za "kudekezwa " ila haibadilishi upendo toka kwa baba.
 
Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
Acha taarabu jibu hoja Mungu gani mbaguzi na mpenda migogoro?
 
Umekuwa brainwashed hapo ulipo ukidhani una ubongo kichwani kumbe ni empty head.
 
Kwa kukusaidia soma Kutoka 4:
22, Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23, nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.​
Hayo maneno Mungu ndo aliyaandika ama binadamu ambao hujui walifikiria nini kukuandikia hayo?
 
Acha taarabu jibu hoja Mungu gani mbaguzi na mpenda migogoro?
Ikawaje sasa Lucifer afukuzwe Mbinguni?

Ukiasi utapigwa Hasa, Unadhani kwann Mungu akaumba kuzimu?
 
Soma: Lini wafilisti/Wapalestina walianza Rasmi kutahiriwa?-Rabbon
Bro nijibu swali.. nisome wapi sasa.. we are talking on Israel then unaleta habari za palestina kivipi?
Swali ni je Hao Israel ni kwanini hawaamini katika Yesu wakabaki na dini yao ya asili
 
Ila kwakuwa Mungu yupo na Israel hamuwezi kumfanya chochote kama umesahau nakukumbusha kidogo tu
Mungu yupo Israel, anasikiliza Waisraeli pekee. Sehemu nyingine za Dunia zinamlilia Mungu ila Mungu huyo hawasikilizi, anawasikiliza Waisraeli tu.
na kwanini mataifa yote duniani yanaitetemekea Israel na habari za Israel zinagusa dunia nzima,
Hacha upopoma, Irani inaitetemekea Israel? Syria inaitetemekea Israel?

jibu Mungu yupo kazini na Israel vyovyote vile ya yanayoendelea ipo sababu ambayo yeye Mungu anajua kwanini ipo hivyo.
Kwa hiyo, Mungu anawapa silaha Waisraeli, si ndiyo?
 
Back
Top Bottom