Kwani ni UONGO?Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Siku zote ukweli unauma. Majaji wote ni maccm, mapolisi yote ni maccm, tume ya uchaguzi ni ya ccm, na katiba ya mwaka 1977 ni ya ccm!Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Kwanini umewaza negativity kwa CHADEMA na siyo kuwa wamekuwa brutally targeted kwa muda mrefu tena hadharani bila Haki kutendeka?Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Piga mshono usipindishe.Siku zote ukweli unauma. Majaji wote ni maccm, mapolisi yote ni maccm, tume ya uchaguzi ni ya ccm, na katiba ya mwaka 1977 ni ya ccm!
Kama mahakama ni kweli iko hivyo na ushahidi wanao kwanini hawakufungua kesi ya Kikatiba? Yaana unataka kutuambia kama chadema ikiingia madarakani leo itakuja na majaji, askari na watendaji wao wapya kabisa?Kama mahakama yenyewe haijioneshi kuwa huru si kosa la Lissu kuonesha kuwa mahakama zetu si huru tena.
HAta Trump alikuwa akilalamikia mahaka yao kumbambikia kesi lakini hakusema majaji ni democrats. Kosa la viongozi wa chadema ni kutaka kuwaaminisha vijana kuwa hali mbaya iko Tanzania tu na wao ndio watakaoiweka sawa wakienda Ikulu. Yaani kwenda Ikulu kwa ulaghai bila sera.Kesi za kubambikiana na hukumu za vimemo ndio standard kwa hii serikali ya hovyo, na acha ujinga
Lissu ni mwanasheria nguli mwenye passport na familia yake haipo nchini, aipime kauli yake hiyo ina maana gani kwa wale wasiokuwa na passpprt na maisha yao yote na familia zao yako humuhumu tz. Ni kauli mbaya sana kuwaaminisha watanzania kuwa njia ya mahakamani haifai tena huku akijua anaongopa. Bila mahakama kweli watu wangeweza kushinda, kulala na kuamka salama kweli nchi nzima? Bila mahakama kutenda kazi zake kweli mtoto angezaliwa na kuzeekea tanzania bila kufirwa, kubakwa na wahuni? Kazi zingefanyika kweli? Chadema ofisi zao zingekuwa salama kweli?...kuna Majaji wanaenenda kama maCcm, na wanapenda Ccm ijue kwamba wako kwa ajili yao. Lissu hajawakosea chochote Majaji wa aina hiyo.
Hahahahhaaha atakuja kuliwa huyu kwa kuwaza wanaume wenzake usikuMkuu saa saba usiku hii ni muda wa ngono huu unamuwaza lisu get a life bro piga ata puri ulale
KWani Katiba yetu inasemaje kuhusu upatikanaji wa majaji? Je. Katiba imekiukwa kuhusu namna majaji walivyopatikana?1. Uongo upo wapi?
2. Mbona mchakato wa kuwapata majaji ni uthibitisho tosha?
3. Kwamba hujui ujaji ni kama tuzo kwa mahakimu wanaofuata maelekezo dhidi ya wapinzani?
4. Kwamba hujui majaji wanajiingiza kwenye siasa muda mfupi baada ya kustaafu?
5. Mbona dunia yote inaujua huo ukweli?
6. Mbona kwa muda mrefu sasa wengi hawaendi mahakamani kwa sababu mifumo ya haki imeingiliwa na serikali ya ccm?
7. Semeni na simamieni ukweli kuliponya Taifa!
Upuuzi mtupuMashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Kesi nyingi za wapinzani huwa zinafutwa kwasababu ya kudumisha mshikamano wa kitaifa tu, lakini sio kwamba zinafutwa au kuondolewa mahakamani kwakuwa walibambikiwa. Kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu huwa wanavunja sheria kweli.Hujamsikia kwenye ushahidi wake akielezea kiundani kwanini majaji wanasemekana kuegemea upande wa CCM?
Alizungumzia kuanzia namna uteuzi wao ulivyo, namna kesi za upande wa upinzani zinavyoendeshwa kimihemko na mengine mengi.
Katiba imevunjwa wapi kwenye uteuzi wa majaji? Maana Katiba hii ya 1977 imeandikwa na Jaji Warioba na wenzake na wakaona inatufaa na kweli ilitufaa hadi heshima yetu kimataifa ikatukuka.Ili kauli hii,isiwe mbaya! MAJAJI WASITEULIWE NA RAIS AMBAYE NI MWENYEKITI WA CCM TAIFA