Kwahiyo wewe na Bibilia yako hamjui hao manabii walikuwa na dini ganiHasira za Nini mzee!?
Mimi nikajua tunaelimishana!
Na namna Bora ya kupata elimu ni kuchunguza mambo kwenye 3D!
Sasa nambie manake wewe ndiye umeleta hoja na kitabu kinachobishaniwa haliwezi kujitetea, nje ya Quran tutapata wapi ushahidi kwamba manabii wote walikuwa waislam?
Nakuuliza Sheikh Wazolee je Adamu,Nuhu,Abraham,Musa na Yesu wote walishahidia Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?
Na kama hawakushahadia wanakuaje Waislamu bila Shaada?
Na wewe utueleze kama walisilimu na utueleze mtu wa kwanZa kuwa muislam kwa kusilisimu.Utueleze jini la kwanza kusilimu kwa mtume kuingia UIslamu na kabla hilo jini liliabudu nini. Utueleze kwanini Muddy alijitaja ndo muislam wa kwanza..na bado utueleze kwanini alicopy vitabu vya Wayahudi. Kisha rudi kutupa dini ya hao umewaorodhesha hapo juu kwa ushahidi wote kwamba walikuwa WaIslam si blabla mara alipwekesha,mara kujisalimisha. Utupe na nguzo za UIslamu na vipi kama hujazifata au kuzipata bado utakuwa muIslamu?Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Enhee sawa kwahiyo mtu anaweza kua Mwislam bila shaada si ndio mfano mimi nikisema Mungu ni mmoja na Mwamposa ni mtume wake nakua tayari nime Silimu?Kwani shahada maana yake nini?
Shahada maana yake ni kushuhudia kuwa Mungu ni Mmoja na mtume wenu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Kwani sisi makafiri hatuna haki ya kujua ukweli jamani?Kwahiyo wewe na Bibilia yako hamjui hao manabii walikuwa na dini gani
Alafu Quran inasema walikuwa waislam wewe hautaki
Umezaliwa umekuta Quran inasema Nuhu, Ibrahim. Isaka na Yakobo na Musa na Yesu walikuwa waislam na utakufa utaiacha Quran inasema hivyo hivyo
Kinachokusumbua wewe ni ukafiri wako tu lakini Hauna hoja Wala uwezo wa kuikosoa Quran
There is no independent historical or archaeological evidence proving all prophets were Muslims (meaning followers of Islam as we know it), as "Islam" is a post-Muhammad term; however, non-Muslim sources confirm Muhammad's existence and the emergence of his movement, while archaeological finds support early Islamic societal changes, but evidence for earlier figures like Abraham or Moses relies heavily on religious texts, with limited or ambiguous external proof for specific historical details or their adherence to later Islamic theology.Kwahiyo wewe na Bibilia yako hamjui hao manabii walikuwa na dini gani
Alafu Quran inasema walikuwa waislam wewe hautaki
Umezaliwa umekuta Quran inasema Nuhu, Ibrahim. Isaka na Yakobo na Musa na Yesu walikuwa waislam na utakufa utaiacha Quran inasema hivyo hivyo
Kinachokusumbua wewe ni ukafiri wako tu lakini Hauna hoja Wala uwezo wa kuikosoa Quran
Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Ndio kipindi chao hawakuwa na swala.labda Kwa wao manabii na mitume ndo walipewa ila sio waumini.sababu uislam ulikuwa bado .yaani mtu kufuatwa na mtume amwambie mimi ni mtume nimetuma na Mungu alafu mtu akaamini sio jambo dogo.Kwa hiyo Adam,Ibrahim,Musa.na Issa kazi yao ilikuwa kumwamini Mungu na mtume?
Msingi wa swali langu ni namna nilivyojibiwa kuwa Adam,Ibrahim,Musa na Yesu walikuwa waislam kwa sababu walimuamini Mungu mmoja na mtume wake,kwa.maana nyingine walitamka shahada!Ndio kipindi chao hawakuwa na swala.labda Kwa wao manabii na mitume ndo walipewa ila sio waumini.sababu uislam ulikuwa bado .yaani mtu kufuatwa na mtume amwambie mimi ni mtume nimetuma na Mungu alafu mtu akaamini sio jambo dogo.
Ebu fikiria Leo yesu anarudi anakuja kwako anakwambia mimi ndio yesu utamuamini?
Sasa hao waisrael au wayahudi Jews mitume mbona mwawachukia tena Yani dini ya muarabu wenu ilianzishwa na Jews halafu Leo mnapambana na Jews.Waislam tubaamini uislam ulianza na Adam, ukakamilika kwa Mtumeuhammad.
Na mitume wote walijazia maamrisho ya Uislam ndo maana kuna mitume mingi, yote imekuja kufundisha sehem ya Uislam (ukiacha kuswali)
Same time hao manabii wa Israel mnawachukia uzao wao Yani uislam ni janga kama ukoma au mtoto wa ukoo anaefirwa.NABII NUHU, IBRAHIM, MUSA NA YESU
WALIKUWA WAISLAM
Quran 42:13
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.
NABII IBRAHIM NA WANAWE YANI ISHIMAEL NA ISAKA WALIKUWA WAISLAM
Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
NABII YAAQUB NA WANAWE WALIKUWA WAISLAM
Quran 2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.
Haya ndio maelezo ya Quran kitabu ambacho ni kiboko ya makafiri
Sasa kama wewe ni kidume vunja hizo hoja za Quran hapo zinazosema hao manabii na vizazi vyao wote walikuwa waislam
Weka ushahidi hapa kama walikuwa wakristo kama wewe au walikuwa na dini ya kiyahudi au kama walikuwa wapagani weka hapa ushahidi
Kila umma ulikuwa na mtume wao na shahada yao.Msingi wa swali langu ni namna nilivyojibiwa kuwa Adam,Ibrahim,Musa na Yesu walikuwa waislam kwa sababu walimuamini Mungu mmoja na mtume wake,kwa.maana nyingine walitamka shahada!
Swali linakuja kuwa walimuamini Mungu mmoja na mtume gani ilhali Mwamedi alikuwa hajazaliwa?
Nikisema Namshuhudia Mungu mmoja na Zumaridi ni mtume wake tayari nakuwa muislam?
Unaona hyo Aya ya bibilia huyo mwenyezi mungu ndo walikuwa Wana mtukuza mitume WOTE kuanzia Adam mpaka yesu mpaka mwisho muhammad.ujumbe ulikuwa kumuamini mungu MMOJAMsingi wa swali langu ni namna nilivyojibiwa kuwa Adam,Ibrahim,Musa na Yesu walikuwa waislam kwa sababu walimuamini Mungu mmoja na mtume wake,kwa.maana nyingine walitamka shahada!
Swali linakuja kuwa walimuamini Mungu mmoja na mtume gani ilhali Mwamedi alikuwa hajazaliwa?
Nikisema Namshuhudia Mungu mmoja na Zumaridi ni mtume wake tayari nakuwa muislam?
Mbona mimi nilisha toaga majibu ya haya maswali kwa wakristo na waislamu....ukishindwa kujua majibu ya hayo maswali basi hata ili swali uwezi kulijibu je watu ambao awakufikiwa na mafundisho ya dini ya kweli, siku ya kihama watahukumiwa vipi?Wavumbuzi wa mambo ya kale, Archeologists, bado wanafanyia kazi hili Swali lako. Muda huu napo type hii comment. .
Kwa nini hawakuwa wanatumia hakuna mwingine ila allah na Yunus/Daud/Adam/Yakub n.k ndiye mtume wake??Kila umma ulikuwa na mtume wao na shahada yao.
Kipindi mtume hayupo.walikuwa wanatumia shahada ya hakuna mungu mwingine ila Allah.
Wacha uanithi wa akili ..hao ulio wataja...walitamka shahada yenye kumtaja ALLAH NA MUHAMMADI?... je Muhammad alikuwa anajulikana dhama hizo ?...muislamu ni mtu aliye tamka shahada au anaye ilidhia hiyo shahada ya Allah na mudi boy....DINI YA WACHAMUNGU WOTE WA KWELI WA KALE NA WAPYA NI MOJA TU NAYO INAITWA 👉UTAKATIFU ...Ndiyo maana Mungu aliwaambia waisrael kuweni 👉WATAKATIFU KWA KUWA MIMI MUNGU WENU NI MTAKATIFU .. hivyo yoyote aliye mtakatifu huyo ndiyo yupo kwenye dini ya kweli na ya HAKI ...watu awaingii peponi kwa sababu ya dini au madhehebu yao bali kwa kuwa👉 💥WATAKATIFU MBELE YA MUNGU💥Hili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko
Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
Ukiacha ukiristo na utajiri kupotoahwa saana, tubaamini hizi dininziko half cooked, I mean hazijakamilika,Sasa hao waisrael au wayahudi Jews mitume mbona mwawachukia tena Yani dini ya muarabu wenu ilianzishwa na Jews halafu Leo mnapambana na Jews.